Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

kuagana nchi kavu
 
Wa kuwafukuza hao ni wewe sio mkeo.
Jao ni ndugu wa mke, ni kweli anaweza kuongea nao lakini je kwa unavyomuona mkeo anaweza kuwakanya hao ndgu zake??
Huenda hana sauti kwenye hiyo familia na ww hilo zigo unamtupia na kumlaumu yeye kisa ni ndgu zake yeye.

Ma kwenye jamii zetu hizi ni bora mwanaume ndo ikatoa kauli ya kuwaondoa na sio mwanamke maana atasemwa kila mahali kua ni mchoyo na hata huo ukoo wake huenda ukamtenga kabisa.

Basi uwe unafanya hivi mkuu, mtu akija uwe unamuuliza atakaa kwa muda gani na kaja kwa lengo gani. Hiyo ya kukaa kimya kutegeana nani atamfunga paka kengele hawawezi kuondoka leo hao.

Na hao waliopo waite, wakalishe chini uwaambie kwa uwazi kabisa kua uliwapokea lakini bado hujajua hasa lengo la wao kua pale ni nini, wakupe sababi wanafatilia nini miezi yote hiyo.
Na wanategemea kumaliza lini wanachokifanya hapo town, kama hawana la maana waambie warudi wakasaidie kazi nyumbani.
 
Mkuu hili wazo nilikuwa nalo na nilimuambia wife nitapanga chumba sababu nyumba imekuwa ghetto kuna madogo ndugu zake walikuwa wanasubiri matokeo ya chuo basi nyumba ni mziki kwa kwenda mbele mara wameunganisha tv na simu. mara wamegawana zase za kuhifadhia miwani wengine wamechukua notebook za kazini ambazo hazijatumika yaani ni vurugu tupu, hili wazo linafanyiwa kazi.
 
Familia zetu tumezoea kuishi kiujamaa Kama wahindi na waarabu
kuna raha gani ya kuishi mtu na mke tu?
Kama nyumba kubwa acha watu waishi.
 
kukaa na watu ni baraka pia hudumia chakula tu wale washibe,mambo mengne muachie MUNGU.
 
Tatizo unawaonyesha dalili zote za utajiri kwamba una pesa nyingi. Punguza kipato chako wa kwanza kufahamu awe mkeo ajue pesa zimekata
sema wananiona mpole kuna kaka zao kabisa wako vizuri kipesa lakini kwao hawakanyagi, ila kwangu kila wikend nilishaanza wabania pesa wanakuja kwa machale, shida hawa wamama hapa nyumbani mtu ana 47 ana watoto watatu, mtoto wake wa kwanza kaolewa ila hajawhi enda ishi na mkwe wake ila hapa kwa mdogowake ndio amefanya kwake.
 
Kula msosi juu kwa juu hao ndo wanamseti mkeo awe anakujibu soon wataondoka kwani wanamsaidia kuloga ......wanapiga deki asb namaji wewe unajua maji .......

Lapili namuhimu tafuta mtu wakuzaa nae yeye akileta ndg zako wewe unahamia kwamwanao ulikomzalia
 

[emoji23][emoji23][emoji23] ningekua mm ndo wewe kwanza ningehamia sehemu ambayo ni mbali wao kufika kwa maelezo yako ni unakaa mjini kabisaa hamia hata huko mbezi au boko huko ambako nauli tu mtu hadi ajifikirie kuja. Ukiona hiyo haifanyi kazi punguza bajeti ya msosi hapo home, kama ulikua unaacha 10k anza kuacha 5k king'amuzi usinunue uone wanakuja kufanya nn huko hata hizo likizo waambie waende huko kijijini kwao yani wanakufanya wewe chuma ulete kwa staili hiyo utachelewa sana kufanya maendeleao inahitaji mtu mwenye roho ngumu kuwafukuza ndugu zake nyumban kwake mana apo akiwaambi kuwa huwataki watakuona wewe ndo mbaya[emoji23] ko tumia ule msemo wa akufukuzaye akwambii toka tumia tuu mbinu mbadalaa watapungua wenyew

Ndugu wasaidie ila kwa mbali na huruma ikizi inazaa dhambi[emoji3061]
 
Sasa mkuu nyumba yako halafu unataka utoke ukapange "chumba" eti kisa unawakimbia ndugu!

Mbona haiingii akilini. Kuwa na maamuzi boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza upole mkuu. Wanakudharau sana hao. Hata ndugu yao hajakuletea mtoto tayari wanajiamini hivyo akipata mtoto si utateseka mara tano yake.
 
Ambao hawakumuelewa Dinazarde kwenye uzi wake,,,,Basi hiki ndicho Hasa alichokuwa anakizungumza...

Na nawaomba mtumie kisa cha Mleta uzi kama mfano wa kufundishia

 
Familia zetu tumezoea kuishi kiujamaa Kama wahindi na waarabu
kuna raha gani ya kuishi mtu na mke tu?
Kama nyumba kubwa acha watu waishi.
Mazoea hujenga tabia na suala la ugumu wa maisha linachangia kutowakaribisha waje kukaa aisee, acha nionekane mchoyo na bahili
 
Ilibidi uwaulize toka siku ya kwanza wamekuja kufanya nini na watakaa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…