Yofav
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 4,236
- 7,583
Wagwan,
Chap kwenye point,
Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.
Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi tena na mwanamke, ila kuhusu kuwa na mtoto siwezi kukwepa maana pia nahitaji kuja kuwa na mtoto kwa hapo baadae.
Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?
I need only Yes/No and how⬇️