Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Ni kweli usemacho, nitakupa kisa kimoja kimejitokeza juz maskani.
Ni jiran yetu japo sio kivile, ni umbali kama wa mita 200 hivi toka nyumbani kwangu.
Alileta mganga wa kienyeji kwake. Nasema hivyo kwakua ni kawaida huku pwani. Bas usiku mtulivu yakaanza kupigwa manyanga na lugha zao zile zisizo eleweka kikawaida. Na kwakua ilikua usiku ile ibada yao sauti ikawa inasikika vizur sana.
Bas kwakua hatukua tumelala, tukasema haya mambo hayatuhusu ni yao ila sisi tujihakikishie usalama wetu just incase hiz spirit zao zisituathiri maana hatujui wananuiza vitu gani lakin maadam ninkaz zinafanyika under this same same neighbourhood sky and earth kuna namna we need to take precautions in advance, hiz vitu zina impact.

Lets pray God protect us.
kwakua tulikua nje ya nyumba around saa 4 usiku, the we started praying for 20 minutes

Ghafla zile sauti na manyanga vika kata kimyaa.
Kesho jiran akatutumia ujumbe kwamba "tumegundua siri yenu, ni nyie, kwann mnatusumbua kwenye mambo yetu".

Hatukushangaa
Naamini kabisa unayosema mkuu,
Yaani huyo alieleta ujumbe ningekuwa mimi ningemkata mitama ya uhakika na kumuambia nenda katambike uchi sasa

Wa hivyo nawapenda sana maana Mshua alikuwa anawapiga haswa tukimumbia huyu ni mchawi na hawakuweza kumdhuru wakifikiri kuwa na confidence hivyo labda nae ni baba lao

Kumbe hamna ila anaswali sana
 
Mtu kuumwa na kupona ndo iwe uthibitisho wa ushirikina? Hata kama kasema ni ushirikina does that prove anything?

Nikiumwa malaria nikasema nimerogwa does that prove ni ushirikina kweli?

Wamatumbi hata umeme ukiwaka wanasema Mungu au ushirikina wao kila kitu ni muujiza. Kuamini jambo fulani ni ushirikina kisa tu mtu kasema au sababu hulijui ni uzwazwa.
Daah 😂.
Haya bwana mkubwa
 
Kutoka katika zone moja kuingia katika zone nyingine haimaanishi zone uliyotoka haupo vizuri nayo.

So, mtu kukuambia usitumie logic haimaanishi uwe mpumbavu ila lazma uingie katika zone flani kuweza kuona unachotaka kuona. Ni kama ambavyo huwezi kutumia macho ya nyama kuwaona bacteria bila microscpe ndivyo hivyo huwezi kuona uchawi bila kufungua spiritual world.

Ni kama mtu akushutumu una virusi vya ukimwi kutokana na hisia na dalili, ndivyo hivyo mtu huhisi kuwa karogwa kutokana na matukio na hisia. Hivyo kuthibitisha lazma uingie katika zone fulani

Wa virusi ataingia maabara, wa ushirikina ataenda church au kwa waganga

So, kutumia logic kwa kitu kinachohitaji spiritual path. Ni sawa na kutumia microscope kuuona uongo. Does it make sense to you ?..
Ni kama unavyokua darasa la kwanza unaambia 1-5= haiwezekani
ukifika la 4 unaambiwa inawezekana lakin stil 1÷5=haiwezekan mpaka ufike la 7.
so you are right, it is about levels u r in Bufa
 
Lakin hakunabmahala nimewaaminisha watu. Am just agreeing with them, and trust me, i dont judge them too
Sawa mkuu, mimi pia nilisha mtibu mtu ambae alikua ana amini kalogwa mambo yake hayaendi vizuri kimaendeleo na kila mtu aliamini hilo, kwa kumpa maji kidogo nikamwambia akaogee siku tatu , ila ni maji tu ya kawaida , na yule mtu baadae Ali rudi na kunipa zawaida shida yake imekwisha kabisa ,na yule mtu haumwambii kitu kuhusu mimi , apo wewe unafikiri shida ilikua ni nini?
 
