Utata wa imani - jirani yangu kaponea tundu la sindano. Ilikua ni kwaheri buriani

Unajuaje huu ni uchawi na sio kitu kingine tu ambacho sijakielewa?
Anza kwanza kuelewa maana ya neno " uchawi" ukishajua maana yake then Angalia vitendo vinavyofanywa na mtu fulani, halafu jaribu kufananisha vile vitendo na maana ya neno uchawi.
 
Anza kwanza kuelewa maana ya neno " uchawi" ukishajua maana yake then Angalia vitendo vinavyofanywa na mtu fulani, halafu jaribu kufananisha vile vitendo na maana ya neno uchawi.
Hujajibu swali, kimsingi nimekuuliza uchawi ni nini na unajuaje huu ni uchawi na si kitu kingine?

Unanijibu nianze kuelewa maana ya neno uchawi.

Uchawi ni nini? Na unajuaje huu ni uchawi, si kitu kingine chochote ambacho hujakielewa tu?
 
Sawa.
 
Uchawi( witchcraft) Is the use of magic or supernatural powers to inflict harm on others.
 
Uchawi ni kitu chochote kinachokwenda kinyume na laws &principles za physics.
 
Nitumie hayo majina hata inbox.

Nimtumie fundi akupoteze kwa masaa kadhaa tu utaleta mrejesho.
Mwambie fundi kama ni fundi kweli anipotezee bila hata kumpa utambulisho wangu , kitu ambacho hata majambazi wanaweza kukifanyia kazi .
 
Mwambie fundi kama ni fundi kweli anipotezee bila hata kumpa utambulisho wangu , kitu ambacho hata majambazi wanaweza kukifanyia kazi .
Lazima baadhi ya vitu vipatikane , either majina ya muhusika na majina ya mama yake mzazi, picha yake, nguo, haswa nguo za ndani .
 
Uchawi( witchcraft) Is the use of magic or supernatural powers to inflict harm on others.

Unajuaje hii ni supernatural power na si natural power ambayo hujaijua tu?

Mababu zetu wengi walioishi miaka 120 iliyopita walipopigwa risasi na wazungu waliona uchawi, kwao waliona ni supernatural power.

Lakini bunduki kupiga risasi si supernatural power, ni natural power tu ambayo walikuwa hawajaijua.

Sasa na wewe leo hicho unachokiita uchawi unajuaje ni supernatural power na si natural power ambayo hujaijua tu, kama hao mababu walivyokuwa hawaelewi risasi inavyofanya kazi?
 
Any proof in any shape, way, or form badala ya ngonjera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…