Utapeli wa Dawa ya 'HIT' katika kuua Mbu

Ni kujibana na kuamua tu.hit 7500-8000 na expel ni 12000-14000 kutegemea na eneo
Nadeal na X-P nitaleta mrejesho si ina kopo la white hivi? Nilitumia siku nyingi mnoo
 
Mimi vijimende vidogo vidogo vinatoka chombo vipi hoi
 
Kipindi kile HIT ilikuw HIT kweli wadudu walidedi sana, ila siku hizi HIT ni kama Lavender air freshener.

Tandu mzee wa kukaa chini ya Kapeti huyo nampata vzr kuna huyo na kuna BUIBUI wale wanene.
 
Hii hata mimi nimeshuhudia ikabidi niachane nayo ila nahisi labda huenda kuna fake. Siku hizi nmerudi kwenye xpel maana mimi na chandarua ni kama sungura na kuoga
 
Hii hata mimi nimeshuhudia ikabidi niachane nayo ila nahisi labda huenda kuna fake. Siku hizi nmerudi kwenye xpel maana mimi na chandarua ni kama sungura na kuoga
Yes, kwa kuw mmenipa recommendations za X-P nahakika itaniokoa.

So kibongo tuna varieties 3 tu za DAWA.

1 Rungu
2 HIT
3 X pel

Na tupo serious kupambana na Malaria?
 
Tutaomba mrejesho kesho kutwa na naomba unitag# hivi ninavyochati nipo nje ya nyumba na nimetoka kuipiga iyo rungu sijui itakuaje katika kuleta matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…