Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

Duh! Huko kwenu Anne, ni kutamu kweli kweli... au labda niseme hapo kale kabla hawajaanza kutawanyika, kulikuwa kutamu kweli kweli!!!

Na kwa mamlaka ya kiroho (hata kama sina upako) niliyonayo, chige mimi nasema kwamba "Dada yako anafunga ndoa mwakani kati ya Septermber to November"! Sema "Ameeeeeen"!
Amen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuna sehemu alishawahi kuvuruga
Mungu amrehemu.
Huwa ananiomba nimuombee
Dada yangu wa 1 aliondoka zaidi ya miaka 20 iliyopita
Wa2 na 3 walifuatana,2009,2010
Yeye sasa[emoji16] tupo tunaangaliana tu hapa nyumbani kwa mama
 
Leo hii wa pige presha ( moto ), Kuwa leo leo wakurudishie mahari au wapange siku ya ndoa.
 
Amen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kuna sehemu alishawahi kuvuruga
Mungu amrehemu.
Huwa ananiomba nimuombee
Dada yangu wa 1 aliondoka zaidi ya miaka 20 iliyopita
Wa2 na 3 walifuatana,2009,2010
Yeye sasa[emoji16] tupo tunaangaliana tu hapa nyumbani
Mnh! Labda kwavile Kiswahili sikijui vizuri ndo maana hiyo sentensi kwenye RED naona imejaa ukakasi!!!

Mimi na wewe, tuseme "Mungu amfanyie wepesi na amuongoze ili asilivuruge tena"!

Lakini kwa upande mwingine, kama dada mkubwa alifungasha virago zaidi ya miaka 20 iliyopita, inaelekea wazazi wapo kwenye 60's labda kama aliolewa mapema kupindukia... mapema in terms of umri!!

Na kama nipo sahihi kuhusu wazazi, basi wewe achana na kiherehere cha kuwa kwenye ndoa... anayestahili hapo ni #4, wewe baki kuwasongea ugali wazee!!!

Sasa muondoke wote ili iweje?! Hii ndo changamoto ya familia ikijaa watoto wa kike... mwanzoni mna-enjoy lakini mwishoni nyumba inabaki mahame!!

Na hivi wanaume wa Kiafrika hatupendi (including myself) HATUTAKI hata kusikia kuishi upande wa wife, basi ni taabu tupu!!

Halafu itakuwa unadeka wew, aaaaaargh!! Kuoa nyie last born ni taabu tupu!!! Nilikuwa na last born mmoja, yaani wakati mwingine ananuna bila sababu za msingi eti ili aone kama nitambembeleza; khaaa!!!
 
Kwa sasa mawazo kidogo yananijia maana nimesettle kidogo japo nipo jobless ila stress za shule zimepungua
Mwache dada aolewe huko, nawe endelea kuwa house girl hapo home!!! Dadako namuombea, lakini wewe sikuombei NG'O!!! Kwa muda naachana na huduma za kiroho zilizokosa upako kwa ajili ya Baba na Mama Anne!!

I hope Baba Anne akiiona hii post, anaweza kunipa binti yake mmoja bila ya mahari!!!
 
Ishii upuuzi gani huu? Mm kwetu ndo wa kwanza, tuko wa 4 wote wameoa na kuolea, mmntakua wa mwisho, na hakuna wa kunihoji, nilishawaambia kila mtu ana mipango yake nikawambia atakaepata mtu aolewe/ kuoa msinisubiri mm. A imekua hivyo
 
Hivi wanawake mbona mna akili za Ajabu hivi...

Yaani wakina mama wa kiafrica
 
Mnh! Labda kwavile Kiswahili sikijui vizuri ndo maana hiyo sentensi kwenye RED naona imejaa ukakasi!!!

Mimi na wewe, tuseme "Mungu amfanyie wepesi na amuongoze ili asilivuruge tena"!

Lakini kwa upande mwingine, kama dada mkubwa alifungasha virago zaidi ya miaka 20 iliyopita, inaelekea wazazi wapo kwenye 60's labda kama aliolewa mapema kupindukia... mapema in terms of umri!!

