Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Yes inazidi ata 50mNani zaidi ya 20M labda umtafutie madada wenye njaa kinondoni... ila iko siku hao utakaomtafutia watahitaji kumuona mwanae huku akilia kwa uchungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes inazidi ata 50mNani zaidi ya 20M labda umtafutie madada wenye njaa kinondoni... ila iko siku hao utakaomtafutia watahitaji kumuona mwanae huku akilia kwa uchungu
No sio utaratibu nzuri hasa kimalezi.Yes/No?
nenda google search utapata majibu yote basiachana na mimi wewe umeshindwa ku-jibublengo la uzi unakuja kujibu comment, how?
Ye anataka damu yake pili mwanamke awe smart.Tatizo waafrika wanakariri kila kitu,Mtoa mada amependekeza kuwa hataki ushauri muambie inawezekana au laa mnaanza bruh bruh
Mbona wapo watoto wengi amezaliwa na mzazi mmoja na hakuna shida,
Je kama mama yake alifia labour hao nao hawazulumiwi nafsi?
Kama wale wanaotupa watoto chooni nao vipi?
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Tumia ujanja wa kumfanya mpenzi Ili umvute anase mimbahamnawanamke anaepindua kwenye hela.... Bado hujajuq hilo kwani?
Endelea kutangaza day magazetini humu wachache upitaLengo ni kwamba after sitaki tujuane wala mahusiano na mtoto kiufupi kama hakijatokea kitu.
HAIWEZEKANI ndo mana hata kisheria mtoto anatakiwa alelewe na mama mpaka umri fulani ndo anaweza kwenda kwa baba.okay sawa, kwahiyo kuwa na mtoto bila mama yake inawezekana au haiwezekani?
Kisheria hicho kitu hakiruhusiwi hapa nchini.Kwa hiyo haiwezekani kuweka mkataba wenu kisheria?