Utapeli miamala ya simu: Usikubali malipo kwa simu toka kwa usiyemjua

Umeandika vyema.

Mteja ana haki ya kulindwa. Kumnyima elimu sahihi na kwa wakati kiasi cha kumwacha exposed kwenye utapeli kama hivi makampuni ya simu hayawezi kukwepa lawama.

Sikumaanisha hili ni voda peke yake.

Ninakazia: kama taifa tunayo safari ndefu bado kuhusiana na uwezo wa kuchakata habari. Kwa maana hata waliopaswa kuelimisha wengine ndiyo hao unaowaona humu JF.

Cc: Allency
 
Uelewa wa jamaa yako ndio uko shallow, Vodacom wanakwambia malipo ya kibiashara tumia Lipa namba, na sio mpesa directly.
 
Uelewa wa jamaa yako ndio uko shallow, Vodacom wanakwambia malipo ya kibiashara tumia Lipa namba, na sio mpesa directly.

Kama taifa watanzania tuna matatizo. Ndiyo maana hata katiba ni kama vile na wateuliwa ndiyo wale.

Kila mtu mjuzi hata wa asichokijua.

Cc: Allency
 
Ebu sema uyo mtu aliyeibiwa izo hela ..hela alitumiwa kwenye laini zipo Kati ya hizi...?? 1.lipa kwa simu 2.Laini ya kawaida..? 3.laini ya uwakala wa mpesa.
Hebu sema wewe (uliye mjanja) una laini ya 1. Lipa kwa mpesa? 2. Laini ya kawaida? 3. Laini ya uwakala wa mpesa?

Hivi au Watanzania wangapi wana laini tatu hizo zilizo tofauti?

Hivi hata mada uliielewa kweli?

Kwanini watanzania tume kubuhu kwenye umburula uliopitiliza hivi?
 
Mkuu the only solushen is to commit suicide. When you do that all problems will end and you will be free forever believe me.
 
Kama taifa watanzania tuna matatizo. Ndiyo maana hata katiba ni kama vile na wateuliwa ndiyo wale.

Kila mtu mjuzi hata wa asichokijua.

Cc: Allency
Mkuu ulipotea wapi? Tumemiss kichiz threads zako za Corona.
 
Lakini muamala mkubwa voda hawarudishi kirahis mpka wawapigie simu...

Labda hizi elf 20 ndo zinarudi instantly.
 
Kwa mfanyabiashara unaendesha biashara yako kisasa huwezi acha kuweka mfumo wa kupokea pesa kwa njia ya mtandao
Ili kukwepa Wizi huu Wwe mfanya biashara Sajili laini ya LIPA NAMBA iwe ya Voda au Tigo maana hizi uzuri zinapokea Pesa kutoka mtandao wowote,,Au Kuwa na Acnt ya BANK ya kupokelea Pesa
Mteja anapolipa Kwa Mpesa/Tigo Pesa au akatoa moja kwa moja kwenye namba yako ya wakala hawezi Rudisha Muamala na hata akijaribu kabla fedha haijarudi lazima Kama ni voda wakupigie simu kukuliza kuwa kuna mteja namb flani karipoti kukosea kutoa/kulipa hela katika namba yako je ni kweli ukiwaambia sio kweli wao wanachofanya ni kumpigia yule mteja na mnunganishwa mbishane wakipata ukweli kama yule mteja alijaribu kukutapeli kweli wanachofanya ni kuifunga laini yake haraka sana.....

Ila ukisema upokee malipo kwa namba yako ya mkononi kupigwa ni nje nje tofauti na laini za kibiashara
 
Kwamba unaita uongo bila ya kuwa na ufahamu wowote wa kadhia hii?

Vodacom amekiri tatizo hili ni rampant?

No wonder kuna Tanzania ya viwanda ikijengwa katika awamu fulani.

