Utaratibu wa kufuata ili kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mazungumzo binafsi

Nimeshajua unae enda kumsemelea...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Russu au jina kingine Living Kiwelu ni adui wa maendeleo yetu Tanzania anafaa akamatwe auliwe, Hata hivyo ningependa uko ana na Rais kwa mambo mengine
Living Kiwelu auliwe....
Are you serious....[emoji848]
Mkuu, ebu sasa utueleze hapa wazi nini kilicho kusibu na Rusu ama muhusika, ilhali kwenye baadhi ya comments niliona mkijinadi kufahamiana na nikama mlisha kutana.
 
Mkuu njia pekee ninayotumia(ga) ni kukaa pembeni ya barabara wakati msafara wake ukipita...ni njia rahisi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…