Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

humu sitafuti mwanamke wa kufanya hivyo, bali nilikuwa nataka kujua kama inawezekana na nimeshathibitisha kwamba inawezekana kwahiyo najiandaa na hilo.
Mkuu inawezekana kwa njia za kiholela ila kisheria ni haitambuliki ina maana unaweza kukubaliana na mwanamke vizur lakini badae akakugeuka na kuanza kudai haki ya kumuona mtoto wake huta kuwa na uwezo wa kumzuia.
 
Hii biashara ipo na jibu ni ndio, kwa bongo sijaskia ila huko kwa wenzetu inawezekana utahudumia mjamzito miez tisa akijufungua unamlipa cha kama mlivyokubaliana ila hamna direct intercourse ni kupandikiza, na unaweza kuchagua yai la mwanamke kama vile sperm donor banks wanavyofanya.
Mikataba ipo hamn kusumbuana
Kwa mujibu wa sheria za Tz hiyo biashara ni haram.
 
sawa, pia na mimi nina condition zangu maana sio kila mwanamke naangalia pia akili na muonekano nisije kupata watoto wenye laana.... so nitaweka maximum 50m

50m kwa ajili ya mtoto bila ya Mama!!? Daah!Ila kwa kuwa hutaki ushauri sawa,….
 
Mim nimesha fuatwa na wawili wanadai wanizalie tu,
Hayo mengine watajua wao,
NA WAKO TAYARI,

kama vipi nikupe mmoja,
Njoo inbox
 
HAIWEZEKANI ndo mana hata kisheria mtoto anatakiwa alelewe na mama mpaka umri fulani ndo anaweza kwenda kwa baba.

Huwezi kuwa mama ng'ooo!
kisheria how? kwahiyo ikitokea mama akifariki leba unatakiwa umtafutie mama mwingine?
 
Mim nimesha fuatwa na wawili wanadai wanizalie tu,
Hayo mengine watajua wao,
NA WAKO TAYARI,

kama vipi nikupe mmoja,
Njoo inbox
hao nlwanakugeuka baadae alafu mimi sitaki mwanangu alelewe na mama na wala sitaki msaada wa mwanamke nataka nimlee mwanangu mwenyewe
 
Wagwan,

Chap kwenye point,

Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.

Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi tena na mwanamke, ila kuhusu kuwa na mtoto siwezi kukwepa maana pia nahitaji kuja kuwa na mtoto kwa hapo baadae.

Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?

I need only Yes/No and how[emoji3596]

Mkuu, kuishi bila mwanamke ni hatari kwa afya ya akili asa kuanzia miaka 50 na kuendelea.

Mi naamini ajatokea mtu sahihi, ambaye mna chemistry nzuri, na uyo mtu atatokea tu iwe hivi karibuni au baadae na utajikuta umempenda na unataka kuishi naye.

Christiano Ronaldo alikuwa kama wewe, akapata mtoto kwa njia ya surrogate mother (bila kuishi na mwanamke) lakini baada ya muda kupita amekutana na mwanamke ambaye amempenda aswa, na sasa wanaishi pamoja.

Binadamu tumeumbwa as pairs, hyo ni nature, na siku zote atakayetaka kupindua hii nature basi inaleta madhara, unaona yanatotokea hata kwa watumishi. So stay put, don’t fight it.
 
Binadamu tumeumbwa as pairs, hyo ni nature, na siku zote atakayetaka kupindua hii nature basi inaleta madhara, unaona yanatotokea
Ndoa ni Ujinga
Ndoa ni Utapeli wa Kupigwa Vita
Kataa Ndoa
 
Mkuu, kuishi bila mwanamke ni hatari kwa afya ya akili asa kuanzia miaka 50 na kuendelea.

Mi naamini ajatokea mtu sahihi, ambaye mna chemistry nzuri, na uyo mtu atatokea tu iwe hivi karibuni au baadae na utajikuta umempenda na unataka kuishi naye.

Christiano Ronaldo alikuwa kama wewe, akapata mtoto kwa njia ya surrogate mother (bila kuishi na mwanamke) lakini baada ya muda kupita amekutana na mwanamke ambaye amempenda aswa, na sasa wanaishi pamoja.

Binadamu tumeumbwa as pairs, hyo ni nature, na siku zote atakayetaka kupindua hii nature basi inaleta madhara, unaona yanatotokea hata kwa watumishi. So stay put, don’t fight it.
Nataka nifanikishe kwanza nijionee hayo madhara
 
kisheria how? kwahiyo ikitokea mama akifariki leba unatakiwa umtafutie mama mwingine?
Usinichoshe nisikuchose fanya vile moyo wako napenda!

Mama akifia leba kuna bibi/shangaz/new mom etc.

Mtoto anatakiwa alelewe na mama yake mpaka akifikisha miaka saba nadhan ndo mtoto anaruhusiwa kuchagua kuish kwa baba au mama.

Wapo wababa wanalea watoto wao baada ya mke kufariki/kutengana ila wewe inaonekana kabisa una kasoro fulani na ninamuonea huruma mtoto utakayemlea.

Unaonaje ukaachana na mambo ya watoto?
Uishi maisha yako ya ajabu ajabu bila watoto.
 
Wagwan,

Chap kwenye point,

Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.

Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi tena na mwanamke, ila kuhusu kuwa na mtoto siwezi kukwepa maana pia nahitaji kuja kuwa na mtoto kwa hapo baadae.

Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?

I need only Yes/No and how
ishi na dada yako ndo utakuwa salama maana mama ana mume wake.
 
Usinichoshe nisikuchose fanya vile moyo wako napenda!

Mama akifia leba kuna bibi/shangaz/new mom etc.

Mtoto anatakiwa alelewe na mama yake mpaka akifikisha miaka saba nadhan ndo mtoto anaruhusiwa kuchagua kuish kwa baba au mama.

Wapo wababa wanalea watoto wao baada ya mke kufariki/kutengana ila wewe inaonekana kabisa una kasoro fulani na ninamuonea huruma mtoto utakayemlea.

Unaonaje ukaachana na mambo ya watoto?
Uishi maisha yako ya ajabu ajabu bila watoto.
usinipangie bob jinsi ya kuishi, kama mtoto ana ulazima na mama basi hata mama yangu yupo, bibi pia yupo na kama unahisi nina tatizo labda la urijali kutokana na point yako basi njoo upime
 
Back
Top Bottom