khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
Unaanzia kwa mwenyekit wa mtaa unaoishi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna njia mbili tuKama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kuongea nae baadhi ya mambo kama mtanzania mwenzake . Kuna baadhi ya mambo nimeyapatia ufumbuzi hasa Ajira ila sasa kwa kuanzia ndio sijui.
Hahahaaaa wewe nenda LumumbaNi kwa ajili ya kuongea nao kuhusu CCM namna ya kuiweka karibu zaidi na wananchi.
Uchaguzi 2020 CC twende kisayansi zaidi!
Hahahaha unaona mbali sana weweThe Lobbyist akijaribu kufanya Lobbying
Nenda Lumumba pale utawakuta ila aga kabisa om.Habari wanaJF,
Naomba kujua procedure ipi unaweza ifuata ili ukaweza kuonana na Rais.
Mfano unataka kutoa ushauri juu ya kitu flani.
Thanks
Duh!
Unataka kumuona Rais yupi?
njia rahisi ni kumsimamisha kwenye msafara wake na kuwa na ujasiri wa kuvuka walinzi wake.🙆