Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

Mkuu tatizo hilo jambo unalo lisema kisheria halitambuliki hivyo unaweza kukubaliana vizuri na mwanamke alafu badae akakugeuka na usimfanye chochote.

Kwa mujibu wa sheria za tz mtoto ni wa baba na mama hivyo unaweza kukubaliana vizuri tu kama unavyo sema alafu baada ya miaka michache akakugeuka na akaanza kukudai mtoto wake, na ukijaribu kumzingua anaweza kwenda hata mahakamani akakufungulia kesi ya kumuibia mtoto wake ukajikuta kwenye matatizo makubwa sana.
Kwa hiyo haiwezekani kuweka mkataba wenu kisheria?
 
Dunia iliyojaa ubinafsi si shangai sana kwa haya yanayo tokea.

Japo dada zangu wengu ni wabinafsi na wamejaa tamaa,ila kiasili wanaume hatukuumbwa hivyo ubinafsi sio asili yetu, sisi ni walezi,walishi na ni wabeba majukumu ya kifamilia hiyo ndio asili yetu japo siku hizi kama tunataka kuikimbia.
 
Kuna Zai wa kijiwe nongwa anauza mayai...ni ww tuu...
 
Kama upo DSM andaa laki tano utapata demu maeneo ya Tandika atabeba Mimba alee then akupe mtoto at the early Age wa mwaka mmoja na ww utatafuta Nana who will raised ur kid. That all Mimi nikigonga 30 yrs nahiitaji nifanye there's a lot of women wa kuzaa naye but make sure u don't spring attached with these Tanzanian women in ur life circulation.
Umeua🤜🤛
 
Wagwan,

Chap kwenye point,

Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.

Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi tena na mwanamke, ila kuhusu kuwa na mtoto siwezi kukwepa maana pia nahitaji kuja kuwa na mtoto kwa hapo baadae.

Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?

I need only Yes/No and how⬇️
Tafuta Ela
 
Ushafikiria kama hao watoto hawatataka kumjua mama yao au kuwa wanaweza kuathirika kwa hiyo hali ya kutomjua mama yao? Maana umewaza kwa upande wako tu ila bila shaka hao watoto watapenda kumfahamu mama yao hasa wakishuhudia wenzao wana mama zao. Just saying fron my experience.
Kwa TZ mnaweza kukubaliana na mwanamke ila mbeleni akakugeuka na kwa kuwa haya mambo huku hayako kisheria nadhani mtavurugana
Watoto wakikua nawaambia kila kitu.
 
Ndo maana nikauliza kama inawezekana mean kuna utaratibu maalum either contract n.k
 
Dunia iliyojaa ubinafsi si shangai sana kwa haya yanayo tokea.

Japo dada zangu wengu ni wabinafsi na wamejaa tamaa,ila kiasili wanaume hatukuumbwa hivyo ubinafsi sio asili yetu, sisi ni walezi,walishi na ni wabeba majukumu ya kifamilia hiyo ndio asili yetu japo siku hizi kama tunataka kuikimbia.
Yes/No?
 
Kuna Zai wa kijiwe nongwa anauza mayai...ni ww tuu...
sijasema mwanamke yoyote alietayari, nilitaka kujua tu kama inawezekana then pia nina condition zangu pia za aina ya mwanamke
 
🙂🙂una hela kijana au unasumbua watu tu??? hayo mambo achia kina ronaldoo au nenda mbele kijana bongo tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya sio huo utopolo.
mbona nakuheshimugi tu mkuu, umekuja kuwaje?
 
ukiambiwa ukweli ndo heshima inashuka au?? bhasi HAIWEZEKANI unapewa majibu unaanza kulia tena.
Wewe ni boya kwa kuwa umeshindwa kufanya kilicholengwa kwenye uzi ukaja kukashifu.... Alafu sio tabia za kiuwanaume hizo heri ungekausha.
 
Back
Top Bottom