Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

 
Nenda supermarket iliyo karibu yako,kanunue spray inaitwa SWASA inauzwa 75000/=....
utanishukuru baadae
Hebu weka hii hesabu sawa sawa; ni Shilingi 7,500 au 75,000?
Namaanisha kama ni 75,000 kwa chupa moja ya spray, bora kufikiria namna nyingine...
 
Wewe binafsi ulishawahi kutumia hizo dawa za hicho kiwanda cha TBPL yaani Bactivec na Griselesf? Na je, ulishawahi kujiuliza yafuatayo?
1. Mbu uweza kuruka kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa umbali gani?
2. Ukiua mazalia ya mbu nyumbani kwako tu na kama jirani yako hajatumia hiyo dawa kuua mazalia ya mbu, wale mbu wanaozalishwa kwake hawataruka na kufika nyumbani kwako?
Maana yangu ni kwamba kwa mjini kulipo na msongamano wa nyumba nyingi bila majirani kukubaliana na kupulizia hiyo dawa Δ·wa pamoja ili kuua mazalia ya mbu juhudi za mtu mmoja kwenye nyumba yake moja haziwezi kutoa matokeo mazuri ya kujikinga na madhara ya mbu.
 
Mkuu kama Una kunguni unayo shughuli pevu hao wadudu ni resistance hatar hawatoki na hawafi kirahs , dawa Yao ni kujitahidi kutowapata au kua-bandon nyumba Kwa mda
 
Unaopataje hiyo dawa?
 
Tupe Ilmu/Elimu....
Resistance to pyrethroids is often associated with alterations (point mutations) in the para-type sodium channel gene, that cause reduced neuronal sensitivity.

Pyrethroids acts on the insect nervous system by altering the normal function of the para-type sodium channel, resulting in prolonged channel opening that causes increased nerve impulse transmission, leading to paralysis and death.

Source:Biomedic
 
TBS wanaangalia haya Madudu.
Waaapi, wakishalipwa rushwa wanaacha.....kuna dawa nyingi sana hapa Tanzania hazifai kwa binadamu zinauzwa madukani na fucking TBS wapo wanakuna tu pumbu zao maofisini huku wananchi wanakufa na side effects. Wizara husika ipo lakini wanakaa kimya mpaka watu wafe ndipo utasikia waziri anakuja kujamba hadharani sijuwi nini. Wanashindwa kufanya msako wa kushitukizia kwenye hizi pharmacy na kukamata perpetrators. TBS ni sawa na African Union tu, haina kazi ipo tu pale kama msukule. Tanzania sidhani kama tuna viongozi/mawaziri wanaojitambua, they are all incompetent.
 
𝖧𝗂𝗓𝗂 𝗓𝖺 π—Œπ—‚π—„π—Ž 𝗁𝗂𝗓𝗂 π—Œπ—‚π—ˆ 𝖧𝖨𝖳 π—ˆπ—€..π—π–Ίπ—π—Žπ—‡π—‚ π—π–Ίπ—…π—‚π—‰π—ˆπ—ˆπ—‡π–Ί 𝗓𝗂𝗇𝖺 𝗃𝗂𝗇𝖺 𝗐𝖺𝗄𝖺𝖾𝗇𝖽𝖺 π—„π—Žπ–Ώπ—’π–Ίπ—π—Žπ–Ί 𝖒𝗁𝗂𝗇𝖺..π—„π—‚π—‡π–Ίπ–Όπ—π—ˆπ–Ώπ–Ίπ—‡π–Ίπ—‡π–Ί 𝗇𝗂 π—„π—ˆπ—‰π—ˆ π—π—Ž 𝗇𝖺 π—π–Ίπ—‹π—Žπ–Ώπ—Ž
 
Rushwa imetamalaki mnoo ktk hii taasisi. tutazidi kuumia tu iliibuka swala la vinywaji vya energy ikakaliwa kimya, ikaibuka sakata la juice zile za Azam nayo ikakaliwa kimya. yaan ni upuuzi tu tunazid kuumia.
 
Tunapata tabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…