Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

Utaratibu wa kuishi na ndugu baada ya ndoa unafaa uwe vipi?

Familia zetu tumezoea kuishi kiujamaa Kama wahindi na waarabu
kuna raha gani ya kuishi mtu na mke tu?
Kama nyumba kubwa acha watu waishi.
sio kwa stail hii mbona kwa ndugu zao hawaendi kukaa huko, mtoto wake kaolewa hajawahi enda kuishi naye hata mwezi.
 
Kuwa kama mzungu, nijulishe kama unakuja na unakaa mda gani. Kama sina nafasi nakujulisha usije . Ni msimamo tu na usijali maneno. Labda ukute unalipa fadhila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ningekua mm ndo wewe kwanza ningehamia sehemu ambayo ni mbali wao kufika kwa maelezo yako ni unakaa mjini kabisaa hamia hata huko mbezi au boko huko ambako nauli tu mtu hadi ajifikirie kuja. Ukiona hiyo haifanyi kazi punguza bajeti ya msosi hapo home, kama ulikua unaacha 10k anza kuacha 5k king'amuzi usinunue uone wanakuja kufanya nn huko hata hizo likizo waambie waende huko kijijini kwao yani wanakufanya wewe chuma ulete kwa staili hiyo utachelewa sana kufanya maendeleao inahitaji mtu mwenye roho ngumu kuwafukuza ndugu zake nyumban kwake mana apo akiwaambi kuwa huwataki watakuona wewe ndo mbaya[emoji23] ko tumia ule msemo wa akufukuzaye akwambii toka tumia tuu mbinu mbadalaa watapungua wenyew

Ndugu wasaidie ila kwa mbali na huruma ikizi inazaa dhambi[emoji3061]
Nakamilisha kakibanda kangu nahamia kwa kukarabati vyumba vichache tu mpaka mwezi wapili itakuwa tayari.
kingamuzi silipii tena huu ni mwezi wa mwisho.
Gesi sinunui manake wakichemsha kitu kama maji mpaka uwakumbushe wakazime gesi inawaka tu imagine nikiwa kazini, hawana uchungu na pesa hata kidogo.
 
Wambie ndoa yako bado changa na unaitaji mda wa faragha na mkeo zaid ya vile ilivyo sasa. Wambie unataman uwepo wao lakin sio kwa sasa maana unaitaji kujenga ndoa yako kwanza uwepo wao unakunyima uhuru wa kuenjoy na mke wako vizur unapo kuwa nyumbani wape nauli na ela ya matumiz hapo hapo unapomaliza kusema hvyo.
 
kuna neema na baraka zinapitia kwa ndugu.
Familia yenye watu wengi uwa na baraka hata rizki zinafunguka
sio kwa stail hii mbona kwa ndugu zao hawaendi kukaa huko, mtoto wake kaolewa hajawahi enda kuishi naye hata mwezi.
 
Kiukweli ndoa bado changa sana waachiwe wapate utamu wa ndoa kwanza kiualisia mnapotoka kuoana yatupasa kuinjoi kidogo pasipo mwingiliano wa ndugu ila kukaa na ndugu si mbaya lkn uyu jamaa shemeji zake wamezidi nongwa sana wanarundikana utafikir siafu
 
kuna neema na baraka zinapitia kwa ndugu.
Familia yenye watu wengi uwa na baraka hata rizki zinafunguka
Ni vizuri kukaa na ndugu wakati was uhitaji wake tu (wakati was muhimu )
Sio unakuja na hakuna umuhimu was kuja Kama Kila weekend upo na kuondoka unataka Mimi ndo niwe nakupa nauli hapana kwa kweli

Riziki zinafunguka kwa kukaa na watu wengi ?
 
Ndioo.
Hata nyumba yenye watu wengi uchangamka na kuwa na furaha Sana
Ni vizuri kukaa na ndugu wakati was uhitaji wake tu (wakati was muhimu )
Sio unakuja na hakuna umuhimu was kuja Kama Kila weekend upo na kuondoka unataka Mimi ndo niwe nakupa nauli hapana kwa kweli

Riziki zinafunguka kwa kukaa na watu wengi ?
 
Ukisikia paaa ujue imekukosa, aliyelenga Hana shabaa amefanya makosa.🤣🤣🤣
 
Alafu vyumba vingine wakae majini?
Kiukweli ndoa bado changa sana waachiwe wapate utamu wa ndoa kwanza kiualisia mnapotoka kuoana yatupasa kuinjoi kidogo pasipo mwingiliano wa ndugu ila kukaa na ndugu si mbaya lkn uyu jamaa shemeji zake wamezidi nongwa sana wanarundikana utafikir siafu
 
Vifunze kwenye familia za wahindi na waarabu.
na angalia maisha yao wanavyoishi.
MUAFRIKA NI ROHO MBAYA.
PIA NA MZUNGU NI ROHO MBAYA.
mwisho wa siku unasikia mtu kafa ndani mwezi umepita.
Hana msaada.
Usiombe kususwa na ndugu.
Sawa sikatai lakini mipaka izingatiwe..hatuwakatazi kuja..tatizo wanakaa muda gani

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Kaka yangu alifanya hivi...
Ndugu wakija nyumban kwake kukaa basi ni ndugu wenye faida haijalishi anatoka upande gani hakuwahi kutaka ujinga kabisa na anaishi vizuri mpaka leo kikubwa msimamo tu.

imagine
Ana kila kitu nyumban kaz nzuri, mshahara mnono alichofanya alianza kilimo cha mpunga bondeni kama mnavyojua kaz za mpunga haziishi mwezi wowote ni kazkaz tu kwahyo ndugu wakienda kwake anawasombelea wote kwenda shamban kumsaidia kaz huko maana yye yuko bize ni kutoa maelekezo tu. Walikuwa wakienda kwake ni trip moja tu hawarud tena wanalalamika tu afu maisha frsh tu

Mkuiu nilifanya hivyo mimi hapa nyumbani kuweka bustani nikaweka na kuku hawa sasso , mbona nilipata hasara sababu wanaona uvivu kulisha chakula badi wanafanya kujaza tu kwenye vyombo bustan haimwagiliwi na mpira nimewanunulia kila wiki wanapanda upya mboga zikiota zinakauka kiufupi ni watu wavivu mimi sio mkabila ila hawa ndugu wanatokea kanda ya kati hapo sisemi wote kanda hiyo wapo hivyo.
 
Back
Top Bottom