Utani wa watu ninaoupenda hapa JF pamoja na watu na mada utakazowakuta


Duuu, haya bwana.
 
Lucas Mwashambwa zamani alikua ananikata sana, baadae nikamuelewa sasahivi nabaki kucheka tu anafurahisha.

Na ndio maana wanamsema lkn akipandisha uzi wanakimbilia
Acha niishie hapa Nisije kububujikwa na machozi kama nimepakwa pilipili usoni
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚mimi sijui watu huwa wanachukuliaje lakini yote kwa yote Lucas ana roho ngumu sana. Wengi hawapendi maandishi yake lakini akianzisha nyuzi yake watu wanajazana .
Huwa ninafurahi sana akianza kujibu watu.
Kaka Lucas Mwashambwa huwa anapokea sapoti kutoka kwa MamaSamia2025 Tlaatlaah Etwege ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hilo ni chama lake.
Ila kuna upinzani akishafika Bams Rabbon Erythrocyte hapo mada lazima ichangamke๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ aisee hawa watu ni burudani sana hapa JF.
 
Kusema ukweli Hawa marafiki zangu adriz na Selikavu acheni mizinguo ๐Ÿ˜†๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚.
Nita wapiga panga mjue๐Ÿค“
sijawahi kuona wakitaniana mkuu ngoja nianze kuwafuatilia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huwa mara nyingi mkuu Selikavu ninamkuta kwenye mada za michezo na adriz kumkuta huko ni nadra sana.
 
HUwa naona wote hao wanataniana na ndio maana kila thread utawakuta wanagombana,
kuna yule mwingine jina limenitoka sijui ni Gilgai galgano kitu kama hicho
 
Nafuraha sana Sikukuu hii Kenge Maghayo The Mongolian Savage ipo kifungoni inatumikia ban , salamu zimfikie kijana wake The Stress Challengerr
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmkuu siyo kwamba yupo na Netanyahau wanapanga namna ya kuvunja vinu vya Iran?
Huwa mnanifurahishaga sana. Hili battle Accumen Mo kalinunua vzuri sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hujawahi kushuhudia timbwili la MK254 na Malaria 2 ?

Mmoja ana hoja nzito nzito, mwingine anabwabwaja kwa hisia.
MK254 sijawahi kuona komenti yake tofauti na mambo yanayohusu ugaidi wa kiislamu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ . Kama kuna mtu alishawahi kuona MK254 amekomenti kuhusu mada yoyote isiyohusu ugaidi wa kiislamu aiweke hapa.
@malaria2 yeye mada hata kama ni mboga lazima atafute kuingizia neno Kafiri na hiyo mboga ina uhusiano gani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Kwangu huyu ni komediani ananifurahisha sana.
 
kwahiyo Eid umeamua kuisherehekea kwa kutajataja majina tu, kwa mistari isiyo na vina? ๐Ÿ’

kama sehemu ya familia ya waTanzania hapa JF, nawatakia nyote Heri, Baraka na Neema Tele za Mungu, katika kusheherekea sherehe hii muhimu sana ya Eid. Na ikawe sherehe Tulivu na ya Amani kwenu nyote, Aimen ๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