mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
dawa anayozungumzia MAWEED inauzwa 75k 😂Ni kujibana na kuamua tu.hit 7500-8000 na expel ni 12000-14000 kutegemea na eneo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dawa anayozungumzia MAWEED inauzwa 75k 😂Ni kujibana na kuamua tu.hit 7500-8000 na expel ni 12000-14000 kutegemea na eneo
Nadeal na X-P nitaleta mrejesho si ina kopo la white hivi? Nilitumia siku nyingi mnooNi kujibana na kuamua tu.hit 7500-8000 na expel ni 12000-14000 kutegemea na eneo
Mimi vijimende vidogo vidogo vinatoka chombo vipi hoimiaka flani nyuma, kibanda hakijaisha vyema
niliziba madirisha, nilipiga chumbani, kwa kua inachoke nikatoka nje kwa mda wa dk 20
kurudi, nakuta mende, mijusi, nyoka wadogo, tandu, buibui, wote wamekufa wako pembeni
nilishangaa sana, ilihali lengo ilikua ni kuua mbu, nilishangaa pia kuona naishi na tandu chumbani [emoji28]
Kipindi kile HIT ilikuw HIT kweli wadudu walidedi sana, ila siku hizi HIT ni kama Lavender air freshener.miaka flani nyuma, kibanda hakijaisha vyema
niliziba madirisha, nilipiga chumbani, kwa kua inachoke nikatoka nje kwa mda wa dk 20
kurudi, nakuta mende, mijusi, nyoka wadogo, tandu, buibui, wote wamekufa wako pembeni
nilishangaa sana, ilihali lengo ilikua ni kuua mbu, nilishangaa pia kuona naishi na tandu chumbani 😅
Hii hata mimi nimeshuhudia ikabidi niachane nayo ila nahisi labda huenda kuna fake. Siku hizi nmerudi kwenye xpel maana mimi na chandarua ni kama sungura na kuogaHizi dawa zilikuwa vizuri miaka minne iliyopita ila hali ya sasa kwa kweli ni UTAPELI wa wazi.
1_ Haiui MBU kwa kiwango kinachopaswa yaani katika Mbu 50 watakufa watatu (3).
Yaan mpk mbu afe ni umloweshe na hiyo dawa ndio atakufa ila ukipuliza kama inavyoelekezwa upulize ktk mazingira ya eneo waliopo, hakika hatokufa Mbu hata mmoja, ukitaka mbu afe ni umshike umpulizie usoni.
2_ Hata Mbu kuzimia kidogo hakuna! Sana sana watajificha tu kwa muda wa lisaa limoja baada ya kupuliza ila watarudi na wakirudi wanarudi na NJAA ya kufa mtu. (Inawezekana hii Dawa ina wapa Appetite zaidi)
Si kwa HIT tu nimetumia dawa ya RUNGU pia haina matokeo mazuri ktk kuangamiza MBU.
Je wana JF mmekutana na hii changamoto?
Je mnapendekeza dawa ipi bora ya kuangamiza hawa viumbe?
NB: nimezungumzia kwa upande wa Mdudu aina ya MBU tu kwa kuwa ndio mdudu anayenisumbua mahala nilipo, hakuna Mende wala wadudu wengine, hivyo ufanisi wa dawa hii kwa kuua viumbe wengine sijaupima.
Nawasilisha.
Nunja dawa ya kuua wadudu ya unga mwaga kuzungushia vinapotokeaMimi vijimende vidogo vidogo vinatoka chombo vipi hoi
Kwamba hali ni ngumu sana et mzee wangu..nina mashaka sana kama atakua na hicho kiasi cha pesa mzee wangu
Yes, kwa kuw mmenipa recommendations za X-P nahakika itaniokoa.Hii hata mimi nimeshuhudia ikabidi niachane nayo ila nahisi labda huenda kuna fake. Siku hizi nmerudi kwenye xpel maana mimi na chandarua ni kama sungura na kuoga
alaf wanakera hawa wadogo, japo sasa sina baada ya kuondoa kila nisichokitumiaMimi vijimende vidogo vidogo vinatoka chombo vipi hoi
Hao wana daw zile za kunyunyuzia.Mimi vijimende vidogo vidogo vinatoka chombo vipi hoi
Kujipaka na umri ulionao huo???....acha utoto,nimekwambia sprey unapulza ndani,ina harufu nzuri halafu ni afodabo...Ok.. kesho ntapitia. Nawaza nitumie zile za kupaka ila naona sio nzr kiafya. Zile atleast hazinaga mbambamba.
75K kwel hiyo chupa ina ujazo wa mils ngapi?Kujipaka na umri ulionao huo???....acha utoto,nimekwambia sprey unapulza ndani,ina harufu nzuri halafu ni afodabo...
Ushajaribu raidYes, kwa kuw mmenipa recommendations za X-P nahakika itaniokoa.
So kibongo tuna varieties 3 tu za DAWA.
1 Rungu
2 HIT
3 X pel
Na tupo serious kupambana na Malaria?
Rungu na HIT ni Kaka na Dada.Tutaomba mrejesho kesho kutwa na naomba unitag# hivi ninavyochati nipo nje ya nyumba na nimetoka kuipiga iyo rungu sijui itakuaje katika kuleta matokeo
Mweeeh! Dawa ya mbu 75k😳😳Nenda supermarket iliyo karibu yako,kanunue spray inaitwa SWASA inauzwa 75000/=....
utanishukuru baadae
Hiyo hapana ktk maduka yetu huku ni hizo mbili RUNGU na HIT kukuta aina nyingine ni mpk uende Supermarket.Ushajaribu raid
😅 😅 😅 😅 😅Hizi ni perfume zilizo changamka