Ndiomaana nikasema Ni mjinga,maana alikuwa hajuiUjinga ina maana kutokujua jambo kwa wakati huo. Mtu akishaelimishwa ujinga huishia hapo. Uzi huu umelenga kutoa elimu hiyo. Hata kichwa cha habari nacho hukusoma?
Kubali kuelimika, kumbuka kuwa huwezi maliza wajinga wote nchini, ndiyo maana mpaka leo kuna watu wanatapeliwa na wale jamaa wa tuma kwa namba hii. So wew ni mmoja wa hao wajingaKuna uthibitisho toka vodacom kuwa tatizo hili ni rampant kwao. Bila shaka Airtel, Tigo na Halotel. Yet unathubutu kusema nani asiyejua?
Si heri ungefunika domo lako ikakusaidia kuficha ujinga wako jombi?
Ninacho jua, vodacom/makampuni ya simu hayahusiki kwa sbbJamaa yangu mmoja alikubali malipo kwa M-pesa. Muamala ukasoma safi, lakini baada ya muda mlipaji akauchukua kama alivyokuwa kautuma. Wizi na utapeli wa mchana kweupe!
So wachangiaji wote hawajasoma mada yako? Maana kila mmoja anakuona kama mjinga flani then wewe unamuuliza kama kasoma mada au anajibu bila kusoma, jua wewe ndiyo tatizoSoma mada kujiridhisha kuwa swali lako ni relevant.
Kila mmoja haina maana ya wewe na jamaa zako wawili watatu. Unayeonekana mjinga mbona ni wewe?So wachangiaji wote hawajasoma mada yako? Maana kila mmoja anakuona kama mjinga flani then wewe unamuuliza kama kasoma mada au anajibu bila kusoma, jua wewe ndiyo tatizo
Kwa hiyo huoni umuhimu wa wao au elimu kutolewa kwa wateja wao?Ninacho jua, vodacom/makampuni ya simu hayahusiki kwa sbb
"HAWAKUWAPO KWENYE MAKUBALIANO YENU YA KULIPANA"
Sasa kwanini kila mmoja anakuona hamnazo? Ungeandika kuwa Alert kwa wote msiojua kuwa kuna lipa namba so msifanye malipo kwa kutuma pesa. Kubali kukosea kwa ni sehemu ya ubinadamu wala usitukane wanaokukosoa.Kila mmoja haina maana ya wewe na jamaa zako wawili watatu. Unayeonekana mjinga mbona ni wewe?
Kuna mdau kasema unashindwa akili hata ma Malaya, jitafakari sasa hapoKwa hiyo huoni umuhimu wa wao au elimu kutolewa kwa wateja wao?
Sasa kwanini kila mmoja anakuona hamnazo? Ungeandika kuwa Alert kwa wote msiojua kuwa kuna lipa namba so msifanye malipo kwa kutuma pesa. Kubali kukosea kwa ni sehemu ya ubinadamu wala usitukane wanaokukosoa.
Kuna mdau kasema unashindwa akili hata ma Malaya, jitafakari sasa hapo
Sasa mtu anakubalije kulipwa kwa Mpesa? Mjinga ni anauekubali kulipwa kwa Mpesa badala ya Lipa kwa Mpesa. Hii haipaswi kuwa habari/mada.Usikubali kulipwa kwa mpesa na mtu usiyemfahamu
Ujinga hutibiwa kwa elimu. Vodacom anathibitisha kesi hizi ni nyingi. Huoni kuwa elimu haijawafikia yanaowakuta? Au hadi tu waumwe na nyoka?Sasa mtu anakubalije kulipwa kwa Mpesa? Mjinga ni anauekubali kulipwa kwa Mpesa badala ya Lipa kwa Mpesa. Hii haipaswi kuwa habari/mada.
Mkuu wewe kwa akili zako unaamini vodacom wakiamua kuitoa hiyo option hawawezi au wanaona ni muhimu kwa wateja wao? Twende kistaarabu sasaKuna mdau mmoja kasema ameshuhudia yakitokea. Kuna aliyewashauri vodacom kupisha kadhia hii. Vodacom wamekiri tatizo I rampant etc.
Wewe unasema Hakuna tatizo.
Jitafkari kwani ni dhahiri malaya ana akili kuliko wewe.
Ndiomaana nikasema Ni mjinga,maana alikuwa hajui
Hata kiswahili nacho hujui. Wapi nimeandika haya yamenikuta miye?Kubali kuelimika, kumbuka kuwa huwezi maliza wajinga wote nchini, ndiyo maana mpaka leo kuna watu wanatapeliwa na wale jamaa wa tuma kwa namba hii. So wew ni mmoja wa hao wajinga
Sawa, ishia hapo mkuu, akili zako unazijua wewe, maana nikiendelea waweza dhani nakutukana. Basi uko sahihi mkuu. Big up kwa kulipa kwa mpesa na ukatapeliwa lakini wataka fidia. Though wasema siyo wewe.Hata kiswahili nacho hujui. Wapi nimeandika haya yamenikuta miye?
Kuandika kuwaonya wengine imekuwa nongwa. Yumkini wewe ni mburula au utapeli mnufaika na watu kuonywa kutambua kuwa wajomba kwa tuma kwa namba hii mnatoka pia kivingine.
mkuu kwanza pole kwa matatizoKwa hiyo huoni umuhimu wa wao au elimu kutolewa kwa wateja wao?
Mkuu wewe kwa akili zako unaamini vodacom wakiamua kuitoa hiyo option hawawezi au wanaona ni muhimu kwa wateja wao? Twende kistaarabu sasa
mkuu kwanza pole kwa matatizo
pili Polisi, TCRA, na kampuni za simu wanatoa sana elimu kwa njia ya sms.
ukipata muda pitia hapa:
Nawatetea Serikali, TCRA, Polisi na mitandao ya simu kuhusu utapeli wa "Tafadhali tuma kwa namba hii"
Nitangulize samahani kwa wadau watakaodhani natetea uhalifu (ubaya) wa namna yoyote. Lakini wema na ubaya havijawai kuachana kama mwanga na giza. Ifikie hatua waibiwaji tujitathmini. Ubaya ukikwaza wengi mtu timamu huangalia wapi tatizo linaanzia. Hili la wizi wa mtandaon kama "tafadhari...www.jamiiforums.com