habariyamujini
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 3,094
- 457
Mungu ailaze roho yake peponi na uchunguzi wa kina ufanyike tupate ukweli wa hili tukio baya na la kusikitisha kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivip mkuu?alikuwa anatumiwa kwingine?Ukiona hivyo jua marehemu alikuwa double agent
Kuna kazi hapa ya Imran Kombe yanajirudia. Kwa kuwa siri za SIRIKALI zinavuja sana siku hizi naamini na ukweli wa hili utajulikana. R.I.P
Na chapati!
Duu Rama bado anaendelea tu na kazu zake za kuleta majanga kwenye familia za watu
SERIAL DEATHS OF SPIES IS NOT SOMETHING UN-USUAL ,ITS ONLY THIS WEEK THAT WE LEARNED THAT IT WAS IMRAN KOMBE INFACT WHO ORDERED MORINGE SOKOINE"S PERSONAL BODYGUARDS TO HEAD TOWARD MONDULI INSTEAD OF ACCOMPANY HE FORMER PREMIER TO ROAD TRIP TO DAR......FEW PEOPLE KNOW THAT WHEN IMRAN WAS KILLED HIM AND HIS WIFE WERE ON THE WAY TO FLEE THE COUNTRY TO CANADA AFTER SMELT FISH....ON HIS ROLE AHEAD OF 1995 ELECTIONS...
.....THE THEN DEATH OF ANOTHER SPY THIS WEEK IN THERE COMPOUND ...IS NOT SOMETHING NEW...TWO YEARS AGO FORMER CHIEF JUSTICE BOARDGUARD WAS FOUND DEAD ..IN SUSPECTIVE ENVIRONMENT..IT WAS QUICK COVERED ....
WE DONT KNOW THE REASON FOR YET AGAIN THIS LATEST ONE....ONE THING IS WE ARE NOT SUPPOSED TO WASTE OUR VOICES SINCE IN SPY PROFFESSION THERE IS A PRICE TO PAY WHEN YOU ARE CONSIDERED A THREAT A TRAITOR ....WHO KNOWS ...MAY BE THIS IS A MESSAGE TO SPIES INVOLVED IN RECENT LEAKAGES .....,
COMING ACROSS ANY TOP SECRET IS ANOTHER REASON TO DIE ..PASSIONATELY IF YOU ARE CONSIDERED NOT STRONG ENOUGH TO KEEP SECRET....
THEY WERE SWORN TO DIE THESE KIND OF DEATHS ....SO FOR LOVED ONE BURY YOUR DEAD ..YOU HAVE NOTHING TO ASK !!!!! LIFE GOES ON!!
Mkuu, marehemu hakwenda kuteka maji pale bali alitumbukia aidha kwa bahati mbaya kutokana na matatizo yake ya akili au alijitumbukiza. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zinasema kuwa alishafanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini aliweza kuokolewa.Du! marehemu alienda kuteka maji kisimani! tena kazini!!!
Kama ni huyu Peter Tyenyi tunayemfahamu basi ni wazi kuwa kifo chake hakina mkono wa mtu. Wakati mwingine akifika pale simba kapakatwa alikuwa ana tabia ambayo kila mmoja kama ni mgeni basi utaona ni mtu aliyekosa ustaarabu wa hali ya juu. Unamkuta anaagiza chakula na vinywaji na baada ya kumaliza kula hujipangusa kwenye nguo zake bila ya kunawa na huondoka bila ya kulipa. Pale simba kapakatwa, kijitonyama wanamfahamu sana. Na ndipo story ya kuwa peter alikuwa na matatizo ya akili nilipoupata
Kama ni huyu Peter Tyenyi tunayemfahamu basi ni wazi kuwa kifo chake hakina mkono wa mtu. Wakati mwingine akifika pale simba kapakatwa alikuwa ana tabia ambayo kila mmoja kama ni mgeni basi utaona ni mtu aliyekosa ustaarabu wa hali ya juu. Unamkuta anaagiza chakula na vinywaji na baada ya kumaliza kula hujipangusa kwenye nguo zake bila ya kunawa na huondoka bila ya kulipa. Pale simba kapakatwa, kijitonyama wanamfahamu sana. Na ndipo story ya kuwa peter alikuwa na matatizo ya akili nilipoupata
Mkuu ritz, hilo la kisima kulindwa sidhani kama ni maelezo sahihi labda tungethibitishiwa kutoka kwa wahusika. Na kisima kuwa wazi inawezekana kwani visima vingi huwa wazi na hasa ikiwa kisima hicho ni cha asili. Labda kama ni cha kujengaInasikitisha sana, sasa hicho kisima kinalindwa vipi na kwa nini hicho kisima kipo wazi hakina udhibiti wowote.
Hivi nyinyi watu kwa nini huwa hamuandiki Kiswahili ili mueleweke vizuri? Kama basi ni lazima muandike kwa Kiingereza basi andikeni kwa kiingereza kinachoeleweka!
Mkuu, marehemu hakwenda kuteka maji pale bali alitumbukia aidha kwa bahati mbaya kutokana na matatizo yake ya akili au alijitumbukiza. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu zinasema kuwa alishafanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini aliweza kuokolewa.