Mimi harusi za usiku zimenishinda kwa sasa siendi kwangu ni mateso ikifika saa sita usiku sitoboi zaidi ya hapo usingizi debe nzima sembuse kusubiria chakula๐Na domo likishaanza kuoza hata ladha ya chakula husikii.
Najitahidi kubugia maji angalau domo likae sawa.
Kwenye MWENGE umeniangusha sana kiongozi.Mwenzako kila jina nimepewa kwa ajili ya mambo hayo.
MGUMU
MISIMAMO MIKALI
SUNNI
ANSWAR
BAHILI
SICHANGANYIKI
ANTI SOCIAL
Sichangii ujinga mimi hata siku moja.
MAWLID
MATANGA
ZIARA
BIRTHDAY
KUMBUKUMBU
HITIMA
AROBAINI
UNYAGO
KIANGULO
SABA
TATU
FATIHA
DUA
HARUS za kishenzi
HARAMBEE za majanga
Nachangia vitu vya kueleweka pekee mfano
AKIKA ya kisharia
MSIBA
MAJANGA
HARUSI ya kistaarabu
Kuna vitu nachangia lakini kwa shingoupande kwamba sina namna
MWENGE
MAHAFALI
NHIF
PSSSF
CWT
KODI YA JENGO (kwenye umeme)
Uko vizuri mwalimuMwenzako kila jina nimepewa kwa ajili ya mambo hayo.
MGUMU
MISIMAMO MIKALI
SUNNI
ANSWAR
BAHILI
SICHANGANYIKI
ANTI SOCIAL
Sichangii ujinga mimi hata siku moja.
MAWLID
MATANGA
ZIARA
BIRTHDAY
KUMBUKUMBU
HITIMA
AROBAINI
UNYAGO
KIANGULO
SABA
TATU
FATIHA
DUA
HARUS za kishenzi
HARAMBEE za majanga
Nachangia vitu vya kueleweka pekee mfano
AKIKA ya kisharia
MSIBA
MAJANGA
HARUSI ya kistaarabu
Kuna vitu nachangia lakini kwa shingoupande kwamba sina namna
MWENGE
MAHAFALI
NHIF
PSSSF
CWT
KODI YA JENGO (kwenye umeme)
Wewe ukiwa na harusi na watu wakuchangieKula kwenye harusi na misiba it's a no.
Nachangia harusi ila siendi.
Misiba lazima niende.
Endeleeni kusubiria kuku saa saba it Is as if huwa nyumbani hamli chakula.
Kula homeNimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa
Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
๐๐๐๐Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa
Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Ukigawa saa mbili usiku hakitatosha kwani mtakuwa wengi, hata Mnazimmoja kwenye Maulidi mtindo ni huo, wavumilivu watakula na kushiba.Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa
Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Sio lazima kula. Vinywaji vinatosha ukishachoka unasepaNimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,
Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7
Wapo wanatuomba zawadi na kushindanisha Yanga na Simba, kututaja majina na mambo mengine ya kijinga
Wametupa bia Nazo zimeisha sijui na kulewa hatujalewa
Chakula Bado na njaa inauma sana usiku huu
Sichangii tena harusi, kama utaratibu wa kutupa kuku ni usiku wa manane
Kwa mara ya kwanza nilikula chakula safi harusini ile last December,kuna harusi nilienda nashangaa baada ya kuonyesha kadi naelekezwa kunawa nikauliza kuna corona?hapanaa ile naingia tu ukumbini naelekezwa moja kwa moja kwenye menu,yaani ratiba zinaendelea huku watu wanagonga menu was amazing...wakinga oyee
Labda sijapata mtu wa kunielimisha vizuri kuhusu hiyo kitu maana viongozi wangu wote ukiwauliza wanakwambia ni uzalendo hutakiwi kuhoji sanaKwenye MWENGE umeniangusha sana kiongozi.
Mkila mapema mtaondoka mapema kabla ya maharusi.Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala,