Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo vizuri na hatutakuwa vizuri hadi pale walioua ndugu zetu wawajibishwe. Na hakuna maridhiano na hii serikali haramu.

Mnatutawala kwa mtutu wa bunduki, hatujawachagua na mmejiapisha kwenye kambi za jeshi halafu mnatuambia tupo vizuri, mpo vizuri na nani? Tuachieni nchi yetu tuchague viongozi tunaowataka.
 
Damu iliyomwagika bila hatia inalilia kisasi mpaka haki yote ipate kutimia.
 
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo vizuri na hatutakuwa vizuri hadi pale walioua ndugu zetu wawajibishwe. Na hakuna maridhiano na hii serikali haramu.

Mnatutawala kwa mtutu wa bunduki, hatujawachagua na mmejiapisha kwenye kambi za jeshi halafu mnatuambia tupo vizuri, mpo vizuri na nani? Tuachieni nchi yetu tuchague viongozi tunaowataka.
Screenshot_20260212-145525~2.png
 
Mali za watu ndo kitu gani?. Mali zinatafutwa na zinapotea kuharibika ni sehemu ya hasara ya kibiashara
Sasa kumbe unajua , usiharibu mali za watu utakufa . kwani kwenu hakuna wakubwa wa kuwafundisha kuhusu mali za watu ?
 
Kweli serikali imekoma maana Kila siku milio tu wakisema Kidogo wanaingia barabarani serikali inalala macho nje uoga umewatawala
Mkome , mbona hamuandamani tena ? 😀 😀 Kile kipigo ni noma.
 
Back
Top Bottom