Utapeli wa kuagiza gari Japan

Huyu jamaa mwenyewe haeleweki maana watu wengi wamemuomba email aliotumia kuwasiliana nao haweki sijui kwa nini anaficha otherwise kaokota habari
Nimepigwa jaman ndo nafatilia hapa maana account ni ya Tanzania nimechanganyikiwa, naombeni kujua pa kuanzia ndugu zangu, SIO REAL MOTOR WENYEWE.
 
Nimepigwa jaman ndo nafatilia hapa.maana account ni ya Tanzania nimechanganyikiwa naombeni kujua pa kuanzia ndugu zangu,SIO REAL MOTOR WENYEWE.
Pole sana mkuu hiyo ndio imeenda hivyo, next time agiza kwa wenye maofisi yao huku
 
Huyu atakuwa anadanganya kwa lengo la kuchafua kampuni ya watu.
Siwezi danganya nimetapeliwa kweli ndugu zangu siko kwenye hali nzuri, nifarijini tu najua yatapita naomba Mungu uzima tu.

Nimeenda CRDB nimewaomba details za huyo aliyefungua account namba wamekataa, hawaruhusiwi details za mtu za kibenki basi nimeishia hapo.
 
Tunaomba screenshot ya mawasiliano uliyo kuwa unafanya na hao matapeli pamoja na contact zao
 

RMJ si walikuwa na wawakilishi wao pale jengo la Ushirika kama sijakosea au washatemana nao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…