Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo vizuri na hatutakuwa vizuri hadi pale walioua ndugu zetu wawajibishwe. Na hakuna maridhiano na hii serikali haramu.

Mnatutawala kwa mtutu wa bunduki, hatujawachagua na mmejiapisha kwenye kambi za jeshi halafu mnatuambia tupo vizuri, mpo vizuri na nani? Tuachieni nchi yetu tuchague viongozi tunaowataka.
Huyo mama akili yake imejaa pumba, yaani anatufanya sisi wajinga. Eti kisiasa wapo vizuri....Kivipi? Watu wameuawa na maiti wameziiba wanategemea tunyamaze. Hana akili huyo mama.
 
Labda tupo vizuri down mkuu, maana wabongo kwa ile pembetatu ni kama tumelogewa yani!😛
 
Back
Top Bottom