Kwani aliyepewa Mimba hana picha ya mpenzi wake? Nyie mnamtafuta ili mpate nini kwake? Mwenye bwana anafahamu alipo.Una maw
Una mawazo finyu kama kichwa cha mpanzi.Kwa sababu ni askari wafanye kazi ya kudanganya watoto? ama kweli wanalinda raia na mali zao.Halafu wanafichana.Nampongeza aliyesema tupate picha yake humu tumtafute wenyewe.Kashfa hiyo
Hahaha achene hasira, akipigwa mvua 30 motto mtalea nyie?! Sasa mnataka kumkosesha motto baba, na mama mnamkosesha bwana au mume, kumlea mke hamtaki, kumlea na kumpa motto mahitaji kwa hiyo miaka 30 hamtaki lakini mmekomaa mnataka afungwe miaka 30.
Fuata sheria bila shuruti...Hahaha achene hasira, akipigwa mvua 30 motto mtalea nyie?! Sasa mnataka kumkosesha motto baba, na mama mnamkosesha bwana au mume, kumlea mke hamtaki, kumlea na kumpa motto mahitaji kwa hiyo miaka 30 hamtaki lakini mmekomaa mnataka afungwe miaka 30.
Mumuache aoe, alee na mwanaye.
Kwasababu huyo binti sasa ni mama, haruhusiwi kusoma kwa sharia zetu, na haruhusiwi kuolewa kwa sharia zetu, na motto ndio huyo, mnataka kumpotezea baba, achene zenu hizo.
Acha hasira muacheni alee mwanaye, mkimfunga mtamlea nyie?!Fuata sheria bila shuruti...
Mtoto wa 14...hata aibu hana?
Kama alikuwa na nia ya kulea na kuoa angetumia njia halali sio ujinga huo!
Huyo ni bazazi muharibifu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria ndivyo ilivyo. Mvua thelathini bila parole. Ila kiukweli sheria hii inawaadhibu na wale wasio husika. Mtoto hana kosa lakini atakosa malezi ya baba. Binti naye atapata mateso ya kumlea huyo mtoto wakati hana uwezo. Babu na Bibi watahangaika kulea binti yao na mimba yake, na baadae kuwalea binti na mjukuu wao. Huo sasa umekuwa mtego wa panya. Wanaingia waliomo na wasiokuwemo.Hahaha achene hasira, akipigwa mvua 30 motto mtalea nyie?! Sasa mnataka kumkosesha motto baba, na mama mnamkosesha bwana au mume, kumlea mke hamtaki, kumlea na kumpa motto mahitaji kwa hiyo miaka 30 hamtaki lakini mmekomaa mnataka afungwe miaka 30.
Mumuache aoe, alee na mwanaye.
Kwasababu huyo binti sasa ni mama, haruhusiwi kusoma kwa sharia zetu, na haruhusiwi kuolewa kwa sharia zetu, na motto ndio huyo, mnataka kumpotezea baba, achene zenu hizo.
Ndo sababu jamaa kapotelea kusikojulikana. Asubuhi katika magazeti walisema bosi kajificha kwenye kichaka cha kudanganywa na wasaidizi wake. Tunasubiri kuona nini kinaendelea.shamba la bwana Heri,mahindi ya bwana Heri,na mbuzi aliyekula mahindi ni wa bwana Heri. Hamna kesi
hivi huwa wanapima DNA?Sheria ndivyo ilivyo. Mvua thelathini bila parole. Ila kiukweli sheria hii inawaadhibu na wale wasio husika. Mtoto hana kosa lakini atakosa malezi ya baba. Binti naye atapata mateso ya kumlea huyo mtoto wakati hana uwezo. Babu na Bibi watahangaika kulea binti yao na mimba yake, na baadae kuwalea binti na mjukuu wao. Huo sasa umekuwa mtego wa panya. Wanaingia waliomo na wasiokuwemo.
Hilo nalo ni swali la kutufikirisha. Kuna vibinti ambavyo vimekuwa virukanjia. Kwa hali hiyo anakuwa hana uhakika nani kampa huo ujauzito. Ili kuepuka dhahama hii humchagua mmojawapo wa hao anaowafahamu na kumpachika huo mzigo. Je, kuna uhakika gani kuhusu baba halisi wa mtoto atakayezaliwa kama hakuna kipimo chochote kilochofanyika? Ni wazi kipimo cha DNA ni muhimu katika kutoa utambuzi wa muhusika halisi ujauzito huo.
kweli aisee,kuna watu wanaweza wakawa wamefungwa kimakosaHilo nalo ni swali la kutufikirisha. Kuna vibinti ambavyo vimekuwa virukanjia. Kwa hali hiyo anakuwa hana uhakika nani kampa huo ujauzito. Ili kuepuka dhahama hii humchagua mmojawapo wa hao anaowafahamu na kumpachika huo mzigo. Je, kuna uhakika gani kuhusu baba halisi wa mtoto atakayezaliwa kama hakuna kipimo chochote kilochofanyika? Ni wazi kipimo cha DNA ni muhimu katika kutoa utambuzi wa muhusika halisi ujauzito huo.