Bure kabisa!
Huyo hakupokea Malipo hayo unaita malipo sababu ni wewe na huyo nduguyo mnajua wao voda wanajua ni pesa tu ilitumwa na alotuma akisema kakosea ni lazima arejeshewe maana yeye ndo mmiliki,,voda hawawezi kataa kurejesha pesa ya mtu maana nao hawajui mlikubalianaje hadi mkatumiana na wanaamini mnafahamiana...muamala wowote unaoingia kwenye namba ya kawaida yule alotuma ndo ana haki na sio mpokeaji

Malipo ni Yanayopita kwenye LIPA NAMBA au Yanayopita kwenye Code ya WAKALA haya sasa ndo hata upige Vodacom kuomba urejeshewe huwezi rejeshewa kiwepesi bila Yule Mpokeaji kuthibitisha kweli umekosea au sio kweli unaleta ujanja ujanja

Mshuri ndugu yako aache mambo ya kizamani akasajili LIPA NAMBA tena ni bure kabisa
 
Option ya ku-cancel muamala iliwekwa kwa nia nzuri pale unapokosea namba pesa ikaenda siko. Ila ndio hivyo inatumika vibaya.
 
Hakuna malipo yeyote ya lipa Kwa simu au kutoa pesa Kwa wakala yanayokuruhusu kurudisha muamala bila kushirikishwa wakala Alichokifanya huyo ndio akatapeliwa alikubali kupokea hela Kwa njia ya mpesa kupitia namba yake ya kawaida ambayo aliyetuma anaweza kuuzuia muamala bila ya wewe kushirikishwa.
 
Muamala unaopita kwenye LIPA NAMBA hata uwe mia tano hurudishiwi bila mpokeaji kukubali kuwa sio muamala sahihi
You know what? At least unakuwa pale pale na namba unaiona. Ukikosea tena kutype namba na kuthibitisha jina huna tofauti na aliyetupa pesa kwa makusudi. In short you're not serious na hakuna namna ya kukusaidia zaidi.
 
... na ndio maana wajanja kama unataka kumtumia pesa kutokea mbali hakubali umtumie kwenye namba yake. Anakutumia details za wakala utume kwake kuondoa risk ya ku-cancel mwamala baada ya kutuma.
 
Lipa kwa Mpesa au Tigo pesa ndio kisheria inatambulika, namba ya simu ya kawaida hairuhusiwi kufanya biashara au kulipana kibiashara hata kama mlikubaliana na ikitokea upande wa pili kupiga simu Customer care akiomba pesa yake irudi amekosea kutuma inarudishwa na ukilalamika utaelekezwa labda kwa suala lako uende polisi tu. Hivyo kama wewe ni mfanyabiashara au una biashara nenda kachuke zile namba za "Lipa kwa" watu sio waaminifu hasa linapokuja suala la pesa.
 
... na ndio maana wajanja kama unataka kumtumia pesa kutokea mbali hakubali umtumie kwenye namba yake. Anakutumia details za wakala utume kwake kuondoa risk ya ku-cancel mwamala baada ya kutuma.
Hata hao mawakala wameshakatazwa kutoa pesa za mbali maana mteja nae akipiga simu alitoa pesa kimakosa imekula kwake maana pale Call Centre wanaaangalia mnara aliopo wakala na mnara wa mteja sasa, mteja yupo Arusha walaka Mtwara alalamike katoa kimakosa hela yake inarudishwa. Mawakala wanafanyaga tu kwa shida ya pesa lakini wanarisk maisha yao.
 
Lakini muamala mkubwa voda hawarudishi kirahis mpka wawapigie simu...

Labda hizi elf 20 ndo zinarudi instantly.
Ok mimi sijapitia issue hii lakini kwangu hata alfu kuna watu ni pesa ndefu sana kwao hao wanatakiwa kulindwa hata wa alfu kama wakubwa wanalindwa na wadogo wana haki sawa.
 
Ninakazia:

"Hivyo kama wewe ni mfanyabiashara au una biashara nenda kachuke zile namba za "Lipa kwa" watu sio waaminifu hasa linapokuja suala la pesa."

Elimu tosha. Ya wengi wengine ni porojo porojo tu.
 
Ok mimi sijapitia issue hii lakini kwangu hata alfu kuna watu ni pesa ndefu sana kwao hao wanatakiwa kulindwa hata wa alfu kama wakubwa wanalindwa na wadogo wana haki sawa.
Tulipo - wadogo hawalindwi na tukisema kuwaelimisha mamburula na matapeli husika ni full kung'aka.

Pole Tanzania.
 
... na ndio maana wajanja kama unataka kumtumia pesa kutokea mbali hakubali umtumie kwenye namba yake. Anakutumia details za wakala utume kwake kuondoa risk ya ku-cancel mwamala baada ya kutuma.
Ndio ingekua kurudisha sasa Kila mtu asingelipa hela halafu anachukua cash anaondoka anaenda kurudisha muamala mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…