Ni kama unavyokua darasa la kwanza unaambia 1-5= haiwezekani
ukifika la 4 unaambiwa inawezekana lakin stil 1÷5=haiwezekan mpaka ufike la 7.
so you are right, it is about levels u r in Bufa
Kutoka katika zone moja kuingia katika zone nyingine haimaanishi zone uliyotoka haupo vizuri nayo.

So, mtu kukuambia usitumie logic haimaanishi uwe mpumbavu ila lazma uingie katika zone flani kuweza kuona unachotaka kuona. Ni kama ambavyo huwezi kutumia macho ya nyama kuwaona bacteria bila microscpe ndivyo hivyo huwezi kuona uchawi bila kufungua spiritual world.

Ni kama mtu akushutumu una virusi vya ukimwi kutokana na hisia na dalili, ndivyo hivyo mtu huhisi kuwa karogwa kutokana na matukio na hisia. Hivyo kuthibitisha lazma uingie katika zone fulani

Wa virusi ataingia maabara, wa ushirikina ataenda church au kwa waganga

So, kutumia logic kwa kitu kinachohitaji spiritual path. Ni sawa na kutumia microscope kuuona uongo. Does it make sense to you ?..

Hiyo ni science. Naona mnajaribu ku explain ulozi in scientific ways, could y'all contradict yourselves any more?

Kwenye ushirikina ukiacha story hamna proof hata siku moja. Science ambacho hujui Leo au ambacho hujafika level yake ukifika utajulishwa na kuonyeshwa scientifically na majibu yatakua consistent. Kwenye ushirikina ni story tu mwanzo mwisho kila siku mnahamisha goal post. Kama mtu anapaa na ungo nionyeshe usinipe story. Kama watu wanafufuka, wanatokea ukutani, wanageuka kuwa jiwe nionyeshe proof with consistent results sio story. Tumeomba humu turogwe tena kwa kutoa hela wenyewe hadi Leo tunadunda tu wachawi hao hao wanakuja tena kuuliza majina yetu yani mtu anayeweza kupaa na ungo hawezi kujua jina lako kichawi 😅
 
Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi ujasiri wa kusema hakuna uchawi??

Kwakwel kila nikitafakari sipati jibu kwamba hivi ni mahubiri gani yatakuja kumshawishi huyu bwana kwamba "okoka uende mbinguni?" Ni nani atakaye weza kumuaminisha kuwa maombi yanafanya kazi?? Sidhan kwakwel, sijui, Mungu pekee anajua.

IKO HIVI.
Huyu jirani yangu ni mwalimu. Kafanya kazi miaka mingi sana na kiumri hatulingani, nafikiri atakua anachezea floor 5 huyu bwana.
Sasa katika utendaji kazi wake akiwa kama second master hapo shuleni kwao, Mungu si athuman, akapitiwa na uteuzi akapewa ukuu wa shule mbele mbele hukoo.Ni hiz shule mpya. Uteuzi huu aliupata ikiwa ni chini ya mwaka toka anunue Subaru forester..

Bas bila hiyana mwamba kashikamana na fursa mpya. Umbali ilipo shule na nyumbani ambako ni karibu na kituo chake cha zaman cha kazi ni kilometa za kutosha tu. Ni kama Dar na Mlandizi hivi. Mwanzon akahamia huko kukaa kituoni nyumban anarudi weekend.
Jamaa akiwa huko hakukaa kizembe, akaji engage sana kwenye kilimo na kwa bahati nzuri na pia bahati mbaya kilimo kikajibu.
Alikodi sana mashamba lima sana.

ILikua bahati nzuri kwa maana ya yeye kuweza sasa kumudu kurudisha majeshi home. Yan kkawa ni akaacha kukaa shuleni akawa anakwemda na kurud kwa gari yake daily. Imagine huo umbali wa Dar Mlandizi kwa gari yake kumudu gharama za fuel yeye kama mwalimu isingewezekana ila jamaa biashara ya kilimo ikampa kiburi, ana push ndinga yake kwenda na kurudi.

