Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Utata kifo cha Afisa Usalama Kijitonyama

Mungu ailaze roho yake peponi na uchunguzi wa kina ufanyike tupate ukweli wa hili tukio baya na la kusikitisha kabisa
 
Wakuu, ni bora huyo kaka yake angeeleza ukweli au inawezekana alimweleza ukweli mwandishi ila aliandika kivyake. Angeeleza kuwa kaka yake alikuwa na matatizo ya akili na pengine hilo ndo lilikuwa chanzo cha yeye kutumbukia kisimani.

Pia kuna uwezekano mkubwa kuwa mwandishi hakupata story kamili na ndo kaana anajichanganya wakati wa kuandika.

Mara anasema kuwa post mortem ilikuwa imefanyika na wakati huo huo anasema kuwa alipowasiliana na kenyela alimwamnia kuwa uchunguzi unaendelea. Ni vyema angejikita kwanza kujua matokeo ya hio post moterm
 
Du! marehemu alienda kuteka maji kisimani! tena kazini!!!
 
Kuna kazi hapa ya Imran Kombe yanajirudia. Kwa kuwa siri za SIRIKALI zinavuja sana siku hizi naamini na ukweli wa hili utajulikana. R.I.P

Siko mbali na hoja yako, kuna utata kny hiki kifo! Mungu awafariji wafiwa
 
Phillemon Mikael naona umeamua kutumia jina lako halisi. Huogopi kuwa mmoja wa hao ambao wamesha potezwa? Mi napita tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama ni huyu Peter Tyenyi tunayemfahamu basi ni wazi kuwa kifo chake hakina mkono wa mtu. Wakati mwingine akifika pale simba kapakatwa alikuwa ana tabia ambayo kila mmoja kama ni mgeni basi utaona ni mtu aliyekosa ustaarabu wa hali ya juu. Unamkuta anaagiza chakula na vinywaji na baada ya kumaliza kula hujipangusa kwenye nguo zake bila ya kunawa na huondoka bila ya kulipa. Pale simba kapakatwa, kijitonyama wanamfahamu sana. Na ndipo story ya kuwa peter alikuwa na matatizo ya akili nilipoupata
 
I guess mwigulu nchember

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
SERIAL DEATHS OF SPIES IS NOT SOMETHING UN-USUAL ,ITS ONLY THIS WEEK THAT WE LEARNED THAT IT WAS IMRAN KOMBE INFACT WHO ORDERED MORINGE SOKOINE"S PERSONAL BODYGUARDS TO HEAD TOWARD MONDULI INSTEAD OF ACCOMPANY HE FORMER PREMIER TO ROAD TRIP TO DAR......FEW PEOPLE KNOW THAT WHEN IMRAN WAS KILLED HIM AND HIS WIFE WERE ON THE WAY TO FLEE THE COUNTRY TO CANADA AFTER SMELT FISH....ON HIS ROLE AHEAD OF 1995 ELECTIONS...
.....THE THEN DEATH OF ANOTHER SPY THIS WEEK IN THERE COMPOUND ...IS NOT SOMETHING NEW...TWO YEARS AGO FORMER CHIEF JUSTICE BOARDGUARD WAS FOUND DEAD ..IN SUSPECTIVE ENVIRONMENT..IT WAS QUICK COVERED ....
WE DONT KNOW THE REASON FOR YET AGAIN THIS LATEST ONE....ONE THING IS WE ARE NOT SUPPOSED TO WASTE OUR VOICES SINCE IN SPY PROFFESSION THERE IS A PRICE TO PAY WHEN YOU ARE CONSIDERED A THREAT A TRAITOR ....WHO KNOWS ...MAY BE THIS IS A MESSAGE TO SPIES INVOLVED IN RECENT LEAKAGES .....,
COMING ACROSS ANY TOP SECRET IS ANOTHER REASON TO DIE ..PASSIONATELY IF YOU ARE CONSIDERED NOT STRONG ENOUGH TO KEEP SECRET....

THEY WERE SWORN TO DIE THESE KIND OF DEATHS ....SO FOR LOVED ONE BURY YOUR DEAD ..YOU HAVE NOTHING TO ASK !!!!! LIFE GOES ON!!

