Kwani lini Kingereza kilifutwa kutumika Tanzania?Sisi hatukukipa kiingereza kipaumbele kama lugha ya taifa. Kiswahili kilikuzwa na kufanywa lugha ya taifa ikiunganisha makabila yote. Kama kiingereza kingefanywa lugha ya taifa kama kenya tungekuwa tunaongea kwa ufasaha tu. Mpaka vijijini watu wangekuwa wanaongea kiingereza kama kiswahili kilivyochukua nafasi kubwa kiasi cha lugha za makabila kusahaulika
Umeona eeh. Badala kujikita kwenye maendeleo sisi tunajikita kubaguana!Kiswahili chenyewe kuna watu wansema kaRamu badala ya kaLamu au Linda sehemu ya Rinda, tafrani tupu.
Kasome kuhusu "establishing rapport" kwenye "mass communication" mada ya "presentation".Umeona eeh. Badala kujikita kwenye maendeleo sisi tunajikita kubaguana!
Sikutegemea viongozi waanze utani wa kijinga!
Sio amani, sema uoga na uzombie.Kiswahili kimechangia sana kuleta amani na utulivu hapa nchini
Hongera sana Great thinker Julius Nyerere kwa jambo hili kubwa sana
Hoja ya msingi hapa ni kuwa hatujui english hayo mengine ni kujipooza na kujifariji.Sisi hatukukipa kiingereza kipaumbele kama lugha ya taifa. Kiswahili kilikuzwa na kufanywa lugha ya taifa ikiunganisha makabila yote. Kama kiingereza kingefanywa lugha ya taifa kama kenya tungekuwa tunaongea kwa ufasaha tu. Mpaka vijijini watu wangekuwa wanaongea kiingereza kama kiswahili kilivyochukua nafasi kubwa kiasi cha lugha za makabila kusahaulika
[emoji1787]Hoja ya msingi hapa ni kuwa hatujui english hayo mengine ni kujipooza na kujifariji.
Wengi sana wanazungumza Kiswahili...Nilikaa Kenya miezi 3 Nairobi Cty maenei ya Gymkhana sikuwahi kuona watu wakizungumza kiingereza mtaani.kinachowasaidia Kenya tokea chekecheka watoto wanasoma kwa English
Sawa... but utani kwenye high level presentations zinakoleza mijadala ya kibaguzi huku kwa common wananchi!Kasome kuhusu "establishing rapport" kwenye "mass communication" mada ya "presentation".
Binadam hautakiwi uwe "serious" muda wote, hutosikilizwa. Waongeaji wazuri wote lazima watie utani kidogo.
Kenya hakuna uongo na Uzombie kwa kuwa wanajua Kiingereza? katika kosa ambalo naweza kumlaumu Nyerere ni kuwanyima exposure wa Tanzania kama Wewe maana unaona kila kitu cha nje ya Nchi yako ni kizuri na kila kilichofanywa Nchini ni kibayaSio amani, sema uoga na uzombie.
Ubaguzi haukolezwi na utani. Utani unaondowa chuki, unawasikia "watani" Tanzania wakigombana?Sawa... but utani kwenye high level presentations zinakoleza mijadala ya kibaguzi huku kwa common wananchi!