Bahati pia ikawa mbaya maana hii raia, ndugu na jamaa na majirani nao huwa hawafurahi sana maisha yetu mazuri. Bas bwana bwana 3 years later jamaa akapata ugonjwa wa ajabu kweli kweli.
Mshkaji kuishiwa damu likawa jambo la kawaida kabisaa, jamaa aliisha sana sana alikonda akawa mweusiiiiiii tii hawezi kutembea kpaka ashikiliwe. Basi bwana hangaika sana ma hospitali huuko waaap, yan jiran yangu ukimuona hutaman kumtazama maea 2, kamwekua kama katoto kaisha moaka huruma. Hangaika sana kutafuta tiba muhimbil na hospital zoote kubwa ila tee.

Jamaa hakua mtu wa iman kabisaa ila ilifikia hatua ya kutafuta kuombewa ila waapi!! Unamtazama mkewe unaishia tu kumuonea huruma maana kaaguza mpaka basi. Ni over 7months jamaa anapambania maisha yake kitandani.
Gari imepaki tu home inaloa vumbi, kazini tena ndio basi kapumzika (kishukuriwe kibarua cha serikali huondoshwi kirahis).

KIla ushauri waliosikia kuhusu kutafuta msaada walifuata. Zishukuriwe pesa. Akisikia daktari huyu au yule anaweza msaidia baa mbiooo mpaka wakachoka ikabaki kuhesabu siku.

Sasa bwana katika haya mambo ya kushauriwa shauriwa inasemekana bwana jirani akashikwa sikio na wajuzi wa mambo kwamba "bwana wewe hapa usipoangalia hutoboi, jaribu upande wa pili maana mpaka sasa hakuna ambacho hujajaribu"

Jamaa kwao iringa huko na kwel baada ya muda jirani akapotea nyumbani. Zile movement pale home zikakata. Baada ya kuuliza tukaambiwa kaenda kuuguzwa nyumbani kwao Iringa. Sasa sisi wengine wenye akili nzito tusiojua kujiongeza tukabaki kusikitika kwa kuhis labda kwa hali ilipofikia wameona ni gharama kusafirisha mwili wa marehemu ukilinganisha na kusafiri na mgonjwa. Yamkini wamempeleka mauti imkute akiwa nyumbani kwao. Ndivyo tukawaza wengine.

Zikapita week 2, hatukusikia habar ya msiba wala nini. Tukaendelea kungoja.
E bwana wee!! Week ya 3 tu ,yaan zilipotimia week 3 tu tika aondoke, tunashangaa jamaa amerudi. Hayuko poa sana lakin improvemwnt ni kubwa sanaaaa. Anaweza toka kwa kujikongoja mwenyewe nje akaota jua mara moja moja.
Tulistaajabu na kufurahi kwa wakar mmoja maana hakuna akiye tarajia miongoni mwetu. Hivyo katika kufika kumpa salamu na kumuona nyumbani tulijikuta tunashangaa sana na sasa vile wengine ni wastaarabu tumeumbiwa aibu, huwez ukiza umeponaje isije onekana kama hujafuraj kupona kwake maana why uulize uulize?? Tukawa tunapiga kimya.

Baada ya week 2 akasafiri tena kwenda iringa kwao. Alikaa almoat mwezi. Aisee jamaa aliye rudi sio huyu wa juzi bali ni complete package ileeee version yake ya kwanza. Jamaa kapona kabisaa, karudi amenawiri afya kama yoote na baada ya week tu akarud kwa kasi kazin na kilimo chake.

Baadae sana katika stori za hapa na pale akajaga kutuambia kwamba waungwana walimchezea na ndio hivyo akaenda kuji restore na kupikwa .

Kwa kifupi jamaa kaponea tundubla sindano, alikua anaondoka live live..

IMEISHA
HAIENDELEI
Wsoamini haya mambo hayajawakuta ila tuombe sana manusura kwa imani zetu
 
Uchawi upo na una nguvu dhidi ya wale walio katika usawa wa mawimbi yake.

