Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

Ndio maana watu wanaweka kwenye kona za nyumba ili kujua anaetoka na kuingia ndani maybe weka sebuleni but the rest ignore it
Kwenye kona na nje huko ni vizuri ila ndani kila mahali hapana.
 
Hahahaha we naachaje Sasa wkt nimeulizwa Ijumaa utakua wapi au utakua umebanwa? Hili swali wewe ungejibu vipi ? Nisaidie
Mimi ili swali nimeulizwa leo ila ubusy wangu umenikosesha utelezi πŸ˜…

Ngumu sana kupindua ukikumbuka na alivyokuwa akijichanua chanu
 
Siku nikijisikia kunyoosha mkono nasimama chini ya kamera ili wanaofatilia waone magoli ya mkono yalivyo na nguvu.

Nikiwa na my love wangu nitafanya kama baltazaar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…