Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
- Thread starter
- #81
Wasiwe wanauza sasa kama hakita kidhi muda, ama wamwambie mteja tu.Hotel zinazoeleweka unaambiwa check in time ambayo huwa 1000hrs-1200 na check out time 1000hrs-1200hrs. Hapa unakuwa umefsnya booking.
Sasa ukifika saa 1000 utapata 24hrs unayotaka. Kama ukifika baadae sio kosa lao.
Tatizo wengi wanaenda Hotel au Guest house bila booking, mfano unafika saa mbili usiku. Wao muda wao wa check in and out ni ule ule hawawezi kubadili kwasababu yako. Chumba hicho unacholala wewe leo kuna mtu kashafanya booking anaingia kesho saa 1000 au 1200.