Uchawi ni mawimbi, nishati, nguvu ambayo inaenda kugandamana na mwili wako au ngao ya mwili yako (Auric field) na inatengeneza giza au aina fulani ya NISHATI CHAFU juu yako.

Au, mapepo yanakuganda kwenye mwili wako na kwenye ngao ya mwili wako pale tu ambapo umeweza kushuka kabisa chini katika usawa wa mawimbi ya mapepo.

Mapepo yanafanya kazi kwenye mawimbi ya chini au nguvu ya chini kabisa, kwahiyo ili yakupate lazima ushuke chini katika usawa wao. Ushuke kinishati.

Mimi silogeki, nimejengwa kweli kweli ndani na nje, na pembeni yangu kuna viumbe wenye nguvu ajabu, UKITHUBUTU UTADATA.

Cc: DR Mambo Jambo min -me NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Rabbon Pascal Mayalla
Kama sio target huwezi kuamini uchawi upo au haupo!!

Ukishakua tagert yatakukuta na utajua Kuna positive na negative energy katika huu ulimwengu!!

Huwa wanarogwa Hadi wanyama wasio na hatia kisa wewe ndio mmiliki!!

Haya mambo yapo,wakiamua ku set pin code hadi umedecode ushaumizwa kimwili na kiuchumi!

Nguvu zote zipo Nuru na Giza!
 
Ni kweli usemacho, nitakupa kisa kimoja kimejitokeza juz maskani.
Ni jiran yetu japo sio kivile, ni umbali kama wa mita 200 hivi toka nyumbani kwangu.
Alileta mganga wa kienyeji kwake. Nasema hivyo kwakua ni kawaida huku pwani. Bas usiku mtulivu yakaanza kupigwa manyanga na lugha zao zile zisizo eleweka kikawaida. Na kwakua ilikua usiku ile ibada yao sauti ikawa inasikika vizur sana.
Bas kwakua hatukua tumelala, tukasema haya mambo hayatuhusu ni yao ila sisi tujihakikishie usalama wetu just incase hiz spirit zao zisituathiri maana hatujui wananuiza vitu gani lakin maadam ninkaz zinafanyika under this same same neighbourhood sky and earth kuna namna we need to take precautions in advance, hiz vitu zina impact.

Lets pray God protect us.
kwakua tulikua nje ya nyumba around saa 4 usiku, the we started praying for 20 minutes

Ghafla zile sauti na manyanga vika kata kimyaa.
Kesho jiran akatutumia ujumbe kwamba "tumegundua siri yenu, ni nyie, kwann mnatusumbua kwenye mambo yetu".

Hatukushangaa
Duh

Ova
 
Afrika hizo mambo kawaida mi nilishangaa kuna kijana alifanyiwa ulozi na mama yake mzazi ikafikia hatua akamtelekeza baba mtu kahangaika akaponea kigoma, baada ya kupona ndo mama anamtaka mwanae, hivi hawa watu akili zao huwa zipo matakoni eti!
Haya mambo hata wazungu wanayo angalia movie inaitwa ghost house 2017 utajifunza kitu hapo japo ni movie wame act ila naamini huwezi uka act kitu bila ya kuwa na ufahamu japo mdogo kwa ambacho unaigiza pia ameitafsiri DJ Mack kiswahili 2019.
 
Haya mambo hata wazungu wanayo angalia movie inaitwa The ghost house utajifunza kitu hapo japo ni movie wame act ila naamini huwezi uka act kitu bila ya kuwa na ufahamu japo mdogo kwa ambacho unaigiza
Huku tumezidi sana
 
Hiyo ni science. Naona mnajaribu ku explain ulozi in scientific ways, could y'all contradict yourselves any more?

