UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

So what do you want from wacheza kamari? Do you want them to quit kucheza kamari wawe kama wewe ambaye huchezi or what do you want from them? You are just lamenting kwamba forex and the like ni kamari, then tell them what is you motive? Mi nadhani ungekuwa unakomaa na watu wanaofanya vitendo vionvu kama ubakaji, ujambazi, uzinzi na mengine kama hayo ungeonekana wa maana sana.
 
Ahsante kwa ushauri.
 
George Soros ...


Nenda kamsome Pimbi weww
 
nakumbuka nilimpigia simu kipindi sijui forex jamaa alisema account management ni milion 1 na laki 4[emoji23][emoji23][emoji23]nikasema sawa nikatulia kimyaaaΔ…
 
Nawashangaa Sana hawa watu wanaoonea Huruma hela zetu .. Hatujawahi kuja humu kumuomba hata 100 MTU yoyote .. Hela tunatafuta sisi na tunaibiwa au kubet sisi (Kama wanavyosema) ...

Ila roho inawauma wao .. Hahahaha
 
Wewe kichaa kweli unazungumzia million 600 kwenye Forex ??


Huyo Magnetic kijaba mbongo ambae najua angeweza kukuoa wewe na familia yako mbona alikuwa nayo kwenye account yake .. Nenda Barclays masaki ukaulize wale staffs wa pale walivyokuwa wanajigonga gonga kwake ...
 
Unamsifia mwanaume mwenzio mkuu atakuoa!!!
 
Nimekuwa nikiifuatilia hii forex kwa muda sana nimeelewa nianzie wapi. Mm nataka kuwa international scalper lakini shida yangu nimjue broker mwenye spread ndogo kabisa bila commission au broker mwenye ecn account yenye spread 0.0, 0.1 au 0.2 ikiambatana na commission isiyozidi 2$ per 1lot. Nikifanikiwa kumpata broker wa hivyo vigezo I'm sure sihitaji kutumia nyingi. Ni kuscalp kwa kwenda mbele. Nikikosea entry position nahedge so I will always make profit. Mwenye kumjua broker wa hivyo anitaG
 
Kubeti ni ujinga tena ujinga mkubwa huwezi kua na ndoto za kufanikiwa kwa kutegemea kubeti.vijana tumepoteza dira kila mtu anataka kubeti ili ajenge au anunue gari,matumaini ni kubeti kwa kwenda mbele
 
Mbona mabroker wapo wengi so hii imekaaje, wanakubaliana wote kwenda against na traders wao ama ni vp?
 
Bro unajua

Jamaa yangu kweku adeboli,saiv kaachiwa anajifundishia tu vijana young investment bankers juu ya hasara za ku over leverage.

Fx is not a scam but it is a speculation, currency speculation

And we all know kuwa kuna very thin line kati ya speculation na Betting
 
Friday hopee gold kila mtu alipata gawioo la mishaharaa.

Free telegram channel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…