Na kama nipo sahihi kuhusu wazazi, basi wewe achana na kiherehere cha kuwa kwenye ndoa... anayestahili hapo ni #4, wewe baki kuwasongea ugali wazee!!!

Sasa muondoke wote ili iweje?! Hii ndo changamoto ya familia ikijaa watoto wa kike... mwanzoni mna-enjoy lakini mwishoni nyumba inabaki mahame!!

Na hivi wanaume wa Kiafrika hatupendi (including myself) HATUTAKI hata kusikia kuishi upande wa wife, basi ni taabu tupu!!

Halafu itakuwa unadeka wew, aaaaaargh!! Kuoa nyie last born ni taabu tupu!!! Nilikuwa na last born mmoja, yaani wakati mwingine ananuna bila sababu za msingi eti ili aone kama nitambembeleza; khaaa!!!
Umepatia tu mkuu kuhusu wazazi

Kwa jinsi mama anavyonidekeza hapa nyumbani na kila siku nakula vyakula vyao bure kabisa sitamani kuondoka [emoji1787]
Kazi nagombaniana tu na mama maana yeye huwa hataki kupumzika,anataka mimi nipumzike(mama yangu ni binti mzee)
Hakuna mtu asiyependa kudeka[emoji1787]
 
Mwache dada aolewe huko, nawe endelea kuwa house girl hapo home!!! Dadako namuombea, lakini wewe sikuombei NG'O!!! Kwa muda naachana na huduma za kiroho zilizokosa upako kwa ajili ya Baba na Mama Anne!!

I hope Baba Anne akiiona hii post, anaweza kunipa binti yake mmoja bila ya mahari!!!
Hakuna Cha bure duniani hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena mimi macho yatakavyokuwa yanniangalia[emoji2960][emoji847] aisee siku hiyo hadi mbingu zitashangilia halafu nigawiwe bure!?!!!Never[emoji1787]
 
Huu uzi utakuwa pinned na kuwa wa kufanyia marejeo kutoka kwa watu mbali mbali. Kwa wakati wa sasa na miaka ijayo ndio hali hii itakuwa inawakumba wengi. Kuna age group flani imekuwa isolated kwa muda sasa hii changamoto itatokea sana kwa wengi. Nategemea kusoma visa vya namna hii kwa wingi sana na kujua tamaduni, mila na desturi za jamii mbali mbali.

Mtoa mada naomba uwe unaendelea kutupa update mara kwa mara kwa kila jipya linalojitokeza katika mchakato huu unaowakabili. Hapa kuna mengi ya kujifunza.
 
Mimi siwezi kumkataza mdogo wangu kufunga ndoa ila yeye mwenyewe anapaswa ajiongeze,avute japo kamuda ili nitoke kwanza (hii ni kama nina dalili za kuolewa)
Kama alishamleta mtu nyumbani basi sina budi kukubali japo najua wazazi watajisikia vibaya kwa Sababu yangu na Mimi mwenyewe nitajisikia unyonge.

Nikijizungumzia binafsi,Mimi ni mtoto wa mwisho kwetu.
Juzi tu dada yangu amenitamkia kwamba mdogo wangu ukipata mchumba olewa ila jua utakuwa umenivua nguo Mimi dada yako.Nimepishana naye miaka 9.
Kauli yake hii ilinifanya nitafakari.
Oh jmn embu nipe no zake nimuoe mim mana nimechoka na ukiwa huu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Lakini hapa JF, na sehemu nyingine nyingi tu nimepata kusikia watu wakisema "Ndoa upangwa na Mungu!"

Na pia nimepata kusikia sehemu nyingi, na kwa mambo mbali mbali watu wakisema "Mungu humpa amtakae, na kumnyima amtakae"!

Am not sure with of the above arguments lakini cariha hapo kazungumzia issue ya Raheli huku Saint Anne, your user ID says it all! I mean, you're probably some kind of religious guys, na kama ndivyo si ajabu mnakubaliana na hizo arguments hapo juu!!

Now tusema cariha ni mdogo kwa Saint Anne lakini arguments zote mbili hapo juu zinam-favor cariha over Saint Anne, and thanks God, wazazi wenu wamewapa mamlaka ya kuamua mambo yenu!