Hivi nyinyi watu kwa nini huwa hamuandiki Kiswahili ili mueleweke vizuri? Kama basi ni lazima muandike kwa Kiingereza basi andikeni kwa kiingereza kinachoeleweka!
 
Nahisi itakua alilewa kupita kiasi hivyo kudumbukia kisimani.
 
Du! marehemu alienda kuteka maji kisimani! tena kazini!!!
Mkuu, marehemu hakwenda kuteka maji pale bali alitumbukia aidha kwa bahati mbaya kutokana na matatizo yake ya akili au alijitumbukiza. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zinasema kuwa alishafanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini aliweza kuokolewa.
 
Kama ni huyu Peter Tyenyi tunayemfahamu basi ni wazi kuwa kifo chake hakina mkono wa mtu. Wakati mwingine akifika pale simba kapakatwa alikuwa ana tabia ambayo kila mmoja kama ni mgeni basi utaona ni mtu aliyekosa ustaarabu wa hali ya juu. Unamkuta anaagiza chakula na vinywaji na baada ya kumaliza kula hujipangusa kwenye nguo zake bila ya kunawa na huondoka bila ya kulipa. Pale simba kapakatwa, kijitonyama wanamfahamu sana. Na ndipo story ya kuwa peter alikuwa na matatizo ya akili nilipoupata

Mkuu yaani kula kisha kujipangusia kwenye nguo ndiyo kunafanya watu wasihoji kifo chake.
 
Kama ni huyu Peter Tyenyi tunayemfahamu basi ni wazi kuwa kifo chake hakina mkono wa mtu. Wakati mwingine akifika pale simba kapakatwa alikuwa ana tabia ambayo kila mmoja kama ni mgeni basi utaona ni mtu aliyekosa ustaarabu wa hali ya juu. Unamkuta anaagiza chakula na vinywaji na baada ya kumaliza kula hujipangusa kwenye nguo zake bila ya kunawa na huondoka bila ya kulipa. Pale simba kapakatwa, kijitonyama wanamfahamu sana. Na ndipo story ya kuwa peter alikuwa na matatizo ya akili nilipoupata

mkuu huwezi ku rule out psycho case kama hukuwa daktari wake...kwa usalama kuvaa uchizi pia sio ajabu
 
Inasikitisha sana, sasa hicho kisima kinalindwa vipi na kwa nini hicho kisima kipo wazi hakina udhibiti wowote.
Mkuu ritz, hilo la kisima kulindwa sidhani kama ni maelezo sahihi labda tungethibitishiwa kutoka kwa wahusika. Na kisima kuwa wazi inawezekana kwani visima vingi huwa wazi na hasa ikiwa kisima hicho ni cha asili. Labda kama ni cha kujenga
 
TISS kwishaaaa!hapo ndiyo wamechochea uasi ndani ya TISS ninaamini sasa tutashuhudia mengi! "Vita vya panzi burudani kwa kunguru". Chanzo cha haya yote ni DHURUMA na tamaa ya kutawala kwa lengo la kujinufaisha binafsi.
 
Mkuu, marehemu hakwenda kuteka maji pale bali alitumbukia aidha kwa bahati mbaya kutokana na matatizo yake ya akili au alijitumbukiza. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zinasema kuwa alishafanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini aliweza kuokolewa.

Either utoto au kupenda sifa kupita kiasi kunakufanya uongee vitu ambavyo only family member wanatakiwa kuongea. Hasa ukizingatia kuwa ni wakati wa msiba. UWT hauwezi kuwa na mfanyakazi ambaye ana upungufu kwenye akili, ile kazi sio sawa na kazi yako ya kutoa comments humu na kwenda kuosha viatu vya Mwigulu Nchemba na kuvuta buku saba. No matter what, kifo sio jambo la kukebehi hata kama kwa kufanya hivyo unahisi utamfurahisha boss wako. Furahia kifo cha adui yako lakini sio kukashifu, kukebehi na kuweka tabia zako za kitoto
 
Back
Top Bottom