Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

Wagwan,
Chap kwenye point,
Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.

Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi tena na mwanamke, ila kuhusu kuwa na mtoto siwezi kukwepa maana pia nahitaji kuja kuwa na mtoto kwa hapo baadae.

Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?

I need only Yes/No and how[emoji3596]
Surrogate mothers wapo wa kutosha ni [emoji383] [emoji389][emoji389][emoji389] yako tu mkuu
 
sawa, pia na mimi nina condition zangu maana sio kila mwanamke naangalia pia akili na muonekano nisije kupata watoto wenye laana.... so nitaweka maximum 50m
Ooooza naona mr [emoji383] tupo wengi [emoji848]
 
It's your own life... Lakn mzee kumbuka kuna wakati pesa inakosa thamani mbele ya utu.... Na kwanini umkatili mtoto kwa kumnyima haki ya mama yake... What if umetangulia ukiwa na umri mdogo? Huo mzigo unamwachia nan??
We usimpangie mtu mkuuu

Hamna ajuaye kesho yake anaweza aishi mpaka uzeee
 
majamaa kama hao wanaowaza neg kwenye kila maamuzi huwa nawashangaa sana, Kwani nikiamua kuzaa na mwanamke na ninahitaji kuishi nae hawezi kufia leba nikabaki na mtoto bila mama? je, nitakuwa nimemnyima mtoto haki yake pia?
 
Daah watu wana ma 💀 magumu sema mpotezee tu
 
Kama upo DSM andaa laki tano utapata demu maeneo ya Tandika atabeba Mimba alee then akupe mtoto at the early Age wa mwaka mmoja na ww utatafuta Nana who will raised ur kid. That all Mimi nikigonga 30 yrs nahiitaji nifanye there's a lot of women wa kuzaa naye but make sure u don't spring attached with these Tanzanian women in ur life circulation.
 
Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?

I need only Yes/No and how⬇️
Yes

Fika KAIRUKI HOSPITAL watakupa muongozo kiufupi inawezekana, Ila jiandae na kibunda km million 15 mapaka 30 za hatua za awali kumlipa mama wa mtoto na mengineyo mtakubariana huko, sitaki kuongea mengi mengine ni Siri ya mtoa huduma na anaepokea huduma
 
Your welcome...
Ni unyama sana kuwa single ndo inavotakiwa hivo..
Watoto wapo wa kutosha andaa hiyo 20m then unaongea nae hapo chap kwa..
Unyama ni kua na Chapa ya MNYAMA km kua na matattoo mengi mengi, kujitoboa pua, kujitinda nyusi, kusuka nywele mtoto wa kiume ufanane na dada zako km hivyo ndio unyama unapigwa Chapa ya MNYAMA
 
Kama ndo tafsiri ya neno mnyama ndo hivo basi naachana nayo...
 
It's your own life... Lakn mzee kumbuka kuna wakati pesa inakosa thamani mbele ya utu.... Na kwanini umkatili mtoto kwa kumnyima haki ya mama yake... What if umetangulia ukiwa na umri mdogo? Huo mzigo unamwachia nan??
Kwani lazima atangulie yeye?? What if Mama yake na huyo mtoto akitangulia kwani huo mzigo unakuwa wa nani???usipende kujibana kwenye fikra,,,maono na mawazo!!
 
Inawezekana sana na dunia ndio ilipo na mwelekeo ndio huo kwa sasa
 
Wagwan,
Chap kwenye point,
Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.

Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi tena na mwanamke, ila kuhusu kuwa na mtoto siwezi kukwepa maana pia nahitaji kuja kuwa na mtoto kwa hapo baadae.

Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?

I need only Yes/No and how[emoji3596]
Yes, get a willing person, negotiate and enter a contract.
 
Wagwan,
Chap kwenye point,
Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja.

Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi tena na mwanamke, ila kuhusu kuwa na mtoto siwezi kukwepa maana pia nahitaji kuja kuwa na mtoto kwa hapo baadae.

Sipokei maoni wala mapendekezo ila nahitaji tu majibu je, inawezekana kwa njia ya kupandikiza yaani mfano nikija kuhitaji mtoto kwa kuwa sitaki kujuana wala mahusiano na mwanamke inawezekana kumpa mwanamke mimba baada ya kuzaa nikampa chake (nikamlipa) akachapa mwendo nikabaki na mtoto/watoto wangu? then tusijuane na wala huyu mwanamke asipate access ya kuwajua au kuwa karibu na wanangu baada?

I need only Yes/No and how⬇️
Ushafikiria kama hao watoto hawatataka kumjua mama yao au kuwa wanaweza kuathirika kwa hiyo hali ya kutomjua mama yao? Maana umewaza kwa upande wako tu ila bila shaka hao watoto watapenda kumfahamu mama yao hasa wakishuhudia wenzao wana mama zao. Just saying fron my experience.
Kwa TZ mnaweza kukubaliana na mwanamke ila mbeleni akakugeuka na kwa kuwa haya mambo huku hayako kisheria nadhani mtavurugana
 
Mkuu tatizo hilo jambo unalo lisema kisheria halitambuliki hivyo unaweza kukubaliana vizuri na mwanamke alafu badae akakugeuka na usimfanye chochote.

Kwa mujibu wa sheria za tz mtoto ni wa baba na mama hivyo unaweza kukubaliana vizuri tu kama unavyo sema alafu baada ya miaka michache akakugeuka na akaanza kukudai mtoto wake, na ukijaribu kumzingua anaweza kwenda hata mahakamani akakufungulia kesi ya kumuibia mtoto wake ukajikuta kwenye matatizo makubwa sana.
 
Back
Top Bottom