My first question to y'all: Je, mnakubaliana na hizo arguments 2 hapo juu?

2. Je, Saint Anne utamkataza mdogo wako cariha kuolewa kwa sababu tu wewe bado network haisomi?!

3. Nawe cariha, pamoja na upendo wako wote kwa mchumba wako ambae unamuona he's everything kwako, utagoma kufunga nae ndoa kwa sababu dada yako Saint Anne argument ya kwanza na ya pili hapo juu hazijatimia kwa upande wake?!

Karibuni tafadhali mtu na dadake!!!
Kiukweli kabisa na kijamii kuhusu ndoa nimeshuhudia mkubwa akianza kuoa na mdogo anafata sasa kimekuwa ka kisheria kisicho rasmi kijamii, tena ka mwanaume wazazi wata pressurize mpaka itokee, but to me mdogo wangu akipata mwenza namuruhusu tu aolewe kwa kweli maana watu tumetofautiana vipaumbele vya maisha na mie mfano kwangu marriage sio kiupaumbele kwangu, kiupaumbele Ni malengo yangu makubwa yatimie kwanza, so kutomruhusu my young sister sio fair, Ila mfano nikianza Mimi it's like nimefungua mlango kwa wanaofata
 
Hakuna Cha bure duniani hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena mimi macho yatakavyokuwa yanniangalia[emoji2960][emoji847] aisee siku hiyo hadi mbingu zitashangilia halafu nigawiwe bure!?!!!Never[emoji1787]
Haugawii bure bhana... "unagawiwa" at the expense of parents' happiness, na furaha yako mwenyewe!!

Ni kipi basi kwenye ndoa kilicho muhimu kuzidi furaha ya wazazi na ya wanandoa husika?! Wanandoa hawatakuwa na furaha kama wazazi husika hawana furaha!
 
Kiukweli kabisa na kijamii kuhusu ndoa nimeshuhudia mkubwa akianza kuoa na mdogo anafata sasa kimekuwa ka kisheria kisicho rasmi kijamii, tena ka mwanaume wazazi wata pressurize mpaka itokee, but to me mdogo wangu akipata mwenza namuruhusu tu aolewe kwa kweli maana watu tumetofautiana vipaumbele vya maisha na mie mfano kwangu marriage sio kiupaumbele kwangu, kiupaumbele Ni malengo yangu makubwa yatimie kwanza, so kutomruhusu my young sister sio fair, Ila mfano nikianza Mimi it's like nimefungua mlango kwa wanaofata
Nakubaliana na wewe kwamba ikitokea JUST BY CHANCE kwamba mkubwa ameanza, inakuwa vizuri zaidi lakini kwangu binafsi, I don't care who come first and who come last kwa sababu kama ulivyosema, wengine ndoa sio kipaumbele, at least kwa wakati fulani!

Lakini kama nilivyosema awali, especially kwa wanawake, haka kasheria kasiko rasmi kanatokana tu na ile imani kwamba heshima ya mwanamke ni kuwa ndani ya ndoa!

Kwangu naiona hii ni imani ya hovyo kwa sababu inawafanya wanawake wasio na ujasiri wawe desparate wanapoona umri unaenda!

Hii desperation wengine inawafanya wachukue maamuzi ya hovyo; kama vile kujiingiza kichwa kichwa kwenye mahusiano wakitarajia "maybe my lucky is here" na matokeo yake wanaishia kuliwa tu, na hatimae ku-test zari sehemu nyingine!!

Back in the days nilikuwa na rafiki wa aina hiyo hapo juu... mwenyewe alikuwa anasema kabisa kwamba kwao mwanamke ambae hajaolewa anadharaulika sana kwa kuonekana ni muhuni!!

Na kwavile she's too close to me, nikagundua anajiingiza kwenye mahusiano akitarajia kuolewa lakini akawa anaishia kuliwa tu! Kwa kawaida huwa simuonei rafiki aibu... nikamwambia wazi kuwa hayo mahitaji yako makubwa ya ndoa itafikia mahali hadi unakuja kushituka, unakuta ushagawa sana na wote wamekuacha!!!
 
Back
Top Bottom