Kwenye ushirikina ukiacha story hamna proof hata siku moja. Science ambacho hujui Leo au ambacho hujafika level yake ukifika utajulishwa na kuonyeshwa scientifically na majibu yatakua consistent. Kwenye ushirikina ni story tu mwanzo mwisho kila siku mnahamisha goal post. Kama mtu anapaa na ungo nionyeshe usinipe story. Kama watu wanafufuka, wanatokea ukutani, wanageuka kuwa jiwe nionyeshe proof with consistent results sio story. Tumeomba humu turogwe tena kwa kutoa hela wenyewe hadi Leo tunadunda tu wachawi hao hao wanakuja tena kuuliza majina yetu yani mtu anayeweza kupaa na ungo hawezi kujua jina lako kichawi 😅
Unajifaragua mwenyewe na vingereza vyako vya ugoko vya shule za kata!

Hujui kitu wewe bado mtoto!

Cc: Kapeace
 
Uchawi upo wakuu..ila ni sayansi ndogo mnoo endapo ukiijua inavyo fanya kazi...
Tatizo jamii inafanya generalization kwa kila kitu kinacho tokea kuwa ni uchawi.

Iko hivi wakuu,mwili wa binadamu una operate katika certain spiritual Energy Frequency of vibration.

Na pia uchawi una attract ama unadhuru mtu akiwa kwenye Certain Frequency of energy vibration maana uchawi wenyewe ni Energy pia.

Kuna namna unaweza ukafanya ukapandisha Frequency zako za spiritual Energy of vibration..

Ukiwa kwenye hizo level za juu,,mchawi akifanya lolote hawezi kumatch na wewe maana una operate kwenye angle ambayo yeye hayupo..

Hii elimu nitakuja kuitoa siku moja,nitaweka uzi kabisa maana ni mada pana.
 
Ni kama unavyokua darasa la kwanza unaambia 1-5= haiwezekani
ukifika la 4 unaambiwa inawezekana lakin stil 1÷5=haiwezekan mpaka ufike la 7.
so you are right, it is about levels u r in Bufa
Exactly brother 🙏🏽
 
Hiyo ni science. Naona mnajaribu ku explain ulozi in scientific ways, could y'all contradict yourselves any more?

Kwenye ushirikina ukiacha story hamna proof hata siku moja. Science ambacho hujui Leo au ambacho hujafika level yake ukifika utajulishwa na kuonyeshwa scientifically na majibu yatakua consistent. Kwenye ushirikina ni story tu mwanzo mwisho kila siku mnahamisha goal post. Kama mtu anapaa na ungo nionyeshe usinipe story. Kama watu wanafufuka, wanatokea ukutani, wanageuka kuwa jiwe nionyeshe proof with consistent results sio story. Tumeomba humu turogwe tena kwa kutoa hela wenyewe hadi Leo tunadunda tu wachawi hao hao wanakuja tena kuuliza majina yetu yani mtu anayeweza kupaa na ungo hawezi kujua jina lako kichawi 😅
Kutumia uchambuzi au kuonesha interconnectivity ya matukio au maelezo ni human nature hivyo, ukiita ni sayansi kwa misingi ya sayansi upo sawa kabisa ila kwangu ni maisha ya kawaida kama vile watengeneza gongo wasivyojua kuna kitu kinaitwa chemistry ila kitu wakifanyacho ni kemia Kabsaa. Hivyo hakuna big issue hapo

Kingine Mkuu naona umejibu kwa kusimamia unachoamini ila si nilochokiandika.
Nimeshakuambia ukitaka hayo yote lazma ukubali kuingia katika spiritual zone

Kama ambavyo mtu wa kijijini ignorant ukimwambia kuna protons au brain cells hawezi kukuelewa au kukuamini hadi umuingize katika zone ya sayansi, ndivyo hivyo hivyo huwezi kuuelewa uchawi kwa kukaa katika zone yako uliyopo.

Kitu sahihi, ungetafuta jinsi ya kuingia katika zone ya ushirikina ili uyajue ya washirikina.

Usikae kwenye sofa lako ukatoa dau humu jf kwa learned individuals wakukate kiu yako.

Ukirudi bongo mkuu, nipe hiyo tenda na pesa ya usumbufu iwe ya kutosha ili niweze pata the right person maana na utu uzima huu sijawahi kukanyaga kwa mganga. Ila kupata wapenda waganga, mbona chaap na utafurahi. Nawasilisha mkuu 🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom