Msiwe na wasiwasi, sisi ndiyo wahusika.Malipo yapo kwenye process,
mafundi wanarekebisha mitambo server zimezidiwa,
subirini Kila kitu kitakaa sawa π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Yaani kabla ya kulizwa kauli hua ni hizihizi hazibadiriki
Wewe ndio utatuambia kama ataitoa akiitoa atoe zote, hawa wanaenda kuzima mitambo yao hata kalynda ilikuwa hivyo hivyo, mpaka watu walivyoenda ofisini kwao posta wakakuta mmoja wa viongozi alikuwa mchina na anaitwa john sasa kuna mchina anaitwa john au frank ? πππππ hawasikiagi hawa mpaka damu ziwatokeKaka angu nae kaniambia hela ipo kwenye process 125,000 ila hela ya wiki iliyopita hajapewa ndo basi tenaπ€£
Kaniambia kutoa zote haiwezekaniπ€£Wewe ndio utatuambia kama ataitoa akiitoa atoe zote, hawa wanaenda kuzima mitambo yao hata kalynda ilikuwa hivyo hivyo, mpaka watu walivyoenda ofisini kwao posta wakakuta mmoja wa viongozi alikuwa mchina na anaitwa john sasa kuna mchina anaitwa john au frank ? πππππ hawasikiagi hawa mpaka damu ziwatoke
Atakutandika makofi, siku walozima kalynda kesho yake nikawapigia simu kuwauliza vip, wakawa wakali kweli na nlivyoenda maskani yao kwa namna nlivyokuwa nawatania yani kidogo wanichangie wanipige ila ndio basi tena kalynda haikuwah kuwashwa mpaka leooKaniambia kutoa zote haiwezekaniπ€£
Kila nikimuuliza maswali ananijibu kwa hasira! Mkali huyooo
Huwezi kuwakamata hata ufanye tracking ,server zinaweza kusoma south africa au USA ,huwapati ng'o wapo wabongo wako mbagala huko walianzisha pyramid wakapiga watu pesa.Viongozi wao wanakamatwa saizi.
Wanakamata vidagaa tu saizi wakubwa watakua washasepa
Kuna mjingamjinga hapa ofisini kapigwa.. tulimsihi sana aachane na huo ujinga hakusikia.Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.
Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.
Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Leo mbona umemsahau yule mbulushi anaitwa nani vile nimesahau jina.........Hao matapeli ni ccm ndiyo sababu
Huyu Nani tena..
Huyu Nani tena..
Amekuwa anajinadi yuko jikoni π€£, yeye kaifungua na kuisajiri hapa TZ!Huyu Nani tena..
Kweli kabisa maana hata hii kamata kamata ya viongozi wa lbl ni mpango wao ili wapate sababu ya kusema wapo kwenye matatizo na akaunt zao zimeshikiliwa na polisi kumbe lengo lao ni kukimbia na pesa za watuKuna watu huko juu ni wanufaika wa kinachoendelea.
Leo hii tawi lao la Morogoro limefungwa na wahusika kukamatwa kwa kuendesha michezo ya kutapeli. Mkuu wa Polisi Mkoani hapo amewaasa wananchi kujiepusha na michezo hiyo kwa tamaa ya kupata mali na utajiri. Vyote hivyo haviji kwa kutegemea michezo hiyo bali kwa kufanya kazi na kuvuja jasho.Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.
Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.
Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hamuwezi kumlaumu sana
Ni mapema kuwa&mashaka,naamini hajatapeliwa,ni hivi;Anasema wiki iliyoisha alitaka kutoa ikakataa, jana wameambiwa level 3 wakatoe leo.
unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.Niliandika hapa uzi mwezi 11 mwaka Jana 2024 nikiwajuza watu juu ya viashiria vya utapeli wa LBL watu wakanipurua kinyama nikaandika tena mwezi wa 1 mwaka huu 2025 kua watu watoe fedha zao Hilo Ponzi scheme linaenda kuanguka nikashambuliwa tena.
Haya sasa Kiko wapi ?! Hamuwezi tena kutoa fedha Kuna taarifa baadhi ya ofisini zimefungwa, viongozi namba hazipatikani app imeanza kuwatema wadau mmoja baada ya mwingine, unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.
Sio kwamba nchi nyingine hakuna utapeli laa hasha, lakini kuwatapeli waTanzania ni RAHISI SANA hata utapeli wa wazi wazi utawapata tu wakuwatapeli.
Na hata baada ya hii LBL litakuja Ponzi scheme jingine na WENGI watatapeliwa na lingine litakuja na WENGI zaidi watatapeliwa.
Mtu Fulani aliwahi kusema raia wa Tanzania ni maiti ukitulia ukatafakari hauwezi kumlaumu sana.
Sasa sijui dj awasindikize wana-LBL kwa wimbo Gani ili usiwe vurugu humu ndani, maana mtu mpumbavu upumvavu wake unapodhiirika hua anakua mbogo
View attachment 3243238
Ulijiunga?unajua huenda Tanzania ndio nchi wenye watu wajinga zaidi duniani. Hasa wanawake Yani wanawake wa kitanzania ni wajinga alafu wabishiiiiii, Kuna mmoja kutwa kucha alikua ananiandama ati nijiunge.