Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo


Kwani wale waliokuwa wanapostiwa ilikua uongo? Corona ina wimbi kuna kipindi rate inakuwa kubwa sana ya vifo na kipindi inapungua.
 

It was a mind game mzee. Power is never easy. It was a total frustrations. Mzee alikuwa anapigana vita ndani na nje. Na Vita vya ndani vilikuwa ni ndani ya ndani. PSU ndani ya PSU

Mpasuko ndani ya mpasuko. Na katika kumchanganya Mzee akili, maisha ya wengi yamegharimu.

Je Corona imeondoka na JPM ? Kuna mtu yoyote anasikia kifo cha mtu mkubwa sasa.

Rais, anasema leo i am not okay , in few minutes classified information zimesha leak , who was behind this game ? Rais anazungukwa na timu maalumu.... inajulikana .

BAADA ya maziko tu, CAG anaibuka out of the blue, JPM anaaonekana he was useless na muflisi tena timu ya watendaji wake ndio wana create hizo sparks. You know maisha sio marahisi.
Lakini classified information zina muda wake na zita expire and the truth will be revealed
 
Kwani wale waliokuwa wanapostiwa ilikua uongo? Corona ina wimbi kuna kipindi rate inakuwa kubwa sana ya vifo na kipindi inapungua.

King, mimi nakushauri sana iache akili yako huru.

Ume enslave akili yako to the point , anything new inakuwa rediculed. Ni hatari . Let’s talk the hard talks .
 
Ndo maana mama kafukuza wakurugenzi 7 wa TISS kwa mjibu wa tweet ya kigogo2014? By the who's guy or his/her network?
Hili genge ni hatari sana, haiwezekani masamuzi ya kikao cha raisi kijulikane siku moja kabla ya tukio, means ikulu pale kuna mamluki wa kutosha.
Kifo cha Magu hakikuwa natural death kilikuwa pre-planned kabisa. Wewe angalia raisi alivyokuwa anazindua ile miradi ya dar? From there ndo hicho kilitokea. Halafu washenzi wanajaribu saizi kufuta legacy yake. Kwa hiyo wanatufundisha kuona kazi zake? Maendeleo ni mambo ya wazi mkuu, huwezi danganya watu katika karne hii for cheap reasons kama hizo.
Halafu walivyowapumbavu, baada ya msiba tu, watu bado wana majonzi, unaibuka kuanza kumponda marehemu, akina ndugai nao hao, sijui analiogopa kundi lile linaweza kumchomoa hata na yeye.
Kifo cha Magufuli kina utata mno mkuu
 
King, mimi nakushauri sana iache akili yako huru.

Ume enslave akili yako to the point , anything new inakuwa rediculed. Ni hatari . Let’s talk the hard talks .

Mimi nakataa kabisa kwamba MEKO kauliwa.....JIWE alikuwa anaumwa sema ndio hivyo UVIKO imekuja kummalizia.
 
CHATO GANG MMEANZA KUMCHAFUA SAMIA, RUDISHENI KWANZA HELA MLIZOIBA!
 
Mtu mwenye UKIMWI anauliwa na nini. Moyo plus UKIMWI plus Corona = KIFO CHA SHETANI WA TANZANIA.
 
Mtu mwenye UKIMWI anauliwa na nini. Moyo plus UKIMWI plus Corona = KIFO CHA SHETANI WA TANZANIA.
We ni sen*ge tena S*enge TUKUNYEMA,
Haya Kanye uridhike ulivyoandika 👎🖕
 

kama nj kweli kuwa Wachina na mabeberu walimuuwa JPM kwa sababu ya kuukataa mradi wa bandari, sasa unataka Ndugai na Rais wa sasa nao wauwawe kwa kuukataa?
 
Namimi nahisi,aliogopa nayy wasije waka mpoteza
 

PSU ndani ya PSU
 
Aende zake alitufanya tuishi kwa hofu. Alitisha kila mtu na kubana maslahi yote sio tu ya kifisadi hadi yale ya kisheria. Mvunja katiba na sheria mkubwa. Hata Mungu hakumpenda maana alijipa hadi cha kuongoza malaika. Huyu hata Mungu hakumpokea ndio maana alizikwa gizani. Hahaa hahaaa!.
 
Inafikirisha hivi sasa hta sisikii Tena kuwa Tanzania hutuzingatii corona, kwamba vifo vitaongezeka...kimya kabisa
Sasa hawa watu wakipata na umiliki wa hii bandari na kuingiza wanachikita na kuondosha wanachokitaka si tu Corona itazagaa bali hata Corolla, Cressida, Crown, Mark II yaani kila aina ya variant ya Covid-19 itakuwa nchini, watanzania tuangalie maslahi yetu, ikiwa bodaboda zimepaisha uchumi mpaka tumefika uchumi wa kati tunaweza kwenda mdogomdogo na tukaendelea, tuachane na uchumi wa kwenye vitabu twende na hali halisi kwani watanzania wengi bado wapo kwenye ufukara tuwavute mkono hawa nao wawe kwenye uchumi wa kati nao wachangie kwenye pato la taifa.
Watanzania tusiwe na haraka na mambo tustahamili kwani kuna mambo muhimu na kuna mambo muhimu zaidi, katiba mpya itokanayo na wananchi ambayo itapitishwa na wawakilishi halali katika bunge letu tukufu, waliyopitishwa na tume huru na ya haki kwa kweli Tanzania itakuwa ni kama pepo iliyo chini ya dunia yetu.
Maendeleo hayana dini, kabila wala chama.
 
wanajifichia humo kwenye usiri kwaajili ya kupiga hela , mkiambiwa yaliyomo humo mtawaona Bogus ndiomaana wanafichaficha siamini kama kuna mtu angekubali mkataba wa miaka 99 au 100 ni uongo , mkataba ulitakiwa uanikwe na hivyo vipengele viwe bolded vionwe na watu wenye akili wajadili, kwakua Jiwe ndio alishikia akili watu wote alidhani kila mtu kilaza
 

Kua mtu wa kidaro cha 4 c o hoja mbn juzi kuna professor mzima kasema mradi wa nguvu za maji huko rufiji bora uctishwe ? tatizo c o elimu tatizo ni mtu kua na uchungu wa nchi yake na tatizo ni mgawo wa 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…