Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAOGOPA KUMWONGELEAgombee huko huko rorya tarime hatuwezi kumpa ubunge mjaluo huyo. Hatutaki MURISYA.
DHAMBI YA UONGO SAWA NA..Agombee huko huko rorya tarime hatuwezi kumpa ubunge mjaluo huyo. Hatutaki MURISYA.
Huyu anaweza akawa hata mwanasiasa huko Kenya pia.Wajaluo wa Rorya, asili yao Kisumu Western Kenya
Kwahiyo mchungaji Msigwa aliyekiri kuwa muongo na kumzushia Kinana naye ni wa CCM?Mwanaccm agombee Chadema? Hivi hujui kuwa mtu muongo asili yake ni CCM? Huko ndio kwenye asili ya uongo, sio Mwenyekiti, KM, Chakubanga, Mangula, wasanii hadi vuvuzela nyie wote waongo tuu!
Ni chadema ndio maana anajiuza.CCM na ndio maana ni muongo
Hukosa Yote!!Kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Tutaona mengi mwaka huu.
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi kuwa na kesi ya madai mahakamani? Kama hujawahi huwezi kuelewa kwa nini Msigwa katamka yale manenoKwahiyo mchungaji Msigwa aliyekiri kuwa muongo na kumzushia Kinana naye ni wa CCM?
Cdm na ccmSasa yeye ni mwanachama wa chama gani?
Na nchi imepoteza mwelekeo inajiendea tu kama jongoo.Hiyo ni ishara kuonesha namna ambavyo siasa nchini kwetu zimefiliska kufikia kiwango hiki.
Style ya uongozi wa Magufuli imefuta ideological identity/positions za vyama vya siasa vyote na kubakiza party legal framework operations similar to an industrial line of product manufacturing.
Hata CCM hali iko hivyo ndio maana tunashuhudia wajasiria siasa wengi (kibao) wanaomba kugombea udiwani au ubunge kupitia chama hicho.
Pengine utakuwa ulimsikia Augustino Lyatonga Mrema jana ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM akiomba chama chake kipewe wagombea ubunge/udiwani kutoka miongoni wa watakaokuwa hawakupitishwa na CCM.
Aidha, ukisikiliza nyimbo walizokuwa wakiimba wasanii kwenye mkutano mkuu wa CCM na kisha kushangiliwa na wajumbe hao pasipo nyimbo kuwa na ideological substance inaonesha kiwango kilichofikiwa cha ideological paucity ndani ya CCM.
Ukiona mwenyekiti na mgombea kiti cha urais wa chama anateuliwa, lakini badala ya hotuba yake ya kukubali uteuzi kusheheni mipango kiitikadi au tathmini ya utendaji miaka mitano iliyopita (hapa kikwete alipaweza sana), kwa mfano namna ambavyo chama kinaungwa mkono na wananchi (wanachama wapya), uwezo wa kubuni na kutekeleza miradi yake ya kisiasa, uwezo wa kuhamasisha na kutumia rasmilimali za chama, uwezo wa kuimarika kwa institutuinal machinery ya chama, uwezo wa chama (siyo serikali) kuchagiza (influence) public opinion, na kadhaika - mgombea pekee wa nafasi ya urais na mteule wa Chama Cha Mapinduzi ana-reduce mkutano mkuu wa chama chake kuwa tukio la kupiga kura za kumteua mgombea tu, na ndani ya masaa manne, badala ya kuendelea na ratiba ya siku mbili zilizopangwa, anakatiza na kutangaza kuisha kwa mkutano mkuu, ujue kuwa kwa sasa Tanzania inaelekea shimoni kisiasa, and the first victim is CCM!
Karibu sana mkuuNiwe mkweli ,nyuzi za huyu Erythrocyte hua zinachekesha sana .Hasa kwa namna anavyowasilisha kwa mbwembwe.Khaaa!!
Simjui wala sina ugomvi naye wowoteKatiba ya CCM inasema wazi mwanachama atakoma uanachama kwa "Kujiunga na Chama kingine chochote cha siasa". Katiba ya Chadema pia nayo inasema wazi "Asiwe mwanachama wa Chama kingine cha siasa baada ya kujiunga na CHADEMA."
===
Ninadhani muhusika anajua maelezo ya katiba za vyama hivi, vinginevyo, mleta mada awe ameamua kumchafua.
Just a typo; I guess. Not big deal!basket?