Ndio maana miaka ya nyuma angalau Wakulla kadhaa waliegesha ndege zao kwenye mashamba yao.Huwezi kuipaki nyumbani kwako inapaki airport labda iwe helcopter, hapa kuna parking fee, huwezi kuruka bila ruhusa na unalipia ukirusha, hiwezi kutua bila ruhisa na unalipia ukitua. Inshort usumbufu tuou
Mkuu, nini maana ya WAKULLA?Ndio maana miaka ya nyuma angalau Wakulla kadhaa waliegesha ndege zao kwenye mashamba yao.
Sorry wakulima.i.e.Herman Steyn etcMkuu, niji maana ya WAKULLA?
Wakulima walikuwa wanamiliki ndege?Sorry wakulima.i.e.Herman Steyn etc
Acheni akili za kimaskini ,hapo Kenya tu kuna wakulima wa kawaida wanamiliki chopper na cesna kwa ajili ya uangalizi wa mashamba yao na shughuli zao , used helicopters na cesna planes ni bei ndogo tu za kawaidaSiamini kwamba mtoa mada alikuwa na njaa, na kama alikuwa na njaa, basi njaa yake ilikuwa nzuri. Inasemekana, akili humfanya kazi kwa Kasi zaidi mtu anapokuwa na njaa kuliko anapokuwa ameshiba. Shibe huweza kuchochea uvivu wa kufikiri.
Kwa hiyo kama ni njaa ndiyo iliyompekekea awaze kununua ndege, ni Bora awe anafunga mara kwa mara hadi atakapoifikia ndoto yake.
Kitu cha kawaida tu ,nashangaa watu wanavyobishana humu as if hizo ndege used na chopper ni kitu cha ajabu saana ,Wakulima walikuwa wanamiliki ndege?
Ndiyo zile, inasemekana, zilizotaifishwa na Serikali kipindi, nafikiri cha Nyerere?
Kumbe si kitu cha ajabu kivile kwa mtu binafsi kumiliki ndege Tanzania!
Uongo Cessna 208 haiwezi zidiwa bei na CoasterNdege ndogo Cessna grand caravan used....ni bei nafuu kuliko.... unavyofikiri...
Ni nafuu kuliko Toyota coaster used.
TRUST ME
Yeap kama Kuna helipad na ina meet vigezo vya mamlaka za viwanja vya ndege Tanzania.Unaweza kuipaki chopa nyumbani?
Kitu cha kawaida tu ,nashangaa watu wanavyobishana humu as if hizo ndege used na chopper ni kitu cha ajabu saana ,
Dah hilo jina tu Ahmed. Asee hicho NIT kikaguliwe simuamini kobaaz kabisaNenda NIT mtafute capt.Ahmed ni Instructor.....utapata msaada.
๐ ๐ ๐ Ukienda NIT na pale DMI kuna wazanzibar kibao kwa hyo hayo majina ni mengi.
Waapii na wakati wachaga ndo wamedominate kwenye aviation๐๐๐๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ๐ ๐ ๐ Ukienda NIT na pale DMI kuna wazanzibar kibao kwa hyo hayo majina ni mengi.
Yaani hao jamaa kozi zao ni hizo atakuwa mzenji tu.
Inawezekana mleta mada anataka kuepuka usumbufu kukodi ndege n.k.Kumiliki ndege ni gharama sana kwa hapa bongo.... bora uwe unatumia tu hizi private zipo nyingi tu mfano Dar Mwanza 6 people $13k one way na hiyo ni xmass season 2 hrs flight.
Nawafamu Watanzania wawili waliokuwa wakimiliki ndege, japo wote kwa sasa ni marehemu.Acheni akili za kimaskini ,hapo Kenya tu kuna wakulima wa kawaida wanamiliki chopper na cesna kwa ajili ya uangalizi wa mashamba yao na shughuli zao , used helicopters na cesna planes ni bei ndogo tu za kawaida
Acha na mimi nidream big! Kwani itanigharimu nini kuwa na ndoto ya kwenda kutalii kwenye mweizi hata kama sijawahi kufikia Kenya? (Ni mfano tu lakini)Yeap kama Kuna helipad na ina meet vigezo vya mamlaka za viwanja vya ndege Tanzania.
Nafikiri pia kuna baadhi ya watu wana mtazamo hasi linapokuja suala la Mtanzania kumiliki vitu vinavyoaminiwa ni vya gharama! Kwani ndege ziliundwa kwa ajili ya Wazungu na Waarabu peke yao?Kitu cha kawaida tu ,nashangaa watu wanavyobishana humu as if hizo ndege used na chopper ni kitu cha ajabu saana ,
Mkuu usiwe na huo mtazamo. Uzuri au ubaya wa mtu hauamuliwi na jina.