sio kwa stail hii mbona kwa ndugu zao hawaendi kukaa huko, mtoto wake kaolewa hajawahi enda kuishi naye hata mwezi.Familia zetu tumezoea kuishi kiujamaa Kama wahindi na waarabu
kuna raha gani ya kuishi mtu na mke tu?
Kama nyumba kubwa acha watu waishi.
Naunga mkono hojaAnza kuwatamani hao ndugu live na kuwasifia. Ukiona haelewi chapa mzigo kabisa.
Nakamilisha kakibanda kangu nahamia kwa kukarabati vyumba vichache tu mpaka mwezi wapili itakuwa tayari.[emoji23][emoji23][emoji23] ningekua mm ndo wewe kwanza ningehamia sehemu ambayo ni mbali wao kufika kwa maelezo yako ni unakaa mjini kabisaa hamia hata huko mbezi au boko huko ambako nauli tu mtu hadi ajifikirie kuja. Ukiona hiyo haifanyi kazi punguza bajeti ya msosi hapo home, kama ulikua unaacha 10k anza kuacha 5k king'amuzi usinunue uone wanakuja kufanya nn huko hata hizo likizo waambie waende huko kijijini kwao yani wanakufanya wewe chuma ulete kwa staili hiyo utachelewa sana kufanya maendeleao inahitaji mtu mwenye roho ngumu kuwafukuza ndugu zake nyumban kwake mana apo akiwaambi kuwa huwataki watakuona wewe ndo mbaya[emoji23] ko tumia ule msemo wa akufukuzaye akwambii toka tumia tuu mbinu mbadalaa watapungua wenyew
Ndugu wasaidie ila kwa mbali na huruma ikizi inazaa dhambi[emoji3061]
Mazoea hujenga tabia na suala la ugumu wa maisha linachangia kutowakaribisha waje kukaa aisee, acha nionekane mchoyo na bahili
sio kwa stail hii mbona kwa ndugu zao hawaendi kukaa huko, mtoto wake kaolewa hajawahi enda kuishi naye hata mwezi.
Hahahah,,Kama hawatoki Kigoma basi ni Tanga
Ni vizuri kukaa na ndugu wakati was uhitaji wake tu (wakati was muhimu )kuna neema na baraka zinapitia kwa ndugu.
Familia yenye watu wengi uwa na baraka hata rizki zinafunguka
Ni vizuri kukaa na ndugu wakati was uhitaji wake tu (wakati was muhimu )
Sio unakuja na hakuna umuhimu was kuja Kama Kila weekend upo na kuondoka unataka Mimi ndo niwe nakupa nauli hapana kwa kweli
Riziki zinafunguka kwa kukaa na watu wengi ?
Sawa sikatai lakini mipaka izingatiwe..hatuwakatazi kuja..tatizo wanakaa muda ganipaka hakai nyumba yenye njaa.
Ukiona watu wanapapenda kwao ujue kuna neema.
Pia kuishi na ndugu ni BARAKA.
Kiukweli ndoa bado changa sana waachiwe wapate utamu wa ndoa kwanza kiualisia mnapotoka kuoana yatupasa kuinjoi kidogo pasipo mwingiliano wa ndugu ila kukaa na ndugu si mbaya lkn uyu jamaa shemeji zake wamezidi nongwa sana wanarundikana utafikir siafu
Sawa sikatai lakini mipaka izingatiwe..hatuwakatazi kuja..tatizo wanakaa muda gani
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
Ata wakikaa mashetani potelea mbali waafrika tuna shida sanaAlafu vyumba vingine wakae majini?
Kaka yangu alifanya hivi...
Ndugu wakija nyumban kwake kukaa basi ni ndugu wenye faida haijalishi anatoka upande gani hakuwahi kutaka ujinga kabisa na anaishi vizuri mpaka leo kikubwa msimamo tu.
imagine
Ana kila kitu nyumban kaz nzuri, mshahara mnono alichofanya alianza kilimo cha mpunga bondeni kama mnavyojua kaz za mpunga haziishi mwezi wowote ni kazkaz tu kwahyo ndugu wakienda kwake anawasombelea wote kwenda shamban kumsaidia kaz huko maana yye yuko bize ni kutoa maelekezo tu. Walikuwa wakienda kwake ni trip moja tu hawarud tena wanalalamika tu afu maisha frsh tu