Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu Mambo ni vipi.
Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo utawakuta.
1 . Ni Accumen Mo na mgalatia Maghayo
Hawa ndugu zangu mimi huwa wananifurahisha sana. Nitakapoona komenti ya maghayo basi najua Accumen Mo lazima aweke wino wake hapo na lazima iwe ni kituko. Mwanzoni mgalatia huyu alikuwa ana battle sana na adriz nikaona utani umepungua umeamia kwa accumen mo. Sijui nyinyi mnauchukuliaje utani wenu ila kwangu ni burudani
2. Lucas Mwashambwa
CHIEF PRIEST
Tindo
Ma mmoja anaitwa Benjamin netanyhau
Sijui wao huenda wakawa wanaongea kwa kuchagua pande zao za siasa ila mimi kwangu huwa ni burudani. Hasa Kaka Lucas akiwa anamjibu Benjamin netanyhau huwa anamwambia hivi “ Punguza mibange unayovutia chooni “🤣🤣 binafsi kwangu ni burudani . Tindo na Lucas na ndugu chief priest hazijawahi kuiva ni paka na panya. Hili battle huwa ninalipenda.
Lakini kaka Lucas katokea kumuelewa Sana dada @ephen hata ukiangalia charts zao unaona kuna flow nzuri kabisa baina yao.
Kuna mtu mmoja sijui yeye kama yupo serious ila kwangu huwaga ni kucheka Etwege huyu jamaa yeye hata kama mada inahusu mboga za majani lazima neno Tundu Lissu liingie hapo na lazima atafute koneksheni ya mboga na Tundu lissu. Kwangu mm huwa ni kucheka tu na furaha tele. Nakukubali sana ndugu.
Ukitaka Infropreneur uone komenti yake wewe anzisha mada ya kusema Mungu yupo, kama si komenti ya kwanza mpaka ya tano tangu mada ianzishwe labda hayupo online😂😂 huwa nafurahi sana.
Ukitaka kuona uzi wa mpira unanoga wawepo Hawa watu sana sana kuhus SIMBA VS YANGA
Okwa BOBAN SUNZU mhasibu
Labani og
NALIA NGWENA
Scars
Hapo kuna wananchi na kuna simba watoto wa kariakoo, Mimi huwa majadiliano yao yananifurahisha sana. Ninawakubali sana.
Ngoja niishie hapa next time nitakuja na kitu kinachonifanya Niipende zaidi Jf .
Weka watu unaopenda aidha utani wao au chemistry waliyonayo.
achana na makushabu mkuu 😂😂Sadari fundi bishoo 🤓
Nime leta kitu Cha mjapani, uki kupiga lazima uongee kirusi🤣😆achana na makushabu mkuu 😂😂
😂😂 afu hyo unachngnya na mavi ya mbuzi kidogo stimu yke unahis kama ubongo unachemka hvi.
Nime leta kitu Cha mjapani, uki kupiga lazima uongee kirusi🤣😆
😃😃😃Shida nini kwan au umeanza mabange kama maghayo
😅 we utajiri ushaukosaKenge mwenye maringo, ya kubwa la manusu 😂😄
Hii code ni waliosoma cuba tu watakaoielewa..😆😂🤣Kuna tetesi jamii forum kuna watu wanajinyea makusudi na kujitawaza wenyewe
😂😂😂😂mimi sijui watu huwa wanachukuliaje lakini yote kwa yote Lucas ana roho ngumu sana. Wengi hawapendi maandishi yake lakini akianzisha nyuzi yake watu wanajazana .Lucas Mwashambwa zamani alikua ananikata sana, baadae nikamuelewa sasahivi nabaki kucheka tu anafurahisha.
Na ndio maana wanamsema lkn akipandisha uzi wanakimbilia
Acha niishie hapa Nisije kububujikwa na machozi kama nimepakwa pilipili usoni
HUwa naona wote hao wanataniana na ndio maana kila thread utawakuta wanagombana,😂😂😂😂mimi sijui watu huwa wanachukuliaje lakini yote kwa yote Lucas ana roho ngumu sana. Wengi hawapendi maandishi yake lakini akianzisha nyuzi yake watu wanajazana .
Huwa ninafurahi sana akianza kujibu watu.
Kaka Lucas Mwashambwa huwa anapokea sapoti kutoka kwa MamaSamia2025 Tlaatlaah Etwege 😂😂hilo ni chama lake.
Ila kuna upinzani akishafika Bams Rabbon Erythrocyte hapo mada lazima ichangamke😂😂😂 aisee hawa watu ni burudani sana hapa JF.
🤣🤣🤣🤣mkuu siyo kwamba yupo na Netanyahau wanapanga namna ya kuvunja vinu vya Iran?Nafuraha sana Sikukuu hii Kenge Maghayo The Mongolian Savage ipo kifungoni inatumikia ban , salamu zimfikie kijana wake The Stress Challengerr
MK254 sijawahi kuona komenti yake tofauti na mambo yanayohusu ugaidi wa kiislamu😂😂 . Kama kuna mtu alishawahi kuona MK254 amekomenti kuhusu mada yoyote isiyohusu ugaidi wa kiislamu aiweke hapa.
kwahiyo Eid umeamua kuisherehekea kwa kutajataja majina tu, kwa mistari isiyo na vina? 🐒😂😂😂😂mimi sijui watu huwa wanachukuliaje lakini yote kwa yote Lucas ana roho ngumu sana. Wengi hawapendi maandishi yake lakini akianzisha nyuzi yake watu wanajazana .
Huwa ninafurahi sana akianza kujibu watu.
Kaka Lucas Mwashambwa huwa anapokea sapoti kutoka kwa MamaSamia2025 Tlaatlaah Etwege 😂😂hilo ni chama lake.
Ila kuna upinzani akishafika Bams Rabbon Erythrocyte hapo mada lazima ichangamke😂😂😂 aisee hawa watu ni burudani sana hapa JF.
Hasa CHADEMAKuna tetesi jamii forum kuna watu wanajinyea makusudi na kujitawaza wenyewe
🤣🤣🤣@Etwege huyu jamaa yeye hata kama mada inahusu mboga za majani lazima neno Tundu Lissu liingie hapo na lazima atafute koneksheni ya mboga na Tundu lissu.