Utata juu ya Mradi wa Bagamoyo

Kweli kabisa,, tangu kipindi cha uwekezaji wa mabonanza(kamari) yamekuwa yakichota pesa zetu nyingi yapo mpaka vilabuni, mabaa na sehemu zingine ambazo hazifai
 
Kweli kabisa,, tangu kipindi cha uwekezaji wa mabonanza(kamari) yamekuwa yakichota pesa zetu nyingi yapo mpaka vilabuni, mabaa na sehemu zingine ambazo hazifai
Sisi tupo kwenye financial system huku tunaona vingi ni siri tu,ila simply ni kwamba,hakuna foreigners wanaongoza kuhamisha pesa kama wachina na kampuni zao uchwara,ni wajanja wajanja sana yaani.
 
Nilishangaa watu kumpa mgogo bunge, mgogo huwa hana msimamo, anaweza kukukaribisha mtu baki am satisfy mkewe ili apate chochote
Jipige kifuani halafu useme kwa sauti, mimi ni mpumbavu mzoefu!
 
Mgogo is useless na nimegundua tunatoa position bila kuangalia weledi wa watu.

Tulitegemea mradi huu upigiwe debe na wapinzania sio na Watendaji wa Serikali ya awamu ya 5 wakiongozwa na Spika
Haina ubishi kwamba wengi wa watendaji wa awamu ya tano , wamemgeuka kuwa wapinzani kwa mwendazake.
Inashangaza Sana kumpinga marehemu. Nisawa na kupiga ngumi upepo..
 
Ndugu, wewe umebahatika kuuona huo mkataba? Wananchi watajadili nini wakati hata wabunge ambao ndio wawakilishi wanajadili kitu hewa kwa hisia? Isihi serikali ipeleke mkataba bungeni na pia uwekwe public.
 
Kuzikwa gizani ndo Nini??
Huwa tunasema Mungu kampenda zaidi, ila wewe wazungumza kinyume.
Halafu ndugu yangu , mbona watukana mamba kabla hujavuka mto.
Wewe wajua utazikwa vipi!!!!
 
Kuzikwa gizani ndo Nini??
Huwa tunasema Mungu kampenda zaidi, ila wewe wazungumza kinyume.
Halafu ndugu yangu , mbona watukana mamba kabla hujavuka mto.
Wewe wajua utazikwa vipi!!!!

Msamehe hajui asemalo
 
Ndugu, wewe umebahatika kuuona huo mkataba? Wananchi watajadili nini wakati hata wabunge ambao ndio wawakilishi wanajadili kitu hewa kwa hisia? Isihi serikali ipeleke mkataba bungeni na pia uwekwe public.

Sawa
 
Sisi tupo kwenye financial system huku tunaona vingi ni siri tu,ila simply ni kwamba,hakuna foreigners wanaongoza kuhamisha pesa kama wachina na kampuni zao uchwara,ni wajanja wajanja sana yaani.

Hilo linajulikana. Na hao wachina walikaribishwa zaidi awamu ya 4.Nimesema hapo juu, Mchina hajawahi kuwa Rafiki wa taifa la Africa lolote. Mchina yupo kwenye vita vya kuwa Super power dhidi ya USA.

Siku mchina ana dominate TZ, ujue tutapata shida sana.
Rais awamu ya 4 ndio ilimkaribisha kwa pupa mchina,
 

Upo sahihi
 

Mku mm hil swala lipo na kuna majadiliano mingi inaendelea kwenye international forums juu ya hii ishu. Naamini ukwl utajulikana. Ni mda tu.

Ila kuna kitu nyie wat hamkisemi.
Ukweli ni kwamba mzee alikuwa mbishi. Mkuu wa idara nyeti alimwambia mkulu kuws kipindi hiki tunasimamisha ugeni wowote na uzinduz wowote mpaka hali itulie. Tunaambiwa Mkuu alikataa na akasema ataendelea na kazi km kawa. Kikawaida inapokuja suala la ulinzi, idara inatakiwa kuwa na nguvu , lakin jamaa aliizid idara nguvu , kwa protocols wakamsainisha document kuwa km unataka hivo, sawa saini hapa na wageni waje na uzurure kw ufungiz

Tukaona ugeni wa china, tukaona ugeni wa ethiopia , uganda na tukaona akija Dar kuzurura.... maisha yake yalibadilika hapo , na hata maadui wake hawakupata shida kumsukuma mlevi. Ubishi na kujiamini sana ni mbay hasa mambo ya uongozi

Ile timu iliyokuwa chato, asilimia kubwa walifululiza ,na hapa ndio penye tatizo lilipoanzia.

Hao international investigators hadi wamalize hiyo kazi tayari kila mtu kasahau.
Mkulu alizidi ujuaji ubishi na kujiamini sna. Nafasi km yake alitakiwa kuwa msikivu hasa suala la ulinzi wke
Mataifa mengine , idara nyeti ndio kila kitu na rais anaheshimu maamuz ya idara,hii ilikuwa ni tofauti sana kwa mkulu.
Poleni
 
Tatizo sio awamu wala nini,Tatizo kubwa hapa ni sera(Foreign Policy) yetu dhidi ya China,Tumekuwa tukiwaona Wachina kama marafiki zetu for decades kuanzia awamu ya kwanza,hii imefanya hata tupunguze umakini wetu katika kuwafanyia screening hawa watu wanapokuja hapa nchini.
Haiwezekani watu wajanja wajanja wawepo tu,kodi hawalipi ipasavyo,maana ofisi zao ni kwenye ma go-down.This isn't about awamu, its totally about our foreign policy with Chinese.
 
Enzi za Magu, ukipinga mradi wowote. Watu wasiojulikana wanakuijia. Sijawahi kuona mkataba wowote waCCM unawekwa hadharani, watu wachangie.
Kwenye uchaguzi wenyewe, CCM walipitishana. Ww unayepinga kama nani?
Uko SAHIHI kuwa miradi karibia yote hawekwi wazi utofauti wake huu ripoti ilitolewa haufai na hakuna aliyepinga miongoni mwa viongozi wetu.hawa wanaCCM walikubaliana mradi unaua taifa ni wanCCM hawahawa kasoro mwendazake hayupo wanadai uwekezaji huu una tija kwa taifa.tunataka walete sababu zao kuzicrash zile 11 za mwendazake.kwanini tunataka uwe wazi kwa sababu tuliaminishwa haufai kutoka ngazi ya juu kabisa sasa tunataka watuaminishe unafaa kwa uwazi kwa mjadala..
 
Hoja inaweza kua nzuri ila nikiona unaambatanisha jpm ninahis kitu kinanikaba kooni sijui kwann? Ok acha tuone itakavokua
 

It makes sense. Nadhani kama nchi tunapaswa kufanya kitu. Serikali zetu ni za kipumbavu. Na hawa hawa kwa kwenda kinyume na maslahi yao, wamekuwa ni mpango mkakati katika kifo cha JPM.
 
Hoja inaweza kua nzuri ila nikiona unaambatanisha jpm ninahis kitu kinanikaba kooni sijui kwann? Ok acha tuone itakavokua

Shida nini? Kianja nakuombea mwanga katika maisha yako Mungu akupe macho yenye kuona na sio kutizama. Inawezekana kabisa usimuelewe JPM , lakini ndiiyo rais pekee aliyemaanisha mengi kwa Tanzania. Na kifo chake ni mpango mkakati Maalumu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…