Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Mimi naamini unajuwa kabisa uchawi upo sema unaupotezea tu, ila deep ndani ya nafsi unafahamu vyema uchawi upo.
Uchawi ni nini?

Unajuaje ninachojua mimi ni kipi? Thibitisha unajua ninachojua ni nini.
 
Pengine una experience ndogo.au wewe ni wale watoto wa mboga saba wa kutumia viswanglish mkidhania mnajua kila kitu, ukidhania unachoona kwa macho ndio kila kitu basi una safari ndefu..
Ukiangalia anga unaliona la bluu lakini haimaanishi ni la bluu , maana yake macho yako yamefikia ukomo wa kuona zaidi , hivyo hivyo hata katika mazingira macho yetu yana ukomo wa kuona zaidi.
Uchawi upo katika spectrum levels ambazo macho yetu ya kawaida yanashindwa kudetect
 
Maskini wazungu wamecheza na akili yako wamekudanganya na kukupat.
 
Thibitisha uliloandika ni kweli na si njozi zako tu.
Nathibitisha kuwa ulizaliwa na kukua katika kumjua Mungu bahati mbaya ukadondokea mikononi mwa watu waovu wakateka fikra zako ,ambapo mpaka sasa hujitambui maskiniiii.
 
Nathibitisha kuwa ulizaliwa na kukua katika kumjua Mungu bahati mbaya ukadondokea mikononi mwa watu waovu wakateka fikra zako ,ambapo mpaka sasa hujitambui maskiniiii.
Thibitisha Mungu yupo kweli na si kitu cha kwenye hadithi tu.
 
Nathibitisha kwakuwa napewa kie nachoomba na vingine kwa hali ya kawaida isingewezekana,muabudu ibilisi huwezi kuelewa hili.
Ukishaona haja ya kuomba tu, huo nao ni ushahidi Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, angekupa unachohitaji kabla hujakijua na kukiomba.

Hujathibitisha Mungu huyo yupo.

Kwa kuomba, umethibitisha Mungu huyo hayupo.
 
hata akijitokeza leo hii mbele yako na akasema mimi ndie Mungu mwenye nguvu ,mwenye kuumba huu ulimwengu bado hatoamini na utamkatalia
 
hata akijitokeza leo hii mbele yako na akasema mimi ndie Mungu mwenye nguvu ,mwenye kuumba huu ulimwengu bado hatoamini na utamkatalia
Kama yupo angeeleweka bila kujitokeza.

Akijitokeza ujue hayo maigizo tu.

Dhana ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwepo, na dunia hii yenye mabaya kuwepo, ina internal contradiction.

Internal contradiction hiyo inaonesha Mungu huyo hayupo.

Ila nafikiri huna uwezo wa kuelewa hiyo mantiki.
 
Huwa unajitoa ufahamu tu hapa JF ila wewe ni bonge la akili kubwa…@Uandishi wako.
 
Mwanzo nilikua siamini... Sasa 2015 nipo zangu kwenye mbanga za kutafuta mkate nikadondokea Kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Kigoma. Kuna siku mkimbizi mmoja wa kirundi alinichezea sangulo la kichawi, siwezi sahau.
Pole sana mkuu.
Huyo mrundi alikupapasa tu, ngoma ipo kwa wakongo.
 
Kuna watu wasipoelewa kitu chochote wanaweka majibu mawili tu.

Mungu na uchawi.

Ni ujinga tu.
Wewe unaishi mbele una afadhali mkuu.Kwa sababu huko hakunaga ishu za ushirikina,na Kama zipo Basi Ni za kuhesabu tu.

Ila ukija huku Africa ndio utaamini uchawi upo.
Na sio eti utasimuliwa Bali utaona kwa macho yako mwenyewe.
 
Unajuaje huu ni uchawi na sio kitu kingine tu ambacho sijakielewa?
 
Vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…