Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
- Thread starter
-
- #81
Wasiwe wanauza sasa kama hakita kidhi muda, ama wamwambie mteja tu.Hotel zinazoeleweka unaambiwa check in time ambayo huwa 1000hrs-1200 na check out time 1000hrs-1200hrs. Hapa unakuwa umefsnya booking.
Sasa ukifika saa 1000 utapata 24hrs unayotaka. Kama ukifika baadae sio kosa lao.
Tatizo wengi wanaenda Hotel au Guest house bila booking, mfano unafika saa mbili usiku. Wao muda wao wa check in and out ni ule ule hawawezi kubadili kwasababu yako. Chumba hicho unacholala wewe leo kuna mtu kashafanya booking anaingia kesho saa 1000 au 1200.
Naam hii starehe yataka utulivu... 👍Hii inakera sana. Niliwahi book showtime wakati najiandaa na game ndom hakuna.
Ikabidi nitoke nje nikatafute zana.
Nafika naambiwa muda umeisha.
Nilijitetea sana, nikaambiwa ona wateja wanasubiria.
Nikataka nilete songombingo. Ndo nikaruhusiwa.
Mchuchu yuko ndani anasubiria.
Nilipiga show kinyonge sana sababu walishanichanganya.
Sasa chumba chote umesha kiharibu na harufu ya kinyesi wwe mwenyewe huwezi kukaa unakikimbia!!Masaa 6 yote hayo?
Mbona mie huwa naachia chumba hata ndani ya dakika 45 tu na hakuna lawama
labda lawama za mhudumu kuhusu mashuka yake anayoyakuta uvunguni yana rangi 3 mpya!!
Sasa chumba chote umesha kiharibu na harufu ya kinyesi wwe mwenyewe huwezi kukaa unakikimbia!!
mm bora nilale stend au kwenye gari🤣🤣🤣🤣kuliko kugawa hela bure hela iheshimiwe bwana alahhhh.Yaan eti saa 2 usiku ndio nilipie room? No way
Lodge ni biashara, na kwenye biashara kanuni ya kwanza kabisa ni kufata matakwa ya mteja.Serikalini kuna kitu wanasema fuata sheria, kanuni, na miongozo ya kazi. Taasis imara haihitaji huruma katika kutekeleza majukumu yake. Hata hizo Lodge, hotel etc zinaweza kuwa na mfumo huo.
Kivinje au masoko🤣Niliwahi kwenda locge moja Kilwa huko, nikaingia saa 11, eti saa 4 wananiamsha muda umeisha, niliwaletea noma kichizi
Mkuu, Kwa nini umemuhusisha mwanamke?Daah.unalipa elfu 30 ndani ya masaa. Wakati hyo ni hela ya kodi ya mwezi. 😄😄😄mwanamke kiumbe cha ajabu sana.
😂🤣Kuna hotel niliwahi kulala hadi saa nne na dakika 5, nilipo toka na kuomba radhi kwa kuchelewa for 5 minutes.....
Nilisikia msonyo mrefu ukitoka kwa nyuma yangu na kufuatiwa na maneno "ukitaka raha, safiri na chumba chako"
Wewe uwa unaingia Lodge na mwanaume mwenzio?Mkuu, Kwa nini umemuhusisha mwanamke?