Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

Dunia iliyojaa ubinafsi si shangai sana kwa haya yanayo tokea.

Japo dada zangu wengu ni wabinafsi na wamejaa tamaa,ila kiasili wanaume hatukuumbwa hivyo ubinafsi sio asili yetu, sisi ni walezi,walishi na ni wabeba majukumu ya kifamilia hiyo ndio asili yetu japo siku hizi kama tunataka kuikimbia.
Umemaliza kabisa mkuu, Fact.
 
usinipangie bob jinsi ya kuishi, kama mtoto ana ulazima na mama basi hata mama yangu yupo, bibi pia yupo na kama unahisi nina tatizo labda la urijali kutokana na point yako basi njoo upime
Unaweza kuwa rijali Upinde
 
Ndoa ni Ujinga
Ndoa ni Utapeli wa Kupigwa Vita
Kataa Ndoa
,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]Daaah , mkuu wewe ni noma sijui umewaza ni mpaka kuanzisha hii kampeni!!![emoji23][emoji23][emoji23] Hua inanitafakarisha sana.
 
Ooh, kumbe ndoa ni utapeli pia!!!? Me sikuwa na tatizo na ndoa ila ni mimi tu binafsi nafeel nikiwa single ni unyama.
Saaaana asikwambie mtu, mwenyewe hapa wanawake sijui mahusiano nshafuta kwenye equations za maisha yangu.!
 
Back
Top Bottom