Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

Huyo mama akili yake imejaa pumba, yaani anatufanya sisi wajinga. Eti kisiasa wapo vizuri....Kivipi? Watu wameuawa na maiti wameziiba wanategemea tunyamaze. Hana akili huyo mama.
 
Labda tupo vizuri down mkuu, maana wabongo kwa ile pembetatu ni kama tumelogewa yani!πŸ˜›
 
Mkome , mbona hamuandamani tena ? πŸ˜€ πŸ˜€ Kile kipigo ni noma.
You do not sound normal at all, so sick and probably mentally retarded. Je wewe ni gaidi? Wafurahia wanaotafuta haki zao wauliwe kinyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…