Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
- #21
Sijui unawaepukaje hawa watuUchawi na vijicho vipo maana kuna watu hawataki kwenye maisha uwazidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui unawaepukaje hawa watuUchawi na vijicho vipo maana kuna watu hawataki kwenye maisha uwazidi
Niwe mkwel hata mimi sikua naona jamaa akitoboaUsikute wazee wa mtaa walianza kuchangisha mpaka hela ya rambirambi
How does it apply in here??Mke wa mtu ni sumu by LWP majitu.
Kule Mikumi kuna kijiji kimoja kuna mtu huko mganga wanawake wa Dar na Zanzibar wanamtumia sana kupora waume za watu. Ni mganga yule ambae anaua kabisa. Jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa mkuu. Kama unataka kufanya utafiti wako kuhusu uchawi sema niku connect huko mkuu uka prove mwenyewe... But u have to be very respectful or else he will deal youKuna watu wasipoelewa kitu chochote wanaweka majibu mawili tu.
Mungu na uchawi.
Ni ujinga tu.
Ukishatumia jina la mtu mtu anaweza hata kukutumia majasusi ukauawa.Kule Mikumi kuna kijiji kimoja kuna mtu huko mganga wanawake wa Dar na Zanzibar wanamtumia sana kupora waume za watu. Ni mganga yule ambae anaua kabisa. Jina lako likipelekwa kwake leo basi kesho unazikwa mkuu. Kama unataka kufanya utafiti wako kuhusu uchawi sema niku connect huko mkuu uka prove mwenyewe... But u have to be very respectful or else he will deal you
Sasa mkuu izo mambo za maoni si ndio hazifungamani na ile sayansi yetu waafrika, hauoni kma utachanganya maji na mafuta hapo. Maana kwa maelezo ya bro ni sayansi ya kiafrika ndio ikimuokoa jamaaFunzo: sio kila binadamu anafurahia mafanikio yako.
Muhimu ni kuhakikisha unadumu katika ibada na maombi kila siku iitwayo leo.
Iko hiv kwa kias kikubwa hasa kwetu watu weusiRiziki mwanzo wa chuki
Nasikiaga kuna dark magic na white magic.Masuala ya uchawi nimeshindwa kabisa kuyaamini. Kijijini kwetu kuna izo mambo sana tu mpaka kuna njia ambazo zinasemakana ni vituo vya wachawi kufanya mikutano yao kwaiyo hautakiwi kupita usiku wakati izo njia nishapita sana na sijawahi kupatwa na chochote.
Wakati tunasoma kuna classmate ilikua inasemakana kwamba ni mchawi tulizinguana akanitishia anaenda kunitengeneza nikamwambia hawezi na makofi nikamtandika na hajawhi kunifanya chochote.
Halafu kitu kingine ninachojiuliza kwanini uchawi utumike kwa vificho na uwe na lengo la kufanya mambo mabaya tu. Hivi haiwezekani ukatumika kufanya jambo zuri na kwa uwazi. Mfano mtu anapaa na ungo na kufika anapoenda kwa muda mfupi kushinda hata ndege ya abiria, hivi haiwezekani iyo sayansi ya kupaa na ungo ikafundishwa kwa uwazi na watu wakanufaika nayo mfano mgonjwa mahututi yupo mkoani anatakiwa kufika muhimbili anapakizwa kwenye ungo dakika 1 tu ashafika pale muhimbili.
Nikiwa na uwezo nitafanya mpango wa kukusanya wachawi nguli wote kila mkoa tufanye mpango wa kuitumia hii sayansi ya uchawi kwa maendeleo kwenye jamii. Sasa kama unaweza kuweka ndumba golini na hata aje halaand hapo hafungi hivi tunashindwa vipi kuchukua world cup.Nasikiaga kuna dark magic na white magic.
Inawezekana hiz ndege tunepanda ndio uchawi wa upande wa pil tunakula matunda yake
Walah nimebubuujikwa na machozi walahiNikiwa na uwezo nitafanya mpango wa kukusanya wachawi nguli wote kila mkoa tufanye mpango wa kuitumia hii sayansi ya uchawi kwa maendeleo kwenye jamii. Sasa kama unaweza kuweka ndumba golini na hata aje halaand hapo hafungi hivi tunashindwa vipi kuchukua world cup.
Usicheke mkuu. Utajiri unaanziaga kwenye immaginations ambazo zinaonekana ni vituko. Wakati Mack Zuckerberg anapata wazo la kuanzisha facebook kuna marafiki zake aliwaita wajadiliane ilo suala na wakaona ni upuuzi tu.Walah nimebubuujikwa na machozi walahi
Ukishatumia jina la mtu mtu anaweza hata kukutumia majasusi ukauawa.
Hapo hakuna hoja ya kuonesha kuna uchawi umetumika.
Ungesema kwamba huyo mchawi anaweza kuua mtu unayetaka bila hata kukuona wewe wala kupata jina la anayetaka kuuawa, hapo labda ungekuwa na hoja.
Lakini mtu unampa jina kabisa? Unajuaje kwamba hana timu yake ya wauaji inayokamilisha kazi?
Kwa nini tunahitimisha huu ni uchawi kabla hata ya uchunguzi?