Kwani hii nchi ni ya hawala yako?Uwajibike kivipi? Mlitaka muchome nchi , utasubiri sana..
Wananchi kama hawakutaki kwa nini ulazimishe kuwatawala?Uwajibike kivipi? Mlitaka muchome nchi , utasubiri sana..
Wananchi wangapi ? Angalieni idadi yenu kwanza , wajinga wachche hata theluthi hamfikiWananchi kama hawakutaki kwa nini ulazimishe kuwatawala?
Usilie sasa , mmeshapigwa ..Wajinga wachache muharibu amani ya wengi , mbona hamtoki tena? π πKwani hii nchi ni ya hawala yako?
Damu iliyomwagika bila hatia inalilia kisasi mpaka haki yote ipate kutimia.Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo vizuri na hatutakuwa vizuri hadi pale walioua ndugu zetu wawajibishwe. Na hakuna maridhiano na hii serikali haramu.
Mnatutawala kwa mtutu wa bunduki, hatujawachagua na mmejiapisha kwenye kambi za jeshi halafu mnatuambia tupo vizuri, mpo vizuri na nani? Tuachieni nchi yetu tuchague viongozi tunaowataka.
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo vizuri na hatutakuwa vizuri hadi pale walioua ndugu zetu wawajibishwe. Na hakuna maridhiano na hii serikali haramu.
Mnatutawala kwa mtutu wa bunduki, hatujawachagua na mmejiapisha kwenye kambi za jeshi halafu mnatuambia tupo vizuri, mpo vizuri na nani? Tuachieni nchi yetu tuchague viongozi tunaowataka.
Nchi umezaliwa ukaikuta utaiacha haiwezi kuungua kirahisi hivyo.Uwajibike kivipi? Mlitaka muchome nchi , utasubiri sana..
Wakitoka polisi nao inatosha unachoshangilia Nini sasa hapo ?Usilie sasa , mmeshapigwa ..Wajinga wachache muharibu amani ya wengi , mbona hamtoki tena? π π
Mkizidi kumsumbua hata ripoti ya tume jinai atasema ni yake.Msiidai.Tume jinai sijui imefikia wapi.
Sasa kumbe unajua , usiharibu mali za watu utakufa . kwani kwenu hakuna wakubwa wa kuwafundisha kuhusu mali za watu ?Nchi umezaliwa ukaikuta utaiacha haiwezi kuungua kirahisi hivyo.
π πInaitwa mwana ukomeWakitoka polisi nao inatosha unachoshangilia Nini sasa hapo ?
π€£π€£Uwajibike kivipi? Mlitaka muchome nchi , utasubiri sana..
Sasa kumbe unajua , usiharibu mali za watu utakufa . kwani kwenu hakuna wakubwa wa kuwafundisha kuhusu mali za watu ?
Kweli serikali imekoma maana Kila siku milio tu wakisema Kidogo wanaingia barabarani serikali inalala macho nje uoga umewatawalaπ πInaitwa mwana ukome
MkomeMali za watu ndo kitu gani?. Mali zinatafutwa na zinapotea kuharibika ni sehemu ya hasara ya kibiashara
Mkome , mbona hamuandamani tena ? π π Kile kipigo ni noma.Kweli serikali imekoma maana Kila siku milio tu wakisema Kidogo wanaingia barabarani serikali inalala macho nje uoga umewatawala
Wanaandamana polisi ni zamu yao. Hakuna kipigo chochote make na polisi walikata kamba so haya sio ya kushabikia na watu wenye afya timamu ya akiliMkombe , mbona hamuandamani tena ? π π Kile kipigo ni noma.
Mkombe , mbona hamuandamani tena ? π π Kile kipigo ni noma