dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... umefafanua vizuri sana. Swali, "Lipa kwa X-Pesa" inaruhusiwa kutokea mbali? Kwa mfano nimesafiri, naweza kumtuma kijana akaenda penye huduma ya "Lipa kwa X-Pesa" nikalipa kutokea mbali tofauti na kutolea kwa wakala ambapo hairuhusiwi kutokea mbali?Lipa kwa Mpesa au Tigo pesa ndio kisheria inatambulika, namba ya simu ya kawaida hairuhusiwi kufanya biashara au kulipana kibiashara hata kama mlikubaliana na ikitokea upande wa pili kupiga simu Customer care akiomba pesa yake irudi amekosea kutuma inarudishwa na ukilalamika utaelekezwa labda kwa suala lako uende polisi tu. Hivyo kama wewe ni mfanyabiashara au una biashara nenda kachuke zile namba za "Lipa kwa" watu sio waaminifu hasa linapokuja suala la pesa.