Weka majina yako matatu halisi.
Weka majina ya mama yako matatu.
Vitu vya ziada leta nguo ambayo umeshaivaa ila haijafuliwa.
Leta mchanga mahali ulipokanyaga .
Anakuwekea mpaka chura tumboni ila jina tu anashindwa kulijua😁Mchawi anayeweza kupaa na ungo mkoa to mkoa. Kupenya ukutani hana uwezo wa kujua jina tu 🤣 🤣 huwa mnawaza kweli mambo mnayoongea?
😁😁Brother ni story ndefu, ila ilikua ni issue ya kusajiri wakimbizi, Sasa bwana yule nilimzingua, si unajua usela wa fresh from chuo.
Kabla sijafungua notification yako nikawa najua nitakutana na "chai"Sawa.
Duh, ulivyohitimisha sasa!IMEISHA
HAIENDELEI
Hakuna kitu kinachoitwa uchawi mara nyingi watu wanaposhindwa kupata majibu fulani husingizia ni nguvu za uchawi au za Mungu tu , kuna miaka magonjwa kama Ukimwi na tauni yalionekana ni uchawi na laana ila kwa sababu sasa tumeweza kuyapatia ufumbuzi hiyo dhana haipo tena kwenye jamii.Asiyeamin uchwaw upo labda kama haujampata.uchawi upo na wachaw wapo vizur tu.asil ya uchaw ulifundishwa na kabla ya kufundishwa watu waliambiwa musihifundishe
Hiyo sayansi ya asili ni pana sana.Mchawi anayeweza kupaa na ungo mkoa to mkoa. Kupenya ukutani hana uwezo wa kujua jina tu 🤣 🤣 huwa mnawaza kweli mambo mnayoongea?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kabla sijafungua notification yako nikawa najua nitakutana na "chai"
😂
Kama huamini uchawi haupo basi inamaanisha hauamini pia kama Mungu yupo.Hakuna kitu kinachoitwa uchawi mara nyingi watu wanaposhindwa kupata majibu fulani husingizia ni nguvu za uchawi au za Mungu tu , kuna miaka magonjwa kama Ukimwi na tauni yalionekana ni uchawi na laana ila kwa sababu sasa tumeweza kuyapatia ufumbuzi hiyo dhana haipo tena kwenye jamii.
Tatizo huwa tukiwambia uchawi na hizo mambo zake hazipo mnatuona labda ni watoto wa juzi tu na labda huko kwenye hizo jamii zenye imani hizo hatujawahi kuishi l🤔Hiyo sayansi ya asili ni pana sana.
Uganga unatofautiana, kuna wanaotumia vibuyu, kuna wanaotumia vitabu na kuna wanaotumia majini, kuna wanaotumia televisheni ya asili.
Wapo wanaoweza kukwambia jina lako na shida kabla haya hujawaambia na hawa mara nyingi ni waganga wa vibuyu .
Mganga wa kitabu mpaka umwambie jina na umueleze unataka nini.
Mungu ni kitu gani bro? Kiumbe au nini mfano wake?Kama huamini uchawi haupo basi inamaanisha hauamini pia kama Mungu yupo.
Wewe ni dini gani?Tatizo huwa tukiwambia uchawi na hizo mambo zake hazipo mnatuona labda ni watoto wa juzi tu na labda huko kwenye hizo jamii zenye imani hizo hatujawahi kuishi l🤔
Sawa.Mungu ni kitu gani bro? Kiumbe au nini mfano wake?
Sipo kwenye mfumo wa kuaminishwa kwenye mambo ambayo hayathibitiki kwa namna yoyote ile.Wewe ni dini gani?
Una amini una nafsi/roho?Sipo kwenye mfumo wa kuaminishwa kwenye mambo ambayo hayathibitiki kwa namna yoyote ile.
Kwa hiyo kuwa na dini na hizo habari za uchawi ni kama chai na sukari kumbe😊Sawa.
Kumbe naongea na lipagani lisilojielewa.
Sipaswi kuishi kwa kuamini tu pasipo kujua ,siku nikijua nitajua na wala sitapaswa kuamini tena.Una amini una nafsi/roho?
Je una nafsi /roho?Sipaswi kuishi kwa kuamini tu pasipo kujua ,siku nikijua nitajua na wala sitapaswa kuamini tena.