Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

Jibuni hoja zake siyo kumshambulia yeye.
Wana hata huo uwezo wa kujibu hoja Hawa wapumbavuu?

Hawa UVCCM wa Sasa hivi wapo kwa ajili ya kumshambulia yoyote anayejaribu kupoint out uozo wa chama na serikali.

Yaani hawapo kwa ajili kujenga chama au taifa kama vijana wanaotarajiwa kuwa viongozi wa kesho, Bali wapo kumtetea mama yao Samia pamoja na ushenzi wote unaofanywa na serikali ya Samia.

Wajinga sana hawa
 
Nadhani ungemuuliza huyu mzee wako mwanga wakati wa JPM alikuwa wapi? alisema nini kuhusu uchaguzi? ukija na majibu nitakujibu.
Wewe akili huna, una matope kichwani badala ya ubongo hili ndio jibu la kunipa kwa swali nililokuuliza?

Haya, kwa hiyo kwa sababu huu uharamia wa uchaguzi ulifanyika hata kipindi Cha JPM basi ndio hatakiwi kabisa kuongelea kwenye awamu hii ya huyu bibi yenu???

Kwa maana nyingine leo hii mtoto wako akiwa mwizi unaweza usimchukulie hatua yoyote, ukamuacha tu aendelee kuiba kwa sababu tu huko nyuma mjomba yako pia aliwahi kuwa mwizi na hakuna mtu yeyote kwenye ukoo wako aliyethubutu hata kumkemea si ndio????

Hivi reasoning ya namna hii huwa mnaitoa wapi nyie UVCCM???? Mbona akili zenu zimeoza hivi?
 
Nadhani ungemuuliza huyu mzee wako mwanga wakati wa JPM alikuwa wapi? alisema nini kuhusu uchaguzi? ukija na majibu nitakujibu.
Halafu huyu bibi yenu si mwanzoni alijinasibu kwamba atafuta legacies zote mbovu zilizoachwa na mtangulizi wake, ameshindwa nini kufuta huu mfumo mbovu wa uchaguzi?? Kwanini na yeye amefuata utaratibu ule ule wa uchaguzi ambao umekandamiza demokrasia wazi wazi kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake???

Yaani mnakuja na utetezi wa kipuuzi badala ya kujibu hoja? Nyie akili hamna kabisa
 
Usilete hadithi hapa yes Mama kajifunza kwa Baba, swali jepesi alikuwa wapi kukemea? si ni yeye aliyeenda hadharani na kumsifu JPM, au alijuwa kile chuma hamchekie ngedere
 
JIbu swali usijetekenye huyu mzee wako Mwanga hakuwepo? alisema nini? dalili za mnafiki ni hii moja wapo kuwa na sura mbili. Ni wazi chuki za huyu mzee huyu Mama kuwa Rais ndio linamkera mfupa uliomshinda yeye. SWALI ALIKUWA WAPI KUKEMEA, WAKATI LISSU ANAPIGWA ALIKUWA WAPI? WAKATI UCHAGUZI UMEIBIWA ALIKUWA WAPI? jibu huyu ndio tutaendelea. Zee jinga kubwa
 
Huu mfumo alianzisha Mama? au kaukuta. Kwanini asimtaje aliyeanzisha huu mfumo. Mama ni mwanachama wa CCM, chama kina maslahi yake na hakiwezi kuhatarisha afya ya chama kwa maamuzi ya mtu, Rais mwisho wa siku anatekeleza ilani za chama sio zake. CCM ni dude kubwa sio mtu mmoja.
 
kuwarioba alishindwa ubunge na mzee wasira akiwa waziri mkuu hebu atuache kwanza, kazi kuu ya chama cha siasa ni kushinda uchaguzi na uchaguzi una purukushani zake,
Huyu ni hazina kwa taifa. Anaongea mustakabali wa taifa kuliko chaguzi zenu.

Alishindwa ubunge sababu haamini katika rushwa. Ila sio mtu wa kushindwa ubunge jimbo lolote Tanzania hii.
 
Hawa wazee wangekaa tu kimya kulinda heshima zao kidogo walizo nazo. Wanaamsha tu hasira za vijana bila sababu. Hawa ndo walifanya maamuzi ya hovyo mno enzi zao. Kwa mfano utaifishaji wa mali za watu na kuwatia umaskini. Kule Arusha alikuwepo Mzee Tango tajiri wa enzi hizo alinyang'anywa mali zake na serikali ya wakati huo lakini baada ya kwenda mahakamani alikuwa akilipwa fidia hadi enzi za JK. Umaskini wa kutisha uliopo chanzo kikubwa ni maamuzi ya hovyo yaliyofanywa na kina Warioba.
 
Mtu yeyote anayetanguliza matusi badala ya kujibu/kujielekeza kwenye hoja, ni mgonjwa wa akili. Hata kama yeye atajiona yuko sawa. Na kwa bahati mbaya sana hapa JF wagonjwa wa akili wanazidi kuongezeka. Tunawatambua kutokana na maandishi yao.
Kwa kitaalamu ugonjwa huo wa Akili unajulikana kwa jina la “ Intermittent explosive disorder “ 🙏
 
6 lukas mwashambwa
 
Umemsahau kada yupo humu jina lake mwishoni mwashambwa kama sijakosea
 
Kwenye hiyo list hakuna mwenye uwezo wa akili wa kujibu hoja za Jaji.

Hoja za Jaji zimepenya hadi Ikulu - yaani zimeacha salama JWTZ tu kwamba ndiyo taasisi safi so far wengine wote ni mwendo wa kujisafisha uchafu.
 
Unataka kusema nini ndugu mwana CCM? Hapa hakuna kusaidiwa na Polisi ujue.
 
Mbona unaleta utani?
Umjibu nini?
Kulikuwa na hitilafu,kila mtu ameona.
Yeye Jaji Warioba amezungumza kwa sababu yeye ndiye kati ya watu wachache wanaoweza kusema kitu bila kuhofu kupelekwa Coco Beach.
Hata hivyo mimi sijasikia alichosema.
BAKWATA, Polisi ,CCM na vyama 14 marafiki hawajaona hitilafu yoyote wamesema.
 
Unataka kusema nini ndugu mwana CCM? Hapa hakuna kusaidiwa na Polisi ujue.
wa kusaidiwa kwa kuombaomba kuchangiwa vitu mbalimbali ni moja tu nchi hii, ambae pia ni kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi ..

zaidi ya hapo ni porojo na ushirikina mtupu 🐒
 
Msigwa umemsahau?
 
wa kusaidiwa kwa kuombaomba kuchangiwa vitu mbalimbali ni moja tu nchi hii, ambae pia ni kibaraka wa mambwenyenye ya magharibi ..

zaidi ya hapo ni porojo na ushirikina mtupu 🐒
Unatokea Chato au Kizimkazi? Kama hutoki huko basi utakuwa na matatizo makubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…