Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Siku akiwa anakaribisha ndege mpya nenda alafu upaze sauti kama Batholomayo alipompazia Yesu sauti na Yesu akawaambia wafuasi wamwache kisha akamponya upofu.
 
tafuta mshenga smart apeleke barua ya posa...yaani iwe kama unataka kuchumbia kwake...

utapokelewa na utapiga naye hizo story za ajira na utauwa Ndege wa2 kwa pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Kuna njia mbili tu

1: sali pale st peters ndio anasaligi
2😛ita kwangu.
 
Ni kwa ajili ya kuongea nao kuhusu CCM namna ya kuiweka karibu zaidi na wananchi.

Uchaguzi 2020 CC twende kisayansi zaidi!
 
Unataka kumdhuru huyu mwamba

USSR
 
Nenda Lumumba au makao makuu yaCCM au afisi kuu ya Kisiwandui utapate utaratibu mzima. Tambua kuonana na mwenyekiti wa CCM si Jambo dogo ukizingatia hukutani naye kama mwenyekiti bali kama Rais
 
Njoo PM uniambie unataka kuongea nini na Mh. Rais...

Kama una hoja nzuri nitakutumia namba yake ya mkononi...
 
Hello JF,

Naombeni mnijuze njia za kumuona Rais,

Kuna jambo nataka tutete 🤣 🤣

I am serious, kama unajua please niambie, sitaki kuwaona mawaziri sijui watendaji. Nimekoma, siamini tena mtu, wewe kama unajua number ama hatua za kufuata please niambie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…