Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kaka niseme ukweli, kwenda mule June nifanya nijue nakubalika vipi 😊.Jela kukoje kijana naona mods walikupeleka segerea kwa muda
Imagine Nili anzishiwa hadi Uzi, na ndo uli saidia mi kurejeshwa kwa haraka😂.
Sema Hatuwezi ku view Uzi, au kufungua pm, una takuta chanzo cha wewe kupewa ban tu🤣