Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

Mwemary Malawi kutukomboa""" ndio nani hao Malawi unachoweza kuandika kwenye keyboard bila kufikiri we ni mwananchi tulia!
 
Huenda kuna habari za kiintelligensia kwamba alitaka kutoa single isiyomsifu Rais.
 
Very sad
 



Hao ndiyo kina nani?
 
MABASHIIIIITE YAMEFANYA YAO YA KIBASHITEE
 
Povu kibao ulichokiandika
 
Wanajifanya hawajali kuimbwa imbwa na rappers kumbe hawapendi na wana hasira kali ....
 
Kikosi kazi kiliongozwa na bashite au yule jamaa aliyemtolea chuma mkuu Nape Nnauye ..? Ufafanuzi plz,maana wwa jinsi nimjuavyo mkuu roma Mkatoliki atakuwa alikuwa anashusha mistari mikali sana ya kuhusu utawala wa "one man show" hivyo ikabidi wamdake juu kwa ju. Maana Ngoma ungekuwa Kali Mara mia ya ile ya ney wa mitego "wapo"

Sasa wao baadala ya kuondoka na flash (hii mbinu inasaidia kutokuacha nyayo eneo la Tukio)
 
Hii taarifa haijakamilika inamaswali kibao,. Napata shida kuona watu wanavyoanza kuto povu na kutukana watu na mamlaka hovyo hovyo, hata uhakika wa taarifa yenyewe hawana niyakusadikika tu. Rai yangu tuache majungu na porojo na mihemko tujikite kwanza kupata data za kisayansi kuhusu jambo husika, yaweza kuwa ni mabifu yao, au mamlaka za ulinzi na usalama au ujambazi au vinginevyo, na kama ni mamlaka zetu za ulinzi na usalama tunapaswa pia kujua sababu za kuwakamata ili tujue kama wamefanya kwa masilahi mapana ya Taifa au uonevu.Tukumbuke hata kama ni wasanii Hawana kinga ya kutokamatwa kama kweli wamefanya kosa, tusiunganishe mihemko ya Ney kwenye hili sakata
 
Kiukweli hali iliyopo hapa Bongo si salama maana mtu anapoonekana kuikosoa serikali anakuwa spotted kama adui. I don't know where are we going? Nchi kama hii tunayojitangaza kisiwa cha amani ilipaswa kuakisi yasemwayo huko nje. Wanazngua sana hawa shenzi.
 
Makonda asijifanye terminator kwenye nchi ya watanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…