Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

Wewe ni boya kwa kuwa umeshindwa kufanya kilicholengwa kwenye uzi ukaja kukashifu.... Alafu sio tabia za kiuwanaume hizo heri ungekausha.
KAMA HUNA HELA usiulize maswali ya helaa unatuchosha kijana.. unataka tukwambie ni elfu 2 ausio?? mwanaume rijali anaweka mimbaa hakimbii mbunye badilika kijana au papai wew??
 
safi sana, ila tegemea comments za makasiriko toka kwa KE wa jF

unaharibu ajira zao
 
KAMA HUNA HELA usiulize maswali ya helaa unatuchosha kijana.. unataka tukwambie ni elfu 2 ausio?? mwanaume rijali anaweka mimbaa hakimbii mbunye badilika kijana au papai wew??
Oi kaa kwa pale mkuu.... acha kunipotezea muda umeshindwa kuwa straight na siwezi deal na wewe.
 
Naona wewe sio mtu sahihi kuwa na mtoto.Utaharibu maisha ya huyo kiumbe sbb kuna kitu sio cha kawaida kuhusu wewe
mbona bado hujajibu kutokana na lengo,e sijakuomba ushauri wala maoni.
 
CRISTIANO RONALDO ALIFANYA HIVYO KWA YULE KIJANA WAKE WA KIUME MKUBWA NA WA KWANZA KUZALIWA KWENYE FAMILIA YAKE... BAADAE NAFKIRI ALIONA MATOKEO YAKE NA ALIONA HAINA MAANA KAAMUA KUMTAFUTIA KIJANA MAMA. LAKINI IMAGINE KIJANA ANAJUA WAZI YULE SI MAMA YAKE ANAJISIKIAJE?! NA WALE WADOGO ZAKE WOTE WAMEZALIWA PAMOJA ISIPOKUWA YEYE TU 😀

VAA VIATU VYA DOGO ALAFU FANYA MAAMUZI.
 
Usikurupuke kufanya maamuzi kwa maslahi binafsi na uhitaji wa muda mfupi. Kuna connection kubwa sana kati ya mtoto na MAMA...

Utakuja kulia peke yako kwa kum-miss mwanao.

Ulaya na Marekani wapo wanawake wanaofanya biashara hiyo... majority hufa kwa misongo ya mawazo na kujiua kwa kugundua walijidhulumu nafsi zao wenyewe na kuona sasa wanahitaji upendo wa watoto wao ambao hawapo tena na hawajui hata walipo.
 
Sioni issue hapo maana sijaona dogo aki-blame hilo
 
sawa, pia na mimi nina condition zangu maana sio kila mwanamke naangalia pia akili na muonekano nisije kupata watoto wenye laana.... so nitaweka maximum 50m
endelea kupiga usingizi mchana huu. Ati unaangalia pia akili na muonekano usijepata watoto wenye laana - muumbe mwenyewe basi umfanyie na gene editing uondoe tabia zote usizozipenda.
 
Usikurupuke kufanya maamuzi kwa maslahi binafsi na uhitaji wa muda mfupi. Kuna connection kubwa sana kati ya mtoto na MAMA...

Utakuja kulia peke yako kwa kum-miss mwanao.

Ulaya na Marekani wapo wanawake wanaofanya biashara hiyo... majority hufa kwa misongo ya mawazo na kujiua kwa kugundua walijidhulumu nafsi zao wenyewe na kuona sasa wanahitaji upendo wa watoto wao ambao hawapo tena na hawajui hata walipo.
Mkuu sio mimi nafanya hivyo jamani sina kizazi cha kuchezea nimemuuliza kama anaweza ku afford hao wanaofanya hivyo
 
Sioni issue hapo maana sijaona dogo aki-blame hilo
LOL! Utamuonea wapi aki-blame?! Usilolijua ni sawa na usiku wa giza

Ronaldo hawezi ku-expose kila kitu kuhusu familia yake. Aliona wazi moshi wa bomu ambalo alikuwa analiandaa fasta akazinduka na kulizima ila halijazimika. Iko siku dogo atachachamaa.
 
Mkuu sio mimi nafanya hivyo jamani sina kizazi cha kuchezea nimemuuliza kama anaweza ku afford hao wanaofanya hivyo
Nani zaidi ya 20M labda umtafutie madada wenye njaa kinondoni... ila iko siku hao utakaomtafutia watahitaji kumuona mwanae huku akilia kwa uchungu
 
achana na mimi wewe umeshindwa ku-jibublengo la uzi unakuja kujibu comment, how?
endelea kupiga usingizi mchana huu. Ati unaangalia pia akili na muonekano usijepata watoto wenye laana - muumbe mwenyewe basi umfanyie na gene editing uondoe tabia zote usizozipenda.
 
LOL! Utamuonea wapi aki-blame?! Usilolijua ni sawa na usiku wa giza

Ronaldo hawezi ku-expose kila kitu kuhusu familia yake. Aliona wazi moshi wa bomu ambalo alikuwa analiandaa fasta akazinduka na kulizima ila halijazimika. Iko siku dogo atachachamaa.
pow akichachamaa ndo jitakuelewa unachosema
 
Back
Top Bottom