Utapeli miamala ya simu: Usikubali malipo kwa simu toka kwa usiyemjua

Utapeli miamala ya simu: Usikubali malipo kwa simu toka kwa usiyemjua

Ujinga ina maana kutokujua jambo kwa wakati huo. Mtu akishaelimishwa ujinga huishia hapo. Uzi huu umelenga kutoa elimu hiyo. Hata kichwa cha habari nacho hukusoma?
Ndiomaana nikasema Ni mjinga,maana alikuwa hajui
 
Kuna uthibitisho toka vodacom kuwa tatizo hili ni rampant kwao. Bila shaka Airtel, Tigo na Halotel. Yet unathubutu kusema nani asiyejua?

Si heri ungefunika domo lako ikakusaidia kuficha ujinga wako jombi?
Kubali kuelimika, kumbuka kuwa huwezi maliza wajinga wote nchini, ndiyo maana mpaka leo kuna watu wanatapeliwa na wale jamaa wa tuma kwa namba hii. So wew ni mmoja wa hao wajinga
 
Jamaa yangu mmoja alikubali malipo kwa M-pesa. Muamala ukasoma safi, lakini baada ya muda mlipaji akauchukua kama alivyokuwa kautuma. Wizi na utapeli wa mchana kweupe!
Ninacho jua, vodacom/makampuni ya simu hayahusiki kwa sbb
"HAWAKUWAPO KWENYE MAKUBALIANO YENU YA KULIPANA"
 
Soma mada kujiridhisha kuwa swali lako ni relevant.
So wachangiaji wote hawajasoma mada yako? Maana kila mmoja anakuona kama mjinga flani then wewe unamuuliza kama kasoma mada au anajibu bila kusoma, jua wewe ndiyo tatizo
 
Yani mtu mmefanya biashara na hamjuani aiseee usijaribu hiyo njia.. HATA MALAYA HUWA HAWATAKI KABISA MALIPOO YA NJIA YA SIMU 😀 😀 😀 😀
 
So wachangiaji wote hawajasoma mada yako? Maana kila mmoja anakuona kama mjinga flani then wewe unamuuliza kama kasoma mada au anajibu bila kusoma, jua wewe ndiyo tatizo
Kila mmoja haina maana ya wewe na jamaa zako wawili watatu. Unayeonekana mjinga mbona ni wewe?
 
Ninacho jua, vodacom/makampuni ya simu hayahusiki kwa sbb
"HAWAKUWAPO KWENYE MAKUBALIANO YENU YA KULIPANA"
Kwa hiyo huoni umuhimu wa wao au elimu kutolewa kwa wateja wao?
 
Kila mmoja haina maana ya wewe na jamaa zako wawili watatu. Unayeonekana mjinga mbona ni wewe?
Sasa kwanini kila mmoja anakuona hamnazo? Ungeandika kuwa Alert kwa wote msiojua kuwa kuna lipa namba so msifanye malipo kwa kutuma pesa. Kubali kukosea kwa ni sehemu ya ubinadamu wala usitukane wanaokukosoa.
 
Kila mmoja? Au comments unazosoma ni zile zako tu? "Hiiiiii bagosha" - mwamba mmoja akizoea kusema.
 
Kuna mdau kasema unashindwa akili hata ma Malaya, jitafakari sasa hapo

Kuna mdau kasema ameshuhudia yakitokea. Kuna aliyewashauri vodacom options za kupisha kadhia hii. Vodacom wamekiri tatizo hili kuwa rampant. Etc, etc.

Wewe unasema Hakuna tatizo?

Jitafkari kwani ni dhahiri malaya ana akili kuliko wewe.
 
Sasa mtu anakubalije kulipwa kwa Mpesa? Mjinga ni anauekubali kulipwa kwa Mpesa badala ya Lipa kwa Mpesa. Hii haipaswi kuwa habari/mada.
Ujinga hutibiwa kwa elimu. Vodacom anathibitisha kesi hizi ni nyingi. Huoni kuwa elimu haijawafikia yanaowakuta? Au hadi tu waumwe na nyoka?
 
Kuna mdau mmoja kasema ameshuhudia yakitokea. Kuna aliyewashauri vodacom kupisha kadhia hii. Vodacom wamekiri tatizo I rampant etc.

Wewe unasema Hakuna tatizo.

Jitafkari kwani ni dhahiri malaya ana akili kuliko wewe.
Mkuu wewe kwa akili zako unaamini vodacom wakiamua kuitoa hiyo option hawawezi au wanaona ni muhimu kwa wateja wao? Twende kistaarabu sasa
 
Ndiomaana nikasema Ni mjinga,maana alikuwa hajui

Unadhani uzi huu umeandikwa kwa ajili yake au ni kwa ajili ya wengine?

Kwamba hadi kasema na wengine tukasikia angali ni mjinga?

Si kuwa ndiyo maana kama nchi tuko hapa tulipo kweli?
 
Kubali kuelimika, kumbuka kuwa huwezi maliza wajinga wote nchini, ndiyo maana mpaka leo kuna watu wanatapeliwa na wale jamaa wa tuma kwa namba hii. So wew ni mmoja wa hao wajinga
Hata kiswahili nacho hujui. Wapi nimeandika haya yamenikuta miye?

Kuandika kuwaonya wengine imekuwa nongwa?

Yumkini wewe ni mburula au u tapeli mnufaika. Ndiyo maana watu kuonywa kutambua kuwa wajomba wa tuma kwa namba hii huwa mnatoka pia kivingine?
 
Hata kiswahili nacho hujui. Wapi nimeandika haya yamenikuta miye?

Kuandika kuwaonya wengine imekuwa nongwa. Yumkini wewe ni mburula au utapeli mnufaika na watu kuonywa kutambua kuwa wajomba kwa tuma kwa namba hii mnatoka pia kivingine.
Sawa, ishia hapo mkuu, akili zako unazijua wewe, maana nikiendelea waweza dhani nakutukana. Basi uko sahihi mkuu. Big up kwa kulipa kwa mpesa na ukatapeliwa lakini wataka fidia. Though wasema siyo wewe.
 
Kwa hiyo huoni umuhimu wa wao au elimu kutolewa kwa wateja wao?
mkuu kwanza pole kwa matatizo
pili Polisi, TCRA, na kampuni za simu wanatoa sana elimu kwa njia ya sms.

ukipata muda pitia hapa:​

Mkuu wewe kwa akili zako unaamini vodacom wakiamua kuitoa hiyo option hawawezi au wanaona ni muhimu kwa wateja wao? Twende kistaarabu sasa

Kwenda kistaarabu ni jambo la kheri. Kumbuka nimetumia maneno yote kama ulivyoyaleta wewe. Nisiache kukukumbusha kuheshimu maoni ya wengine.

Kabla ya kuendelea nikutake uzisome kwanza angalau posts #86 na #89 kwa kuanzia.

Hatuandiki tokea hewani shukurani kwenu SINGULARITY na Masasaa kwa posts zenu zenye nondo na ustaarabu uliotamalaki.
 
mkuu kwanza pole kwa matatizo
pili Polisi, TCRA, na kampuni za simu wanatoa sana elimu kwa njia ya sms.

ukipata muda pitia hapa:​

Miye ni mtoa elimu tu mkuu. Yamemkuta jamaa yangu ambaye kwangu ni kama ndugu.

Tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom